Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Real Madri klabu tajiri zaidi duniani

Real Madrid ndio klabu tajiri zaidi duniani kwa msimu wa tisa mfululizo kuambatana na orodha iliyochapishwa na kampuni Deloitte.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Real Madrid yatajwa kuwa klabu tajiri zaidi duniani, Man Utd, FC Barcelona zafuatia!!

barca

Timu zinazoongoza kwa utajiri duniani..

Na Rabi Hume,Modewjiblog 

Klabu ya Real Madrid ya Hispania imetajwa kuwaklabu ya mpira wa miguu tajiri zaidi duniani kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na chuo cha biashara cha Wingereza, London School of Marketing.

Katika utafiti huo umeonyesha kuwa Real Madrid inautajiri wa Pauni Bilioni 2.070 ikifatiwa na Manchester United ya Wingereza iliyotajwa kuwa na utajiri wa Pauni Bilioni 2.050 na klabu ya Barcelona ikishika nafasi ya tatu kwa kuwa na...

 

10 years ago

GPL

REAL MADRID, MAN UTD KLABU TAJIRI DUNIANI

Wacheza wa timu ya Real Madrid. Takwimu zilizotolewa na Deloitte, ambao ni Wataalam wakubwa wa Mahesabu Duniani zinaifanya Real Madrid kuendelea kukaa kileleni mwa vilabu tajiri Zaidi. Manchester United wanashika nafasi ya pili katika listi hii wakipanda kutoka nafasi ya nne,huku mapato ya mwaka 2013/14 yakitumika kama kigezo. Timu kumi za mwanzo zote zinatoka katika ligi tano kubwa barani… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Real Madrid yatajwa kuwa Club tajiri zaidi duniani

Real-Madrid-CF-2014-2015-First-Team-Squad-Wallpaper-1366x768

Real Madrid, mabingwa mara kumi wa Ulaya, wameweza kushikilia nafasi ya kwanza kama timu tajiri zaidi duniani kwa mwaka wa kumi mfululizo, katika orodha ya Deloitte ya timu tajiri duniani.

Manchester United imesogea hadi nafasi ya pili kutoka ya nne, katika tathmini iliyofanywa kwa kuzingatia mapato ya msimu wa 2013-14.

Bayern Munich, Barcelona na Paris Saint-Germain zimechukua nafasi ya tatu, nne na tano.

Klabu za England za Manchester City, Chelsea, Arsenal na Liverpool zimo katika nafasi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Real Madrid ndio kilabu tajiri duniani

Real Madrid ndio timu tajiri zaidi kwa mwaka wa tatu mfululizo kulingana na jarida la biashara la Forbes.

 

10 years ago

BBCSwahili

Forbes:Bill Gates ni tajiri zaidi duniani

Bwenyenye mmiliki wa kampuni ya kutengeneza kompyuta ya Microsoft, Bill Gates ndiye tajiri nambari moja duniani

 

10 years ago

GPL

FORBES: BILL GATES NI TAJIRI NAMBA MOJA DUNIANI

Mmiliki wa kampuni ya kutengeneza kompyuta ya Microsoft, Bill Gates. Bwanyenye mmiliki wa kampuni ya kutengeneza kompyuta ya Microsoft , Bill Gates, ndiye tajiri nambamoja duniani kwa mwaka wa pili mfululizo. Kwa mujibu wa takwimu za jarida la Forbes ambalo huchapiShwa mara moja kila mwaka, Bill Gates ameorodheshwa kumiliki zaidi ya dola bilioni 79.2. Mfanyibiashara kutoka Mexico, Carlos Slim… ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Real Madrid kidedea klabu Bingwa Ulaya.

Michuano ya klabu Bingwa ulaya imeendelea kwa michezo kadhaa ikiwa ni hatua ya makundi kuelekea hatua ya 16 bora.

 

10 years ago

Mtanzania

Real Madrid yatwaa Kombe la Dunia la klabu

realRABAT, MOROCCO

TIMU ya Real Madrid imefanikiwa kuchukua ubingwa wa Kombe la Dunia la klabu, baada ya kuifunga San Lorenzo ya Argentina mabao 2-0, mchezo uliofanyika Uwanja wa Marrakesh, Morocco usiku wa kuamkia jana.

Ubingwa huo umeifanya Real Madrid kuwa na mwaka mzuri kihistoria kwani imechukua taji la nne mwaka huu, likiwemo hilo ambalo imelitwaa kwa mara ya kwanza.

Baadhi ya mataji mengine ambayo Madrid imefanikiwa kutwaa mwaka huu ni yale ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Kombe la Mfalme (Copa...

 

10 years ago

Habarileo

Dewji tajiri zaidi Afrika Mashariki

MFANYABIASHARA maarufu nchini, Mohammed `Mo’ Dewji (39), amezidi kupaa kwa utajiri, kiasi cha sasa kuwa ndiye bilionea kijana zaidi katika nchi za Afrika Mashariki, lakini pia akitajwa ndiye bilionea kijana zaidi barani Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani