Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GARI ZAGONGANA, ZASABABISHA FOLENI

Upande wa gari uliogongwa huku 'side morror' ikiwa imeondolewa Dereva wa gari iliyogongwa akimfuata dereva mwenye canter…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Gari la JWTZ na Bus la Mohamed zagongana karibu na mizani ya Dodoma jioni hii

 Wananchi wakijaribu kumtoa dereva wa gari la JWTZ baada ya ajali na basi la Mohamed Trans jioni hii karibu na mizani ya Dodoma. Chini ni gari hilo la jeshi baada ya ajali. Picha kwa hisani ya JF

 

10 years ago

GPL

GARI LAGONGANA NA BAJAJ, YASABABISHA FOLENI SINZA DAR

Gari lililogongana na Bajaj likiwa kando ya barabara. Bajaj iliyogongana na gari.…

 

10 years ago

Vijimambo

BODABODA MBILI ZAGONGANA IRINGA NA KUUA

Dotto Ndanga mwenye miaka 31 mkazi wa eneo la Mkwawa Manispaa ya Iringa Mkoani Iringa amefariki baada ya kugongana na dereva mwenzake akiwa anaendesha pikipiki yenye namba za usajili T:349 CCW aina ya SKYMARK RACER.Aidha amesema marehemu amefariki wakati akitokea chuo kikuu cha Mkwawa kuelekea maeneo ya Iringa mjini ambapo alikuwa akijaribu kuipita pikipiki nyingine iliyokuwa mbele yake iliyokuwa ikiendeshwa na Joyce Kiwale ambaye amekimbia baada ya kuitokea kwa tukio hilo chanzo kikiwa ni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ghasia zasababisha mauaji ya watu Libya

Zaid ya watu kumi wameuawa katika msururu wa ghasia viungani mwa mji mkuu wa Libya Tripoli.

 

11 years ago

GPL

Yanga, Azam zagongana kwa Amissi Tambwe

Mshambiliaji  wa kimataifa ya Simba kutoka Burundi, Amissi Tambwe. Na Hans Mloli
NYOTA ya mshambuliaji hatari wa Simba, Amissi Tambwe inazidi kung’aa baada ya timu mbili zinazowania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, Yanga na Azam, kuulizia huduma yake kwa ajili ya msimu ujao.…

 

11 years ago

Habarileo

Vurugu Shule ya St Anne zasababisha hasara mil 140/-

Jasson RweikizaVURUGU zilizofanywa juzi katika Shule ya Msingi na Sekondari ya St Anne Marie Academy, jijini Dar es Salaam, zimesababisha hasara ya Sh milioni 140 kutokana na mali zilizoharibiwa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mvua za masika Zanzibar zasababisha vifo na uharibifu wa miundo mbinu

IMG_4180

Pichani juu na chini ni baadhi ya sehemu za Unguja zilizoathirika na mvua za masika zinazoendelea kunyesha visiwani humo.(Picha zote na Othman Maulid wa www.zanzinews.com)

Na Abdulla Ali-Maelezo Zanzibar                                        

Mvua za masika zinazoendelea kunyesha Visiwani Zanzibar zimesababisha hasara kubwa ikiwemo upotevu mali na mifugo, uharibifu wa miundombinu pamoja na kusababisha vifo vya watu.

Hayo yamweelezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais...

 

10 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

10 years ago

Michuzi

News alert:mvua za masika zasababisha maafa, uharibifu wa nyumba na miundombinu leo

Na Abdulla Ali wa Maelezo, Zanzibar                                        

Mvua za masika zinazoendelea kunyesha Visiwani Zanzibar zimesababisha hasara kubwa ikiwemo upotevu mali na mifugo, uharibifu wa miundombinu pamoja na kusababisha vifo vya watu. Hadi sasa watu wawili  ambao ni Nd. Juma Hamad (25) mkaazi wa Mwanakwerekwe na mtoto mmoja  mkaazi wa Kinuni anaekisiwa kuwa na miaka 8 wamepoteza maisha. Wote wawili ni kutoka Wilaya ya Magharibi Unguja.Hayo yamweelezwa na Waziri wa Nchi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani