Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shibuda kuanzisha chama chake

Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda

Mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda

Fredy Azzah na Esther Mbussi, Dodoma

MBUNGE wa Maswa Magharibi, John Shibuda, amesema anajipanga kuanzisha chama chake au kuhamia chama mbadala ili kuwatumikia wananchi wa Maswa kisiasa baada ya kuondoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Amesema anawaomba radhi wananchi wa jimbo lake kwa kuinadi na kuwaletea Chadema kama chama mbadala kumbe ni bati lililotoboka na kupakwa rangi na wakati huo huo wakamfanya mgambo wakati yeye alitoka Chama...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Magufuli anakimbia chama chake au chama kinamkimbia ?

KATIKA mazingira ya ukinzani wa kisiasa, kila unapotokea uchaguzi, ukweli huwa unatumika kwa nadra sana, na kila upande unaohusika katika ukinzani huo hujijengea dhana yake ya hicho unachokiita ukweli, lakini ambacho kinaweza kuwa mbali kabisa na […]

The post Magufuli anakimbia chama chake au chama kinamkimbia ? appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Raia Mwema

Magufuli anakikimbia chama chake au chama kinamkimbia?

KATIKA mazingira ya ukinzani wa kisiasa, kila unapotokea uchaguzi, ukweli huwa unatumika kwa nadr

Jenerali Ulimwengu

 

10 years ago

Mwananchi

Wanachama Tadea wadai Shibuda kauziwa chama

Baadhi ya wafuasi wa Chama cha Tanzania Democratic Alliance (Tadea), wameibuka na kuutuhumu uongozi wa chama hicho kwa ‘kukivuruga na kukiuza’ kwa Mbunge wa Maswa Magharibi (Chadema), John Shibuda.

 

10 years ago

Mwananchi

Hata Kinana anaishangaa Serikali ya chama chake

Mbishi ni mdadisi. Ni mtu anayechokonoa watu wanaojua jambo ili wamulike kwa hoja zilizokwenda shule, kwa lugha au mifano kuntu isiyotatanisha – anajadili na anafanya ushindani.

 

9 years ago

Mwananchi

Mgombea ubunge adaiwa kumshambulia ofisa wa chama chake

Aliyekuwa mgombea ubunge wa Morogoro Mjini (Chadema), Albanie Marcossy anatafutwa na Polisi mkoani hapa kwa madai ya kumshambulia kwa kumpiga Katibu Mwenezi wa chama hicho wilaya, Shabani Dimoso.

 

10 years ago

GPL

PROF. LIPUMBA AMECHOSHWA NA UKAWA AU CHAMA CHAKE CHA CUF?

NASHANGAA, kwa nini msomi kama Prof. Ibrahim Haruna Lipumba anatafuta uongo kuuficha utashi wake ambao kimsingi ndiyo uliomfanya awe mwanamageuzi na kukubali kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (Cuf)? Usomi siyo kuwa na vyeti ni uwezo au maarifa ya kukabiliana na changamoto za maisha. Nilitaraji kumuona Prof. Lipumba akifikia tafsiri hii baada ya kubaini kuwa Umoja wa Katiba ya Mwananchi (Ukawa) alimokitumbukiza chama chake...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mgombea urais ACT atambia Sera za chama chake kushinda uchaguzi mkuu

IMG_0146

Mgombea urais wa ACT-Wazalendo, Anna Mughwira, akizungumza na waandishi wa habari jana muda mfupi baada ya kupiga kura ya kuchagua Rais, Mbunge na Diwani kwenye kituo cha kupigia kura cha shule ya msingi Kibaoni mjini Singida.Mughwira amesema kwa ujumla zoezi la uchaguzi katika halmashauri ya manispaa ya Singida,limeenda vizuri kwa amani na utulivu mkubwa.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

MGOMBEA urais kupitia tiketi ya ACT-Wazalendo, Anna Mughwira,amesema endapo wapiga...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI PROFESA MBARAWA AREJESHA FOMU YA KUWANIA URAIS ZANZIBAR, ASHUKURU CHAMA CHAKE

WAZIRI wa Maji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Profesa Makame Mbarawa amerejesha fomu ya kuwania uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea wake wa urais Zanzibar.

Profesa Mbarawa alichukua fomu Juni 19,  mwaka huu katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Unguja, akiwa mwanachama wa 10 kufanya hivyo.

Hivyi leo Juni 27,2020  amerejesha fomu hizo katika ofisi hiyo na kupokewa na Katibu wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Zanzibar, Galous Nyimbo.

Wakati alipochukua fomu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani