GEA HABIB WA CLOUDS FM APATA MTOTO KWA NJIA YA KISU
![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOT22whCYl2wzEKidYQHOFevcog4dlrX7RewTO0iSDGNnNJTMrmFBz3EYyfM4JCLdIBIJHWcKUoMq-WcRmVOatKT/GEA.jpg?width=640)
Gea Habib wa Clouds FM. MTANGAZAJI nyota wa miondoko ya taarab Gea Habib wa Clouds FM amejifungua mtoto wa kiume jana jijini Dar es Salaam  katika hospitali ya Kinondoni (Kwa Dr Mvungi) kwa njia ya upasuaji na sasa anaendelea vizuri yeye na mtoto wake. Huyu anakuwa ni mtoto wa tatu kwa Gea ambaye pia husikika katika kipindi cha Leo Tena kinachosikika kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa, akitamba zaidi katika kipengele cha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi09 Aug
GEA HABIB : Mwanzilishi wa ‘Hekaheka’ anayekerwa na ukatili dhidi ya watoto
10 years ago
Dewji Blog22 Aug
Hukumu kwa Clouds Radio na TV ukiukwaji wa kanuni za utangazaji kipindi cha Bibi Bomba na njia panda
Mwenyekiti wa Kamati Maudhui Eng. Margaret Munyagi (wa pili kulia), akisoma hukumu dhidi ya Could FM na Clouds TV kuhusu uvunjwaji wa kanuni za utangazaji.. Wengine toka kushoto, Abdul Ngarawa, Joseph Mapunda na Walter Bugoya.(Picha kwa hisani ya Innocent Mungy wa TCRA).
Rulling Clouds Fm Radio by moblog
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akRNsHh3LOXKS02nalheiyGYDKTtJjheltGg0zeXN8xUU44Xp8edpkJdNpepdnKVFkqvYXvimxVjjXh-UTE7PL-G/mungumsaidie.jpg)
MTOTO MIAKA 3 AJISAIDIA HAJA KUBWA KWA NJIA YA MDOMO
11 years ago
Mwananchi07 Mar
10 years ago
MichuziTCRA YAKITOZA FAINI KITUO CHA TELEVISHENI CHA CLOUDS TV NA RADIO CLOUDS FM KWA KUKIUKA MAUDHUI YA UTANGAZAJI
11 years ago
MichuziMTOTO WA MIAKA 9 ATAKA KUWEKA REKODI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA KUTUMIA NJIA NGUMU
kupanda Mlima Kilimanjaro.
kupanda Mlima Kilimanjaro.
10 years ago
BBCSwahili14 Aug
Mtoto apata mtoto Paraguay.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-VHyLUUR13iI/XomMUz9AdMI/AAAAAAALmC0/vr9nKJAF3UooaIYWdgkAws0LmZXRU_agQCLcBGAsYHQ/s72-c/UZINDUZI-1024x821.jpg)
Usomaji kwa njia ya kidijitali : Vodacom Instant Schools njia sahihi ya elimu kwa vitendo
![](https://1.bp.blogspot.com/-VHyLUUR13iI/XomMUz9AdMI/AAAAAAALmC0/vr9nKJAF3UooaIYWdgkAws0LmZXRU_agQCLcBGAsYHQ/s640/UZINDUZI-1024x821.jpg)
Wazo la usomaji kwa njia ya kidijitali linalenga kuongeza ufanisi na kuboresha mazingira ya usomaji kwa wahusika kutumia nyenzo za kisasa. Lengo siyo kuachana na mfumo wa mafunzo ya darasani bali kuuboresha kwa kuzingatia matumizi ya teknolojia.
Kwa...
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Wasiopenda kujifunza kwa njia rahisi, watajifunza kwa njia ngumu
NIMEMSIKIA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akisema kuwa katiba mpya haileti maendeleo hata ikija. Msingi wa hoja yake ni kuwa katiba mpya siyo mtatuzi wa matatizo...