Gereza la Songwe kuvunjwa kwa madini
Gereza la Songwe mkoani hapa linatarajiwa kuvunjwa na kujengwa sehemu nyingine kupisha uchimbaji wa madini adimu duniani ya niobium.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Jul
Tunahitaji ‘gereza- lisha’ au ‘gereza- kijiji’ ?
Nionavyo mimi muundo na mfumo wetu wa magereza umepitwa na wakati. Ninasema hivyo kwa kuwa ni jambo la kushangaza kwamba kwenye nchi yenye ardhi ya kutosha bado magereza yetu ni vijieneo vidogo pembezoni mwa miji yetu badala ya kuwa kijiji kikubwa ambacho tofauti na vijiji vingine ni kuwa vijiji hivyo ni vya watu wasiokuwa huru, yaani, wafungwa.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_abOajkhPjQ/VcfT2RA3IJI/AAAAAAAHvj0/AcubMiexSRk/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
MAFUNZO KWA WACHIMBAJI WA MADINI KUHUSU MATUMIZI YA HUDUMA ZA LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO — KANDA YA ZIWA NYASA- SONGEA (7/8/2015) NA TUNDURU (9/8/2015)
Wizara ya Nishati na Madini inaendelea na mpango wake wa Mafunzo kwa Wachimbaji Madini Nchini kuhusu matumizi ya Mfumo wa Huduma za Leseni kwa njia ya Mtandao yaani Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP). Pamoja na malengo mengine, Mfumo huo umeanzishwa ili kutekeleza agizo la Serikali la kutaka Wizara na taasisi za Serikali ziwe zinapokea malipo ya Serikali kwa njia za kielektroniki. Mafunzo hayo yanatarajiwa kutolewa kwa wachimbaji wadogo nchi nzima ili kuwajengea uwezo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-_abOajkhPjQ/VcfT2RA3IJI/AAAAAAAHvj0/AcubMiexSRk/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-d7v1cce0SPg/VHVi5vJB2sI/AAAAAAAGzdY/76ipg3Cvvs0/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
Kamishna wa Madini afungua mafunzo ya uongezaji thamani madini kwa wanawake.
Na Teresia Mhagama Kamishna wa madini nchini, Mhandisi Paul Masanja amefungua rasmi mafunzo ya uongezaji thamani madini kwa wanawake 15 wa kitanzania waliopata ufadhili wa masomo hayo ambayo ni matunda ya harambee iliyoanzishwa na Kamati ya Maandalizi ya Maonesho ya Kimataifa ya Vito ya Arusha mwaka 2012. Mafunzo hayo ya ukataji madini yatakayowawezesha wanafunzi husika kukata madini na kuyachonga katika maumbile ya kuvutia yatakuwa yakitolewa kwa muda wa miezi Sita katika Kituo cha...
11 years ago
GPL08 Jun
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nGTcCv7erQIqJWnCVKMo8DcvpUZ8XXQLFkehyusPUUcLPrngyBIiYZY59ngCyS1Vk8SgutDZo1BsERYVBu9rJjMapI98zw3t/IKULU.png?width=650)
TANGAZO LA SERIKALI KUHUSU KUVUNJWA KWA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA
Mhe. Rais aliunda Tume ya Mabadiliko ya Katika kwa mujibu wa kifungu cha 5 na 6 cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 kwa Tangazo la Serikali Na.110 la Mwaka 2012. Tume ilikusanya maoni na kuandaa Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo imewasilishwa kwenye Bunge Maalum.
Kwa mujibu wa kifungu cha 31 cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 3, Rais amepewa mamlaka ya kuvunja Tume ya Mabadiliko ya...
11 years ago
Michuzi25 Mar
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Wanaotaka kuvunjwa kwa SUK Zanzibar, wachukue hadhari kabla ya hatari
Ni miaka minne sasa tangu kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani Zanzibar (SUK), ambayo kwa kiasi kikubwa imerejesha siasa za kistaarabu, ushindani wa sera za vyama, amani na utulivu.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-UOYBJ8yMbbc/XmD0j_7CLsI/AAAAAAALhNE/cZfNVgKsHxciuwIy3scN5uMZw6s5YqVnwCLcBGAsYHQ/s72-c/1-9.jpg)
TRA SONGWE YAGAWA BIDHAA ZILIZOINGIZWA KWA NJIA ZA MAGENDO
![](https://1.bp.blogspot.com/-UOYBJ8yMbbc/XmD0j_7CLsI/AAAAAAALhNE/cZfNVgKsHxciuwIy3scN5uMZw6s5YqVnwCLcBGAsYHQ/s1600/1-9.jpg)
Mkoa wa Songwe, Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela (aliyevaa miwani) akikagua orodha ya bidhaa ambazo zimetolewa na Mamlaka ya Mapato (TRA) kutokana na kuwa zimekamatwa kwa njia za njia za magendo na wamiliki hawakujitokeza.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/2-9.jpg)
Simenti iliyokamatwa kwa kuingizwa nchini kwa njia za Magendo katika Mpaka wa Tunduma ikitolewa kwa ajili ya kupelekwa katika shule za sekondari za Mkoa wa Songwe.
…………………………………………………………Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) Mkoa wa Songwe imegawa baadhi ya...
10 years ago
Michuzi15 Sep
BENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA MADINI WAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh,Stephen Masele akizungumza kwenye uzinduzi huo uliovuta hisia za wanakijiji wengi.Naibu Waziri wa Nishati na Madini akizungumza na Wananchi Mkurugenzi Mtendaji wa Geita Gold Mine,Michael Van Anen Mwakilishi Mwandamizi kutoka Benki ya Dunia ambaye pia ni mtaalamu wa madini kutoka idara ya nishati endelevu nchini Marekani,Bwa.Mamadou Barry akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi mkubwa wa uchimbaji madini kwa wachimbaji wadogo wadogo katika kijiji cha...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10