Katiba imewagawa Watanzania hivi
Mbali na kubaki ‘njia panda’ , kuna baadhi ya Watanzania ambao wanaamini mshale wa saa bado unaendelea kuonyesha dalili na matumaini ya kupatikana kwa Katiba Mpya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
HILI LA KATIBA, HIVI UBAYA WA MAASKOFU UKO WAPI?
10 years ago
GPL
HIVI KUNA HILA GANI KWENYE HILI LA KATIBA MPYA?
11 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AKILIHUTUBIA LIVE BUNGE MAALUM LA KATIBA HIVI SASA MJINI DODOMA

11 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Ni Katiba ya Watanzania au ya utanzania?
NIMEFUATILIA mchakato wa Mabadiliko ya Katiba kwa umakini mkubwa. Wasomaji wangu wamekuwa wakinitaka kutoa maoni yangu juu ya katiba na kutoa mapendekezo yangu. Kwa ufupi ni kwamba mchakato unakwenda vizuri,...
11 years ago
Habarileo30 Aug
KKKT wataka Katiba ya Watanzania
MSAIDIZI wa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kikristo Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Dodoma Mchungaji Samweli Mshana, amewataka wajumbe walio katika mchakato wa Katiba kuhakikisha wanawapatia watanzania Katiba itakayotoa haki zote bila upendeleo.
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Watanzania kupata Katiba wanayoitaka?
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
Halahala katiba isiwatenge Watanzania
WAKATI Watanzania wakisubiri kwa hamu uamuzi wa kuipitisha ama kutoipitisha Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya, tayari dalili za mvutano baina ya vyama vya siasa zimeanza kujitokeza waziwazi. Katiba ni...
5 years ago
MichuziMBUNGE CHADEMA ASEMA UAMUZI WA LOCKDOWN HAUKUWA WA MAANA, AHOJI HIVI RAIS ATOE MAAMUZI YA KUUA WATANZANIA WENGI KWA AJILI YA CORONA ILI APATE FAIDA GANI
WAKATI Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kikiwa kwenye mpasuko baada ya baadhi ya wabunge wake kukaidi agizo la Chama hicho kuwataka kutohudhuria Bunge na kisha kukaa 14 kama sehemu ya kujilinda na virusi vya Corona limechukua sura mpya baada ya Mbunge wa Kilombero kwa tiketi ya Chama hicho Peter Lijualikali kuelezea hatua kwa hatua madhara ya Lockdown kwa Watanzania na namna ambavyo aliamua kutokubaliana na uamuzi huo kwa maslahi ya...
10 years ago
Mwananchi11 Feb
Ulanga: Mchakato wa Katiba umetugawa Watanzania