Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


hakuna nchi itakayoweza kukabiliana na madhara ya Nyukilia

Kanali Dr. Edward Massala kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ) akifuatilia majumuisho ya Mkutano wa Tatu wa Maadalizi ( Prep CoM) ya mapitio ya Mkataba wa Kimataifa wa Uzuiaji wa Usambaaji Holela wa Silaya za Nyukilia ( NPT) Mkutano huo wa maandalizi ulifanyikak wa wiki mbili hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa. Ingawa wajumbe kutoka nchi 149 kati ya 189 ambazo ni wanachama wa NPT hawakutoka na makubaliano ya pamoja kuhusu mapendekezo na mpango wa utekelezaji ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

NCHI 20 ZENYE NGUVU KIUCHUMI WAKUBALIANA KUSAMEHE KWA MUDA MADENI YA NCHI MASIKINI DUNIANI ILI ZIWEZE KUKABILIANA NA CORONA

Wakuu wa nchi 20 zenye nguvu kiuchumi na zinazoinukia kiuchumi duniani, G20 wamekubaliana kusamehe kwa muda madeni ya nchi masikini duniani. 
Mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu wa G20 wamesema wanaunga mkono kusimamisha kwa muda malipo ya madeni kwa nchi hizo ambazo zinahitaji kuvumiliwa. 
Uamuzi huo umefikiwa jana katika mkutano wao uliofanyika kwa njia ya video. 
Muda huo unaanza Mei Mosi hadi mwishoni mwa mwaka 2020 na deni kuu pamoja na malipo yote ya riba yatasimamishwa. 
Mkurugenzi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Je nchi za Afrika ziko tayari kukabiliana na janga hili?

Jinsi nchi barani Afrika zinavyojitayarisha kukabiliana na virusi vya corona iwapo vitasambaa

 

5 years ago

Michuzi

Wananchi Watakiwa kutunza mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi


Na Woinde Shizza , ARUSHA

BARAZA la Taifa la hifadhi na usimamizi wa Mazingira Kanda ya kaskazini (NEMC) limewataka wananchi kutunza mazingira ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.

Akizungumza na waandishi wa habari  leo Meneja Meneja wa kanda ya kaskazini Lewis Nzali alisema uharibifu wa mazingira unachangia kwa kiasi kikubwa kupoteza kwa baadhi ya viumbe hai maarufu kama bionuai pamoja na hali ya jangwa na ukame.

Alisema kuwa Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya...

 

9 years ago

Michuzi

WWF YAIJENGEA UWEZO HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI

Mganga Mkuu wa Jiji la Arusha, Dk Bakari Salum akifungua mkutano wa Wasaa wa Mazingira (Earth Hour City Challenges) kwa watumishi wa halmashauri ya Jiji la Arusha unaowajengea uwezo kuweka mipango inayoendana na mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika kwenye hotel ya Palace jijni Arusha kushoto ni Mratibu wa mradi wa nishati wa shirika la Utunzaji wa mazingira duniani(WWF- Tanzania)Dk Teresia Olemako. Mratibu wa mradi wa nishati wa shirika la Utunzaji wa mazingira duniani(WWF- Tanzania)Dk...

 

5 years ago

CCM Blog

''IRAN IPO TAYARI KUZIPA NCHI ZA AFRIKA UZOEFU WAKE WA KUKABILIANA NA CORONA''

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuyapa mataifa ya Afrika uzoefu wake katika suala la kupambana na ugonjwa wa COVID-19 (Corona).Mohammad Javad Zarif amesema hayo katika ujumbe alioutuma kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter kwa mnasaba wa 'Siku ya Afrika' iliyoadhimishwa jana Jumatatu. Katika ujumbe wake huo, Dakta Zarif amesema kuwa, "Pongezi kwa Siku ya Afrika 2020, siku hii inatukumbusha mapambano ya...

 

5 years ago

Michuzi

WATAALAM WA AFYA KUTOKA NCHI ZA ASIA,AFRIKA WABADILISHANA UZOEFU KUKABILIANA NA CORONA

Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV
WATALAAM wa afya kutoka nchi za Asia Pacifc na Afrika wamekutana leo kwenye madahalo wa pili wa kujadili na kubadilisha uzoefu katika kupambana na virusi vya Corona.
Mdahalo huo umefanyika kupitia Kituo cha Mafunzo duniani (TaGLC) kilicho chini ya Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) kwa kushirikiana na GDLN, Korea.
Kwa mara ya kwanza mdahalo wa aina hiyo uliofanyika Machi 16, mwaka 2020 na kwa sehemu kubwa ulijikita kuhusu athari na jinsi ya kupambana na Virusi vya ...

 

5 years ago

Michuzi

WILAYA YA MONDULI YAPOKEA MICHE 500 YA MITI KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI


Vero Ignatus.

Mamlaka ya Misitu wilaya ya Monduli (TFS) imekabidhiwa Miche ya miti zaidi 500 ili kupambana na mabadiliko ya Tabia Nchi kutoka Mradi wa Tunandoto Tanzania Ulio chini ya Kanisa la FPCT.

Akikabidhi miti hiyo Mkurugenzi wa wilaya hiyo Stephen Ulaya amesema amekabidhi miche hiyo kwa Mamlaka ya Misitu Tanzania (TFS) wilaya ya Monduli ili kuelekeza miche hiyo katika maeneo yenye uhitaji ndani ya wilaya hiyo.

Ulaya amesema miche hiyo ya Miti wamepokea kutoka Mradi wa Tunandoto ulio...

 

10 years ago

Michuzi

HAKUNA NCHI INAYOWEZA KUSIMAMA PEKE YAKE-BAN KI MOON

Na Mwandishi Maalum, New York  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, amesema, kutokana na dunia kukabiliwa na matatizo mengi na ambayo yanatokea kwa wakati mmoja.Kuanzia mlipuko wa Ebola, vita na machafuko , ugadi, uhalifu wa kupangwa na mabadiliko ya tabia nchi.  Hakuna nchi ambayo inaweza kujidai kwamba inaweza kusimama peke yake. Ameyasema hayo siku ya jumanne wakati alipokuwa akibadilishana mawazo na wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa Nne wa Dunia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani