Harakati kuelekea matumizi ya vitabu vya mitandaoni
Kadri matumizi ya sayansi na teknolojia yanavyoshika kasi nchini, ndivyo wadau wa teknolojia wanavyokuna vichwa kufikiria namna bora ya kurahisha maisha ya Watanzania.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili02 Apr
Harakati za kuupinga ugaidi mitandaoni
Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani umebakisha miezi miwili kuwadia,lakini kuna harakati za kuupinga ugaidi .
10 years ago
MichuziMTUNZI MKONGWE WA VITABU ZANZIBAR AZINDUA VITABU VITATU VYA HADITHI ZA KALE
10 years ago
MichuziTIMU YA HARAKATI YA IMETOSHA KUELEKEA KANDA YA ZIWA KUTOA SOMO
Balozi Henry Mdimu akiongea na vyombo vya habari
Taasisi isiyo ya ki serikali ya Imetosha Foundation inayopinga unyanyapaa, ukatili na mauaji dhidi ya watu wenye ualbino kwa njia ya elimu, inatarajia kutuma ujumbe mzito kanda ya ziwa hapo kesho kwa maandalizi ya ujio wa timu nzima ya taasisi hiyo iliyojikita kwenye kubadilisha mtazamo (mind set) wa watu juu ya janga hili. Ujumbe huo utaongozwa na mwenyekiti wa taasisi hiyo Bw Masoud Kipanya, Balozi Henry Mdimu Mgaya na katibu Salome...
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Soka, vyama vya kifashisti ulaya na harakati za waafrika ...
Mashindano kuwania Kombe la Dunia la Soka yataanza juma lijalo.Timu shiriki zimekuwa zikicheza mechi za kirafiki kujipima, mara nyingi na mataifa ambayo hayatakuwepo ndani ya kichamchela hicho cha FIFA. Wiki iliyopita Ufaransa ilipambana na Norway na Paraguay.
5 years ago
BBCSwahili06 Jun
Virusi vya corona; Wakenya wajirusha mitandaoni kuonyesha matarajio yao
Hii ndio siku ambayo hatua ya kutotoka nje kuanzia saa moja usiku hadi kumi na moja asubuhi inafikia ukomo wake baada ya kuongeza kwa siku 21 zaidi mwezi uliopita.
10 years ago
MichuziVitabu vya Shaaban Robert

Na Profesa Mbele
Jina la Shaaban Robert ni maarufu miongoni mwa wa-Tanzania na wengine wa nchi zingine wanaokijua ki-Swahili. Lakini, tujiulize ni wa-Tanzania wepi ambao wamesoma angalau vitabu vichache vya Shaaban Robert.
Ni wangapi wamesoma au wanasoma mashairi yake, tenzi zake, insha zake, barua zake, na riwaya zake?
Ni wangapi wamesoma vitabu vyake vingine, kama vile Wasifu wa Siti Binti Saad, Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini, na tafsiri yake ya mashairi ya Omar Khayyam? Kama hatuna...
5 years ago
BBCSwahili20 Feb
Vita vya Syria : Harakati za kijeshi za Uturuki mjini Idlib 'zinasubiri muda tu'
Kiongozi wa Uturuki ameionya Syria juu ya mashambulizi makubwa dhidi ya waasi katika jimbo la kaskazini.
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Tigo yasaidia vitabu vya Sh6mil
Kampuni ya Simu ya Tigo imetoa msaada wa vitabu vya wanafunzi wa darasa la nne na la saba katika Shule ya Msingi Kilimani vyenye thamani ya Sh6.1 milioni.
10 years ago
GPL
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania