Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BODABODA MBILI ZAGONGANA IRINGA NA KUUA

Dotto Ndanga mwenye miaka 31 mkazi wa eneo la Mkwawa Manispaa ya Iringa Mkoani Iringa amefariki baada ya kugongana na dereva mwenzake akiwa anaendesha pikipiki yenye namba za usajili T:349 CCW aina ya SKYMARK RACER.Aidha amesema marehemu amefariki wakati akitokea chuo kikuu cha Mkwawa kuelekea maeneo ya Iringa mjini ambapo alikuwa akijaribu kuipita pikipiki nyingine iliyokuwa mbele yake iliyokuwa ikiendeshwa na Joyce Kiwale ambaye amekimbia baada ya kuitokea kwa tukio hilo chanzo kikiwa ni...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAKAZI 6 WA MKOA WA IRINGA WATIMKA NA BODABODA ZA VODACOM IRINGA‏

Mshindi wa Pikipiki katika Promosheni ya Timka na Bodaboda inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Salome Kalinga(wanne toka kushoto)mkazi wa Iringa,akipokea funguo wa pikipiki yake aliyojishindia katika promosheni hiyo toka kwa Kaimu Mkuu wa Kanda ya Kusini Magharibi Bw.Benedict Kitogwa.Ili kujiunga na Promosheni hiyo mteja anatakiwa kutuma neno PROMO kwenda 15544. Meneja… ...

 

9 years ago

StarTV

Ofisi za Waziri Mkuu, Mkuu wa Mkoa zagongana kuhusu baa la njaa isimani iringa

Siku chache baada ya Star Tv kuripoti taarifa ya baa la njaa linalotishia maisha ya watu karibu ya 70,000 wa tarafa ya Isimani mkoani Iringa, ofisi mbili za Serikali zimegongana juu ya jambo hilo.

Wakati Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa imekilaumu kitengo cha Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kutotoa ushirikiano wa kutosha hadi watu kufikia hatua ya kula matunda pori kama chakula chao kikuu, kitengo hicho kimekanusha madai hayo kwa maelezo kuwa kuna utaratibu wa kutoa chakula cha msaada na...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI YA COASTER ILIYOGONGANA NA LORI NA KUUA WATU 23 IRINGA

Coaster la Kampuni ya Another G baada ya ajali. Taswira kutoka eneo la ajali hiyo. WATU zaidi ya 23 wamepoteza maisha katika ajali ya gari aina ya Coaster mali ya Kampuni ya Another G inayofanya safari zake kati ya Njombe - Iringa baada ya kugongana na lori jana usiku. Ajali hiyo imetokea eneo la Kinyanambo nje kidogo na mji wa Mafinga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wakati Coaster hiyo ikitokea mkoani Iringa kwenda… ...

 

11 years ago

GPL

UGOMVI WA KIMAPENZI WAPELEKEA MUME KUUA MTOTO WA KAMBO IRINGA

Mwenyekiti wa mtaa wa pangani kata ya Makorongoni mjini Iringa Salum Kibaya akiutazama mwili wa mtoto Raymond Ben Mangungu (2) aliyeuwawa kwa kukabwa shingo na baba wa kambo wakati wa ugomvi wa kimapenzi kati ya mwanaume huyo na mama wa mtoto huyo usiku wa leo. Askari  polisi akitazama mwili wa mtoto  huyo. Hali  ilivyokutwa ndani ya chumba  hicho  baada ya  tukio. Wananchi wa Makorongini wakimtazama...

 

10 years ago

GPL

GARI ZAGONGANA, ZASABABISHA FOLENI

Upande wa gari uliogongwa huku 'side morror' ikiwa imeondolewa Dereva wa gari iliyogongwa akimfuata dereva mwenye canter…

 

11 years ago

GPL

Yanga, Azam zagongana kwa Amissi Tambwe

Mshambiliaji  wa kimataifa ya Simba kutoka Burundi, Amissi Tambwe. Na Hans Mloli
NYOTA ya mshambuliaji hatari wa Simba, Amissi Tambwe inazidi kung’aa baada ya timu mbili zinazowania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, Yanga na Azam, kuulizia huduma yake kwa ajili ya msimu ujao.…

 

11 years ago

Michuzi

ASKOFU KKKT IRINGA DKT MDEGELA ATAKA'UKAWA' WASIRUHUSIWE KUENEZA CHUKI NCHINI, AWATAKA WAREJEE BUNGENI AMA WAFUNGASHE VIRAGO WARUDI NYUMBANI ASEMA SERIKALI NI MBILI PEKEE

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) dayosisi ya  Iringa  Dkt. OwdenburgMdegela Wachungaji na  msaidizi wa Askofu kulia wakifuatilia salam za  pasaka zilizokuwa  zikitolewa na askofu Dkt. Mdegela Waumini  wa KKKT usharika wa kanisa  kuu Iringa leo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA Na  Francis Godwin, Iringa 
ASKOFU mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) dayosisi ya  Iringa  Dkt. OwdenburgMdegela ameitumia ibada  ya Jumapili ya Pasaka leo  kulaani vikali  wale wote  wanaowatukana...

 

11 years ago

Michuzi

Gari la JWTZ na Bus la Mohamed zagongana karibu na mizani ya Dodoma jioni hii

 Wananchi wakijaribu kumtoa dereva wa gari la JWTZ baada ya ajali na basi la Mohamed Trans jioni hii karibu na mizani ya Dodoma. Chini ni gari hilo la jeshi baada ya ajali. Picha kwa hisani ya JF

 

10 years ago

Michuzi

JAMBO LEO YAICHABANGA BODABODA FC TAMASHA LA BODABODA UKONGA

 Mlinda mlango Maganga Benjamin wa timu ya Bodaboda Wilaya ya Ilala, akiudaka mpira katikati ya wachezaji wa timu ya Jambo Leo 'Wagumu Stars' Zahoro Mlanzi (kushoto) na Ali Salum wakati wa Tamasha la Bodaboda lililofanyika kwenye Uwanja wa Ukonga Gerezani, Dar es Salaam. Mgeni rasmi katika tamasha hilo alikuwa Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa. Jambo Leo ilishinda mabao 2-1. Moja ya kizazaa langoni mwa Bodaboda FC iliyosababishwa na washambuliaji wa Jambo Leo Mshambuliaji wa timu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani