GARI LIKIWA LINAOSHWA KATIKA ENEO HATARISHI MBEZI KWA YUSUFU
Madereva wanatakiwa kuwa makini wanapo peleka magari kuosha kwa mfano gari hili ni la thamani kubwa lakini linaoshwa katika hali ya kuhatarisha gari hilo kando kando ya barabara ya dar mororogo eneo la mbezi kwa yusufu jana jioni.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzimtu mmoja anusurika katika ajali ya gari eneo la Kibele, Zanzibar, leo
11 years ago
GPLGARI LAKAMATWA LIKIWA LIMEBEBA MAITI YENYE DAWA ZA KULEVYA MKOANI MOROGORO
10 years ago
VijimamboBIBI HUYU AUA MJUKUU WAKE WA MIAKA 6 KWA KUMTUPA DIRISHANI WAKATI BASI LIKIWA KATIKA MWENDO KASI HUKO SINGIDA
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida mama moja aliye kuwa akisafiri na mtoto wake mmoja na wajukuu zake wawili, aliamua kumtupa mjukuu wake wa miaka sita dirishani huku basi likiwa katika mwendo kasi na kusababisha kifo chake baada ya kufikishwa katika hospitali ya mkoa wa Singida.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa jeshi la polisi mkoani Singida...
10 years ago
VijimamboUSAFIRI UNAOTUMIKA KUSAFIRISHA ABIRIA MKOANI GEITA ENEO LA BUSERESERE NI HATARISHI
11 years ago
MichuziAJALI ENEO LA AFRIKANA, MBEZI BEACH MCHANA WA LEO
11 years ago
GPLAKUTWA AMEUAWA ENEO LA AFRICANA-MBEZI JIJINI DAR
10 years ago
GPLAJALI YA GARI YAUA MBEZI JIJINI DAR
11 years ago
GPLUBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO MBEYA NI KERO KWA WAFANYA BIASHARA ENEO HILO
10 years ago
Dewji Blog03 Feb
Mama Daniela Schadt aipongeza WAMA kwa kazi wanayoifanya ya kuwasomesha watoto wa kike ambao ni yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Na Anna Nkinda – Maelezo
Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) imepongezwa kwa kazi inayoifanya ya kuhakikisha watoto wa kike ambao ni yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi wanapata elimu sawa na watoto wengine.
Pongezi hizo zimetolewa leo na Mke wa Rais wa Shirikisho la Ujerumani Mama Daniela Schadt wakati akiongea na wafanyakazi wa WAMA alipozitembelea ofisi za Taasisi hizo zilizopo jijini Dar es Salaam.
Mama Schadt ambaye ni Mke wa Rais...