Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Halahala katiba isiwatenge Watanzania

WAKATI Watanzania wakisubiri kwa hamu uamuzi wa kuipitisha ama kutoipitisha Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya, tayari dalili za mvutano baina ya vyama vya siasa zimeanza kujitokeza waziwazi. Katiba ni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Halahala matumizi ya programu bandia za kompyuta

Kumekuwa na ulanguzi wa programu (software) za kompyuta zinazofanywa na watu mbalimbali hasa katika nchi zisizo na sheria kali kuhusu masuala haya.

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON : Halahala kupunguza plastiki kuokoa mazingira ulimwenguni

Jumatatu sera ya serikali ya Uingereza kupunguza uharibifu wa mazingira ilianza kwa kishindo. Sera imeanza kupunguza matumizi ya mifuko ya plastiki madukani . Zogo lilianza miaka saba iliyopita vyombo vya habari vilipomwonyesha kasa wa baharini akifadhaika baada ya kumeza mfuko mzima wa plastiki. Azma ya taswira ilikuwa kusisitiza namna viumbe mbalimbali vinavyouliwa na uchafu wa mazingira. Kama meli za mafuta zinapopinduka baharini.

 

10 years ago

Vijimambo

SENSEI RAMADHA FUNDI ATEMBELEA DMV, SHEHE HALAHALA ATINGA STUDIO BELTSVILLE, MARYLAND

Mashaka Bilal na Sensei Ramadha Fundi (kulia) vijana wa mtaa wa Agrey Kariakoo enzi hizo wakiwa wamekutana Washington, DC baada ya kutoonana zaidi ya miaka 32, Sensei Rumadha Fundi anaishi Texas na Mashaka Bilal anaishi Maryland. Hapa wakipata picha ya kumbukumbu baada ya kukutana Washington, DC siku Sensei Ramadha Fundi alipokuja jiji hilo maarufu kama Chocolate City. Sensei Ramadha Fundi akiwa ndani ya studio za Vijimambo Radio na Kwanza Production Dotto Haruna na Sensei Ramadha Fundi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ni Katiba ya Watanzania au ya utanzania?

NIMEFUATILIA mchakato wa Mabadiliko ya Katiba kwa umakini mkubwa. Wasomaji wangu wamekuwa wakinitaka kutoa maoni yangu juu ya katiba na kutoa mapendekezo yangu. Kwa ufupi ni kwamba mchakato unakwenda vizuri,...

 

10 years ago

Habarileo

KKKT wataka Katiba ya Watanzania

MSAIDIZI wa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kikristo Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Dodoma Mchungaji Samweli Mshana, amewataka wajumbe walio katika mchakato wa Katiba kuhakikisha wanawapatia watanzania Katiba itakayotoa haki zote bila upendeleo.

 

11 years ago

Mwananchi

Katiba imewagawa Watanzania hivi

Mbali na kubaki ‘njia panda’ , kuna baadhi ya Watanzania ambao wanaamini mshale wa saa bado unaendelea kuonyesha dalili na matumaini ya kupatikana kwa Katiba Mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania kupata Katiba wanayoitaka?

Aprili, 2012, Rais Jakaya Kikwete alitangaza wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania ikiwa ni mwanzo wa mchakato wa kuelekea kupata Katiba Mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

Katiba ni ya watanzania sio ya wanasiasa wa Tanzania

Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wamegawanyika vipande viwili. Kipande kimoja kiko Dodoma kikiendelea na mchakato wa kujadili upatikanaji wa Katiba mpya.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Watanzania Zimbabwe wataka rasimu ya katiba



Na Athanas Kazige, Harare BAADHI ya Watanzania wanaoishi Zimbabwe, wameiomba serikali kupeleka Rasimu ya Katiba ili waisome na kuielewa vizuri. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania wanaoishi hapa, Apatae Fatacky, alisema hayo alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari hii, katika  klabu ya Watanzania iliyoko 6 Allan Willson.
Alisema wamekuwa wanafuatia rasimu hiyo kwa kusoma kupitia mitandao ya kijamii na kuomba kama kuna uwezekano wapelekewe vitabu angalau 10, katika ofisi ya ubalozi....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani