Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Forbes:Bill Gates ni tajiri zaidi duniani

Bwenyenye mmiliki wa kampuni ya kutengeneza kompyuta ya Microsoft, Bill Gates ndiye tajiri nambari moja duniani

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FORBES: BILL GATES NI TAJIRI NAMBA MOJA DUNIANI

Mmiliki wa kampuni ya kutengeneza kompyuta ya Microsoft, Bill Gates. Bwanyenye mmiliki wa kampuni ya kutengeneza kompyuta ya Microsoft , Bill Gates, ndiye tajiri nambamoja duniani kwa mwaka wa pili mfululizo. Kwa mujibu wa takwimu za jarida la Forbes ambalo huchapiShwa mara moja kila mwaka, Bill Gates ameorodheshwa kumiliki zaidi ya dola bilioni 79.2. Mfanyibiashara kutoka Mexico, Carlos Slim… ...

 

10 years ago

Bongo5

Forbes 2015: Dewji amtoa Rostam Aziz kwenye nafasi ya kwanza kama mtu tajiri zaidi Tanzania!

Mohammed Dewji ndiye mtu tajiri zaidi nchini Tanzania, kwa mujibu wa orodha ya mwaka 2015 ya mtandao wa Forbes wa mabilionea 32 barani Afrika. Awali ni Rostam Aziz ndiye aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo. Kwa mujibu wa Forbes, Dewji mwenye umri wa miaka 39 ana utajiri wa dola bilioni 1.3. Utajiri huo unamfanya mfanyabiashara huyo ambaye […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Real Madri klabu tajiri zaidi duniani

Real Madrid ndio klabu tajiri zaidi duniani kwa msimu wa tisa mfululizo kuambatana na orodha iliyochapishwa na kampuni Deloitte.

 

10 years ago

Dewji Blog

Real Madrid yatajwa kuwa Club tajiri zaidi duniani

Real-Madrid-CF-2014-2015-First-Team-Squad-Wallpaper-1366x768

Real Madrid, mabingwa mara kumi wa Ulaya, wameweza kushikilia nafasi ya kwanza kama timu tajiri zaidi duniani kwa mwaka wa kumi mfululizo, katika orodha ya Deloitte ya timu tajiri duniani.

Manchester United imesogea hadi nafasi ya pili kutoka ya nne, katika tathmini iliyofanywa kwa kuzingatia mapato ya msimu wa 2013-14.

Bayern Munich, Barcelona na Paris Saint-Germain zimechukua nafasi ya tatu, nne na tano.

Klabu za England za Manchester City, Chelsea, Arsenal na Liverpool zimo katika nafasi...

 

9 years ago

Bongo5

Hizi ndizo timu duniani (michezo yote) zenye thamani zaidi kwa mujibu wa Forbes

Forbes wametoa orodha mpya ya timu zenye thamani zaidi duniani. Orodha hiyo inaonesha kwa upande wa soka ni Real Madrid ndio imekamata nafasi ya juu ikifuatiwa na Manchester United. Hii ndio orodha kamili 1. New York Yankees – $661m (£430m) 2. Los Angeles Lakers – $521m (£339m) 3. Dallas Cowboys – $497m (£323m) 4. New […]

 

11 years ago

TheCitizen

Gates back to Forbes’ richest list

The surging price of Microsoft shares returned US tech tycoon Bill Gates back to the top of Forbes’ world’s billionaires list, with his $76 billion beating out Mexico’s Carlos Slim’s $72 billion.

 

9 years ago

Dewji Blog

Real Madrid yatajwa kuwa klabu tajiri zaidi duniani, Man Utd, FC Barcelona zafuatia!!

barca

Timu zinazoongoza kwa utajiri duniani..

Na Rabi Hume,Modewjiblog 

Klabu ya Real Madrid ya Hispania imetajwa kuwaklabu ya mpira wa miguu tajiri zaidi duniani kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na chuo cha biashara cha Wingereza, London School of Marketing.

Katika utafiti huo umeonyesha kuwa Real Madrid inautajiri wa Pauni Bilioni 2.070 ikifatiwa na Manchester United ya Wingereza iliyotajwa kuwa na utajiri wa Pauni Bilioni 2.050 na klabu ya Barcelona ikishika nafasi ya tatu kwa kuwa na...

 

10 years ago

BBCSwahili

FORBES lamtaja mwanamichezo tajiri

MCHEZAJI mkongwe wa mpira wa kikapu nchini Marekani, Michael Jordan ndiye mwanamichezo pekee bilionea ulimwenguni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani