Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hata Kinana anaishangaa Serikali ya chama chake

Mbishi ni mdadisi. Ni mtu anayechokonoa watu wanaojua jambo ili wamulike kwa hoja zilizokwenda shule, kwa lugha au mifano kuntu isiyotatanisha – anajadili na anafanya ushindani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KINANA AZUNGUMUZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Chake Chake Pemba ambapo aliwataka viongozi wa CCM kutenda haki, kujipanga na kuchagua viongozi wanaokubalika.Mkuu wa mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdala akisalimia wananchi wa Mchangani, ambapo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alifika kushiriki ujenzi wa tawi la CCM.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (kulia) akishiriki ujenzi wa ofisi ya Tawi la CCM...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE NDANI YA CHAKE CHAKE MKOA WA KUSINI PEMBA LEO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana sambamba na Wananchi wakishiriki ujenzi wa Madarasa ya Skuli ya Uwandani,katika jimbo la Wawi,wilaya ya Chake Chake,Mkoa Kusini Pemba.Kwa mujibu wa taarifa iliyosomwa mbele ya katibu Mkuu Ndugu Kinana,imeeleza kuwa mradi wa ujenzi wa jengo hilo litakalokuwa na jumla ya vyumba sita,litagharimu kiasi cha shilingi milioni 18 zitakazomilisha mradi huo. Katibu Mkuu wa CCM na ujumbe wake pamoja na wananchi wakikatiza kwenye shamba la miti linalosimamiwa na Kikundi...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Magufuli anakimbia chama chake au chama kinamkimbia ?

KATIKA mazingira ya ukinzani wa kisiasa, kila unapotokea uchaguzi, ukweli huwa unatumika kwa nadra sana, na kila upande unaohusika katika ukinzani huo hujijengea dhana yake ya hicho unachokiita ukweli, lakini ambacho kinaweza kuwa mbali kabisa na […]

The post Magufuli anakimbia chama chake au chama kinamkimbia ? appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Raia Mwema

Magufuli anakikimbia chama chake au chama kinamkimbia?

KATIKA mazingira ya ukinzani wa kisiasa, kila unapotokea uchaguzi, ukweli huwa unatumika kwa nadr

Jenerali Ulimwengu

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AKERWA NA UPORAJI WA MAENEO YA WANANCHI KUTOKA KWA BAADHI YA VIONGOZI WA CHAMA NA SERIKALI WILAYANI BABATI VIJIJINI

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisikiliza maswali na changamoto mbalimbali walizonazo  kutoka kwa Wananchi wa kata ya Ayamango (Gallapo),Wilayani Babati Vijijini mkoani Manyara kwenye mkutano wa hadhara.Baada ya kusikiliza maswali kinana alionekana kukerwa kwa kiasi kikubwa wananchi wanavyoporwa maeneo yao na viongozi wa chama na Serikali wakiwemo na baadhi ya wawekezaji, Kinana aliahidi suala hilo ambalo limekithiri kwa kiasi kikubwa wilayani humo,kulitafutia ufumbuzi kwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Shibuda kuanzisha chama chake

Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda

Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda

Fredy Azzah na Esther Mbussi, Dodoma

MBUNGE wa Maswa Magharibi, John Shibuda, amesema anajipanga kuanzisha chama chake au kuhamia chama mbadala ili kuwatumikia wananchi wa Maswa kisiasa baada ya kuondoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Amesema anawaomba radhi wananchi wa jimbo lake kwa kuinadi na kuwaletea Chadema kama chama mbadala kumbe ni bati lililotoboka na kupakwa rangi na wakati huo huo wakamfanya mgambo wakati yeye alitoka Chama...

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea ubunge adaiwa kumshambulia ofisa wa chama chake

Aliyekuwa mgombea ubunge wa Morogoro Mjini (Chadema), Albanie Marcossy anatafutwa na Polisi mkoani hapa kwa madai ya kumshambulia kwa kumpiga Katibu Mwenezi wa chama hicho wilaya, Shabani Dimoso.

 

10 years ago

GPL

PROF. LIPUMBA AMECHOSHWA NA UKAWA AU CHAMA CHAKE CHA CUF?

NASHANGAA, kwa nini msomi kama Prof. Ibrahim Haruna Lipumba anatafuta uongo kuuficha utashi wake ambao kimsingi ndiyo uliomfanya awe mwanamageuzi na kukubali kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (Cuf)? Usomi siyo kuwa na vyeti ni uwezo au maarifa ya kukabiliana na changamoto za maisha. Nilitaraji kumuona Prof. Lipumba akifikia tafsiri hii baada ya kubaini kuwa Umoja wa Katiba ya Mwananchi (Ukawa) alimokitumbukiza chama chake...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mgombea urais ACT atambia Sera za chama chake kushinda uchaguzi mkuu

IMG_0146

Mgombea urais wa ACT-Wazalendo, Anna Mughwira, akizungumza na waandishi wa habari jana muda mfupi baada ya kupiga kura ya kuchagua Rais, Mbunge na Diwani kwenye kituo cha kupigia kura cha shule ya msingi Kibaoni mjini Singida.Mughwira amesema kwa ujumla zoezi la uchaguzi katika halmashauri ya manispaa ya Singida,limeenda vizuri kwa amani na utulivu mkubwa.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

MGOMBEA urais kupitia tiketi ya ACT-Wazalendo, Anna Mughwira,amesema endapo wapiga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani