FILIKUNJOMBE AIPONGEZA NEC ASEMA JK ATAKUMBUKWA DAIMA NA WATANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-0GCaVhxr1i4/VSIjXLLZ2II/AAAAAAAB6Uw/vykg8JnEyiM/s72-c/2G2A9558.jpg)
mbunge wa jimbo la ludewa Deo Filikunjombe akishiriki ibada ya pasaka na waumini wa kanisa la RC MAVANGA.
PAROKO WA MAVANGA AKIMKABIDHI MBUNGE FILIKUNJMBE ZAWADI YA KUKU BAADA YA MBUNGE HUYO KUTOA ZAWADI MBALI MBALI KATIKA MAKANISA YA LUDEWA ZIKIWEMO BATI 300 NA VITI.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-C-ciR67CT-Y/VVRg-TreATI/AAAAAAAHXNc/K3n3I9JiX3M/s72-c/unnamed%2B(68).jpg)
WAZIRI WA AFYA AIPONGEZA MUHIMBILI KUFANIKISHA MATIBABU YA MOYO KWA WATANZANIA
Hayo ameyasema alipotembelea Hospitali hiyo kuona namna ambavyo wataalam wetu kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Prince Sultan Cardiac Centre iliyoko Riyadhi nchini Saudi Arabia ambao wamekuwepo Muhimbili toka tarehe 9 Mei na wanatarajiwa kuondoka...
11 years ago
Michuzi09 Jul
DIWANI WA TLP LUPINGU ASEMA YEYE SI MPINZANI ,AMFAGILIA MBUNGE FILIKUNJOMBE KWA KASI YA MAENDELEO
Na Francis Godwin Blog.
DIWANI wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kata ya Lupingu wilaya ya Ludewa mkoani Njombe John Kiowi amempongeza mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kwa jitihada zake anazozifanya katika kuwapelekea maendeleo wananchi wa Ludewa huku akiwashangaa wapinzani wanaopinga jitihada mbali mbali zinazofanywa na serikali ya chama cha Mapinduzi (CCM) na kudai kuwa yeye si mpinzani wa uchwara wa kupinga maendeleo .
Akizungumza na...
10 years ago
GPLFILIKUNJOMBE AKABIDHI MSAADA WA TSH MILIONI 40 KIJIJI CHA MAVANGA ASEMA CCM SI MBAYA WABAYA WATU
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-z5cprvMqfw4/Vaul3p01mgI/AAAAAAAB-6w/_XOM3U0gLGA/s72-c/DSC_0050.jpg)
FILIKUNJOMBE APELEKEWA FOMU YA UBUNGE NYUMBANI KWAKE , MWENYEWE AMPONGEZA JK ASEMA DR MAGUFULI ATEGEMEE KURA ZA KISHINDO LUDEWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-z5cprvMqfw4/Vaul3p01mgI/AAAAAAAB-6w/_XOM3U0gLGA/s640/DSC_0050.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-sJaYI_pWeJo/Vaul76fG3rI/AAAAAAAB-64/X8JxAq2i570/s640/DSC_0053.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-w68zdxxLVGw/Vaul9BnPH1I/AAAAAAAB-7A/c3vO8J0puQ0/s640/DSC_0062%2B%25281%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GUHOBPHcxIQ/VaumKB7c4GI/AAAAAAAB-7Q/vFjt0qOeesI/s640/DSC_0074.jpg)
9 years ago
StarTV10 Nov
Msajili wa Vyama asema bado wanasubiri taarifa rasmi kutoka NEC
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amesema Ofisi yake bado inasuburi Ripoti ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi-NEC juu ya vyama vya Siasa vilivyopata Wabunge ili ianze kuvipatia ruzuku.
Amesema hadi sasa Ofisi yake haijapokea Taaarifa yoyote ya kimaandishi ya NEC inayoanisha Vyama vilivyopata Wabunge na kwamba mara vyama hivyo vitakavyoainishwa wataanza kufanyia Tathmini ili vipewe Ruzuku zao.
Mutungi amebainisha hayo Jijini Dar Es Salaam wakati akitoa usajili wa Muda kwa chama...
10 years ago
Dewji Blog08 Jul
Mtangaza nia ubunge Ludewa aangukia pua nafasi ya NEC , asema hataki tena kugombea
Mkuu wa wilaya ya Ludewa, Antonia Choya akimkabidhi hati ya shukrani mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe (kushoto).
Mjumbe wa mkutano huo Bw. Choya akipiga kura.
Wajumbe wakishiriki kupiga kura.
Wajumbe ...
11 years ago
Mwananchi11 Jun
Mbunge asema Malawi imeanza kuwatisha Watanzania
9 years ago
Mzalendo Zanzibar05 Oct
Kweli NEC na ZEC Itaibeba Tena CCM Kwakuiba Kura za Watanzania??
By Daniel Mjema, Mwananchi Taveta, Kenya. Rais Jakaya Kikwete amemweleza Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM), kitashinda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25. Rais Kenyatta kwa upande wake bila kutaja CCM, alisema […]
The post Kweli NEC na ZEC Itaibeba Tena CCM Kwakuiba Kura za Watanzania?? appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar10 Oct
Chadema Yaipa NEC siku tatu……Yawataka Watanzania Wampuuze Dr. Slaa
Saturday, October 10, 2015 Naibu Katibu mkuu wa Chadema, John Mnyika ametoa siku tatu kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, (NEC) kukabidhi nakala ya Daftari la Wapigakura kwa vyama vya siasa kwa ajili ya uhakiki vinginevyo […]
The post Chadema Yaipa NEC siku tatu……Yawataka Watanzania Wampuuze Dr. Slaa appeared first on Mzalendo.net.