Haki za watoto ziangaliwe upya
KILA zama zina mambo yake, mazuri na mabaya. Zama tulionazo Zanzibar sasa ni za kusikitisha kwa vile ukienda sokoni, kwenye kituo cha daladala au katika baraza za kahawa kinachosikika ni kilio cha...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
Dk Kigoda: Sheria za usafirishaji ziangaliwe upya
SERIKALI imesema ipo haja ya kuangalia baadhi ya sheria zilizowekwa katika sekta ya usafirishaji kwa kuwa nyingi ya sheria hizo zinafaidisha nchi jirani. Akizungumza kwa niaba ya Waziri Mkuu, Mizengo...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
Polisi kulinda haki za watoto
WANANCHI wametakiwa kuzingatia haki za binadamu na kutambua kuwa kila mmoja ana wajibu wa kuishi bila kushurutishwa na mtu. Kauli hiyo ilitolewa juzi na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
11 years ago
BBCSwahili23 May
UN:Vatcan inapuuza haki za watoto
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
‘Wanawake, watoto tambueni haki zenu’
WANAWAKE na watoto wametakiwa kuzitambua haki zao za kimsingi katika jamii ili kuepukana na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia vinavyokithiri wilayani Karagwe. Mkurugenzi Mtendaji wa asasi isiyo ya kiserikali ya...
10 years ago
StarTV05 Jan
Jamii yaaswa kuzingatia haki za watoto.
Na Marcus/Dida,
Mwanza.
Watanzania wameaswa kuzingatia haki za watoto za kupendwa, kusikilizwa na kupata stahili zote muhimu ili kupata Taifa lenye watu waliopata malezi mema.
Kukithiri kwa vitendo vya unyanyasaji wa watoto ni mfano mbaya kutoka kwa walezi ambao humsababishia mtoto huyo kuishi maisha ya huzuni na kisasi kwa aliyotendewa.
Ni wito kutoka kwa Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Mwanza Jude Thaddeus Ruwa’ichi wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya Epifania iliyofanyika Parokia ya...
5 years ago
Michuzi
USHIRIKIANO UNAHITAJIKA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA HAKI ZA WATOTO

11 years ago
BBCSwahili20 Mar
Watoto wa Marais wana haki kujiunga na siasa?
9 years ago
Mtanzania02 Dec
Watoto wa wanamuziki wa zamani walilia haki za wazee wao
NA JANETH MAPUNDA (MSPS)
BAADHI ya watoto wa wanamuziki wa zamani wameibuka na kudai kwamba wamesikitishwa na mitandao mbalimbali inayouza nyimbo za wazazi wao bila kuwa na makubaliano na familia zao.
Mmoja wa watoto hao akimwakilisha msanii Kassim Njohole aliyekuwa akipiga katika bendi ya ‘Njohole Jazz Band’, Hassan Kassim Njohole maarufu ‘Hanjo Hassan, aliliambia MTANZANIA kwamba familia zao zinashangazwa kuona mitandano ya ndani na nje ya nchi ikiuza nyimbo za wazazi wao bila familia...
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Dk. Gama alilia haki ya dini kwa watoto wa kike