Hata wanafunzi sasa mkoani Kagera wameanza kushtuka
Ni kosa kubwa kupuuzia swali la mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Bukoba alilouliza siku ujumbe kutoka Kampuni ya Computer for Africa ulipofika shuleni kwao hivi karibuni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
TASWIRA ZA UWANJA WA KAITABA UNAVYOENDELEA MPAKA SASA MJINI BUKOBA. KUMALIZIKA KUJENGWA MWEZI DESEMBA 2015, KAGERA SUGAR KUTUMIA UWANJA WA MUSOMA KWA SASA.






11 years ago
Mwananchi10 Aug
Serikali tatu au mbili zipo hata sasa ndani ya Katiba
10 years ago
Mwananchi03 Mar
Wanafunzi Kagera wafungua mjadala wa taifa
9 years ago
Bongo Movies23 Dec
Ommy Dimpoz: Niko Tayari Kuoa Hata Sasa,Kama Nikipata…
Staa wa Bongo Fleva,Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amesema kuwa yuko tayari kuoa hata sasa hivi kama nikipata mtu sahihi katika maisha yake.

Ommy Dimpoz akiwa na Mrembo
Ommy ameyazungumza hayo wakati akiitambulisha video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Achia Bodi’ kwenye kipindi cha Clouds360 cha Clouds Tv wakati alipoulizwa na mtangazaji kipindi hicho Hudson Kamoga kuwa anatarajia kuoa lini.
“Niko tayari kuoa hata sasa hivi kama nikipata mtu sahihi katika maisha yangu” Ommy Dimpoz.
Miezi ya hivi...
10 years ago
GPL
KWA HALI ILIVYO SASA HIVI, HATA MPENZI WAKO HUENDA ANAJIUZA!
10 years ago
Vijimambo14 Jan
Jaguar Amponda Iyanya " Hata akinipigia sasa hivi Sipokei simu yake "

10 years ago
StarTV15 Apr
Serikali yalipa deni, wanafunzi warejea shule Kagera.
Na Mariam Emily,
Bukoba.
Serikali imelipa shilingi milioni mia moja sitini na tisa kati ya deni la zaidi ya shilingi milioni mia tisa wanazodai wazabuni wanaosambaza vyakula katika shule za sekondari za Serikali mkoani Kagera.
Hatua hiyo imerejesha wazabuni hao na kuanza tena kutoa huduma ya chakula mashuleni.
Kutokana na hatua hiyo wanafunzi katika shule mbalimbali za sekondari mkoani Kagera wameanza kurejea mashuleni.
Mmoja wa wazabuni Carlos Wilson amesema wazabuni wameonyesha...
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
Mashine ya BVR sasa haina tatizo hata kwa wenye vidole vyenye sugu — NEC
Mbunge wa jimbo la Ludewa, Mh. Deo Filikunjombe (kushoto) akiweka sahihi katika mashine ya kielektroniki za Biometric Voters Registration (BVR),wakati akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura juzi katika kituo cha shule ya msingi Ludewa mjini, wa pili kulia anayeshuhudia ni kamishina wa tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC), Prof. Amone Chaligha.
Na MatukiodaimaBlog, Ludewa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema mchakato wa uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura ...
5 years ago
Mwananchi27 Feb
Diwani Mkoani Kagera afariki