Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GARI LAGONGANA NA BAJAJ, YASABABISHA FOLENI SINZA DAR

Gari lililogongana na Bajaj likiwa kando ya barabara. Bajaj iliyogongana na gari.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BAJAJ YA MLEMAVU ILIPOGONGA GARI MAENEO YA POSTA DAR

Bajaj iliyogonga gari.
Fundi akiangalia sehemu ya gari lililogongwa.
Wapita njia wakishuhudia ajali hiyo ndogo.…

 

9 years ago

Michuzi

News alert: Gari lateketea kwa moto mchana huu sinza Kumekucha, dar es salaam

 Gari dogo linalosemekana lilikuwa matengenezoni limeshika moto na kuteketea mchana huu eneo la Sinza Kumekucha jijini Dar es salaam. Mashuhuda wameiambia Globu ya Jamii eneo la tukio kwamba huenda chanzo kikawa moto wa kuchomelea ambapo fundi welding alikuwa kazini. Shughuli zikiendelea kama kawaid wakati gari hilo likiwaka motoHadi wakati ripota wetu akiondoka eneo hilo huku gari likizidi kuteketea hakuna dalili ya kuwepo ya juhudi za kuliokoa. Ihukuriwe hakuna mtu aliyepata madhara.

 

10 years ago

GPL

GARI ZAGONGANA, ZASABABISHA FOLENI

Upande wa gari uliogongwa huku 'side morror' ikiwa imeondolewa Dereva wa gari iliyogongwa akimfuata dereva mwenye canter…

 

10 years ago

GPL

GLOBAL YAPENDEZESHA BAJAJ JIJINI DAR

Afisa Masoko wa Global Publishers, Benjamin Mwanambuu akimweleza jambo Mhariri Kiongozi wa Magazeti Pendwa ya Global Publishers, Oscar Ndauka (kushoto) wakati  wakikagua mwonekano mpya wa Bajaj za jijini Dar. Dereva wa bajaj akiwa na afisa wa promosheni kutoka gazeti la Championi akiangalia muonekano mpya…

 

11 years ago

Michuzi

Redd's Miss Sinza 2014 Kufanyika kesho Meeda Club Sinza

Mratibu wa shindano la Redd's miss Sinza 2014 Tinna Matutuna katikati akizungumza na waandishi wa Habari katika ukumbi wa mikutano wa Meeda Night Club sinza juu ya Shindano la Redd's Miss Sinza litakalofanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa Meeda Night Club kwa kiingilio cha 5,000 kwa viti vya kawaida na 10,000 kwa Viti Maalum .kushoto na kulia ni baadhi ya warembo wa shindano hilo. =======  ====== ===== MNYANGE atakayefanikiwa kuibuka mrembo wa kitongoji cha Sinza ‘ Redds Miss Sinza  2014’...

 

11 years ago

GPL

MAZOEZI YA MISS SINZA KUANZA MEI 5 KWENYE UKUMBI WA MEEDA, SINZA

Prisca Clement (katikati) mara baada ya kushinda taji la vipaji katika mashindano ya Miss Tanzania 2013. Na Mwandishi Wetu
MAZOEZI ya warembo watakaowania taji la urembo la Sinza, Miss  2014 yataanza Mei 5 kwenye ukumbi wa Meeda uliopo Sinza Mori na Lufungila jijini Dar es Salaam. Taji la Miss Sinza linashikiliwa na Miss Tanzania, Prisca Clement alimaliza katika hatua ya 10 bora katika mashindano ya mwaka jana ya Miss...

 

11 years ago

GPL

BAJAJ MPYA AINA YA RE4S ZAZINDULIWA JIJINI DAR

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Raymond Mushi akizindua bajaj RE4S. Kulia ni Meneja Mwandamizi wa East Africa of Bajaj, Ranjit Kakoti. Ranjit Kakoti (kulia) akimpongeza Mhe. Raymond Mushi baada ya uzinduzi huo.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Bomoabomoa yasababisha simanzi Dar es Salaam

Serikali Tanzania imeanza kubomoa nyumba zote zilizojengwa kinyume na sheria katika maeneo ya wazi na maeneo ya hifadhiya barabara.

 

10 years ago

GPL

MIUNDOMBINU MIBOVU YASABABISHA AJALI DAR

Muonekano wa sehemu ya barabara ilivyomeguka. Daladala iliyokwanguliwa wakati wa ajali hiyo. Trafiki akikagua eneo la tukio baada ya daladala hizo kugongana.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani