Hakuna atakayekufa kwa njaa- Kikwete
Rais Jakaya Kikwete amesema hakuna Mtanzania atakayekufa kwa njaa na amewaagiza wakuu wa wilaya na mikoa nchini kufanya taratibu za kuomba chakula kutoka serikalini mapema kabla ya tatizo hilo kuwaathiri wananchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo11 Nov
Wanachuo watelekezwa, wazirai kwa njaa
WANAFUNZI 46 wa chuo kipya cha kilimo na mifugo cha Nice Dream kilichopo Mtaa wa Mapelele, Kata ya Ilemi jijini Mbeya wamejikuta wakiwa katika wakati mgumu, baada ya kutelekezwa na uongozi wa chuo hicho, kiasi cha kushindwa kupata chakula kwa siku tano mfululizo, hali iliyosababisha baadhi yao kuzirai.
9 years ago
Bongo Movies27 Dec
Mastaa: Magufuli Ametuua kwa Njaa
![Baby Madaha](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/madaha-1024x1024.jpg)
Baby Madaha
Jambo limezua jambo! Kufuatia tumbuatumbua inayoendeshwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli kwa vigogo waliokuwa wanawapa jeuri mastaa wa kike mjini, wenyewe wameibuka na kusema kiongozi huyo ‘amewaua’ kwa njaa.
Chanzo makini kililiambia gazeti hili kuwa mastaa wengi wa kike wanalalamika njaa na ndiyo maana tangu alipoingia madarakani Rais Magufuli na kuanza kuwaondoa mafisadi, wasanii hao wamekuwa hawaonekani viwanja kama zamani kwa sababu hawana mkwanja.
“Yaani wasanii wa kike...
10 years ago
Mtanzania13 Apr
sekondari za Serikali zafungwa kwa njaa
Na Waandishi Wetu
SHULE mbalimbali za sekondari za bweni zinazomilikiwa na Serikali zimefungwa kutokana na kukosa chakula.
Uchunguzi uliofanywa na MTANZANIA umebaini takribani kwenye mikoa yote kuna shule zimefungwa na nyingine ziko hatarini kufungwa kwa kukosa chakula.
DODOMA
Mkoani Dodoma Shule ya Sekondari Mpwapwa iliyopo katika Wilaya ya Mpwapwa ilitakiwa kufunguliwa tangu Aprili 8, lakini imeshindikana kutokana na ukosefu wa chakula.
Akizungumza na MTANZANIA, mkuu wa shule hiyo, Nelson...
10 years ago
Mwananchi14 Jan
Kwa nini wengi hulia njaa Januari?
10 years ago
Raia Tanzania23 Jul
Wasomi kizimbani kwa kuchochea njaa nchini
INADAIWA kwamba, Afrika ndilo bara pekee duniani ambalo utabiri wa mwanauchumi mashuhuri Malthus (1798) kwamba uzalishaji wa chakula hautaweza kuwiana na ongezeko la watu umetimia tangu miongo michache iliyopita.
Msingi wa dhana ya Malthus ni kwamba, wakati idadi ya watu inaongezeka kwa kasi ya kutisha, upatikanaji wa chakula unakua kwa kusuasua.
Kilimo huchangia takriban asilimia 50 ya Pato Ghafi la Taifa (GNP) Barani Afrika na kwa Tanzania, mchango wake ni zaidi kidogo ya
asilimia...
5 years ago
BBCSwahili23 Jun
Kwa nini kufiwa na mwenza kunamaanisha kuwa na njaa?
10 years ago
Mwananchi28 Apr
Njaa shuleni, tunapeleka ujumbe gani kwa watoto?
10 years ago
Mwananchi21 Apr
Njaa shuleni, tunapeleka ujumbe gani kwa watoto wetu?
10 years ago
BBCSwahili29 May
Watoto elfu 250 huenda wakafa kwa njaa Sudan