Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GWAJIMA SASA ATIKISA NCHI

Mwandishi wetu
KIONGOZI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Mchungaji Josephat Gwajima sasa anaitingisha nchi baada ya sakata lake lililotokana na kauli yake ya kejeli dhidi ya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Policarb Kardinali Pengo kuwa gumzo karibu kila sehemu hapa nchini. Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Mchungaji Josephat Gwajima. Katika mitandao mbalimbali ya kijamii, redio, magazeti na televisheni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ATIKISA DODOMA,ACHUKUA FOMU YA URAIS,SASA SAFARI YA TANZANIA KUELEKEA KIPATO CHA KATI IMEANZA

Mh.Mwigulu akiwasili makao makuu ya CHAMA CHA MAPINDUZI mjini Dodoma kwaajili ya Kuchukua Fomu ya Kuwania Urais wa Tanzania mwaka 2015.Mh:Mwigulu akisaini kitabu cha Wagombea Urais kupitia chama cha Mapinduzi.Mh:Mwigulu Nchemba na Mke wake Bi.Neema Mwigulu wakifurahia kukabidhiwa nyaraka mbalimbali za kufanikisha mchakato wa Kutafuta Wadhamini Nchi Nzima kuelekea hatua ya pili ya Mchujo wa Wagombea Urais ndani ya CCM.Mwigulu Nchemba akimtambulisha Mke wake Bi.Neema Ngure kwa Umma wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Askofu Gwajima sasa aja kivingine

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ameliombea Taifa ili liepukane na ajali za barabarani, akisema nyingi zinasababishwa na kafara zinazofanywa na baadhi ya watu aliowaita wabaya.

 

10 years ago

Vijimambo

GWAJIMA ANALO SASA SERIKALI KUTAKA KUJUA NINI TOFAUTI YA YELLOW NA ORANGE

Dola ni Habari Nyingine,Gwajima DOLA imemfikia,hawana papara,wanakwenda naye taratibu.

 

10 years ago

Mtanzania

‘Nchi hivi sasa inayumba’

JOSEPH SINDE WARIOBA (TUME YA KATIBA TANZANIA)Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
VIONGOZI wastaafu na wasomi nchini wamesema hivi sasa taifa linakabiliwa na viashiria vya uvunjivu wa amani hali inayosababisha nchi kuyumba.
Kutokana na hali hiyo wamesema ni muhimu kudhibiti amani hasa katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Walikuwa wakizungumza Dar es Salaam jana katika mkutano uliandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere unaojadili amani na umoja wa nchi.
Jaji Warioba
Akizungumzia hali ya amani,...

 

10 years ago

Vijimambo

Mawakili wa Gwajima Wajibu Mapigo Waiandikia Barua Polisi Kuhusu Uhalali wa Kumtaka Gwajima Awasilishe Nyaraka 10 za Mali Zake


Mawakili wa Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, wameandika barua kuliomba Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kuandika kimaandishi nyaraka wanazozihitaji azipeleke pamoja na vifungu vya sheria vinavyomtaka awasilishe nyaraka hizo.Barua hiyo iliyosainiwa na Wakili Peter Kibatala iliwasilishwa jana mchana katika jeshi hilo, ikiwa ni siku moja baada ya jeshi hilo kumtaka Askofu Gwajima kuwasilisha nyaraka 10, Aprili 16 mwaka huu watakapoendelea na mahojiano.
Gwajima...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Nchi sasa gizani siku saba.

NA RESTUTA JAMES 7th September 2015 Shirika la umeme nchini (Tanesco), limetangaza nchi kuingia ‘gizani’ kwa wiki nzima kuanzia leo kutokana na kuzimwa kwa mitambo ya gesi inayozalisha umeme kutoka Songosongo na kuanza majaribio ya gesi […]

The post Nchi sasa gizani siku saba. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Vijimambo

Mawaziri wa sasa,wa Nyerere ,mbingu na nchi


Peter AmbilikileBARAZA la Mawaziri la sasa ambalo lina asilimia 95 ya wasomi na wenye umri zaidi ya miaka 50, limekuwa likikumbwa mara kwa mara na kashfa za ufisadi na kukosa uwajibikaji, ukilinganisha na baraza la Mwalimu Julius Nyerere na Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Amani Abeid Karume.Uchambuzi uliofanywa na gazeti hili unaonesha kwamba kati ya mawaziri 31 kamili, ni mawaziri sita tu ndiyo wenye umri wa miaka chini ya 50.Mawaziri hao ni Waziri wa Fedha, Saada Mkuya (40), Waziri wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nchi inataka mabadiliko makubwa sasa!

RAIS wangu, sauti zinasikia kutoka kila kona ya nchi yetu, wananchi wanataka Tanzania waitakayo! Ni Tanzania ipi hiyo? Tuliyomo siyo Tanzania waitakayo. Wanadai mabadiliko sisi tungali uongozini. Je, tumewakinai na...

 

10 years ago

Mwananchi

Hii sasa imekuwa nchi ya dharura

>Wakati tukiwa shule ya msingi, tulisikia kila mara wakubwa zetu wakimtaja Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kwa jina la Musa. Walielezea kuwa jina hilo lilitokana hasa na jinsi Raisn huyo wa Serikali ya Awamu ya Kwanza alivyozoea kushika fimbo kila alipoonekana hadharani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani