Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatuna bajeti inayotekelezeka

Bajeti ni nyenzo muhimu ya sera ya Serikali yeyote. Bajeti ni kioo cha mapato na matumizi kinachoonesha maeneo ambayo Serikali inayapa kipaumbele.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda

>Bajeti ya Serikali iliyowasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum imewagawa wabunge ambao baadhi wameipongeza, huku wengine wakiiponda.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI BAJETI: Wananchi mikoani waiponda Bajeti 2014

>Baadhi ya wakazi wa mikoa mbalimbali nchini, wamedai kuwa bajeti ya mwaka 2014/2015 iliyosomwa bungeni juzi mjini Dodoma na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, haiwezi kumkomboa mwananchi kutoka katika umaskini.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI WA BAJETI: Bajeti ya Ujenzi imekidhi vigezo

>Miundombinu ya usafirishaji ni muhimu kwa maendeleo ya uchumi wa nchi yoyote. Miundombinu hii ni pamoja na barabara, madaraja, viwanja vya ndege, reli, bandari na nyinginezo. Kiuchumi, hii ni miundombinu migumu (hard infrastructure) ukilinganisha na miundombinu kama ya mawasiliano ikiwamo simu na intaneti ambayo ni miundombinu laini (soft infrastructure) ya kiuchumi.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Hatuna kiongozi wa mfano’

Profesa Humphrey Moshi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), amesema hivi sasa hakuna kiongozi anayefaa kutazamwa kama wa mfano hapa nchini kutokana na kushindwa kutekeleza mambo wanayoyasema.

 

10 years ago

BBCSwahili

UN:Hatuna raslimali za kudhibiti Ebola

Mkuu wa UN anayesimamia kitengo cha kukabiliana na Ebola magharibi mwa Afrika amesema hakuna raslimali za kuuthibiti ugonjwa huo.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga: Hatuna hofu na Azam

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wamesema hawawahofii wapinzani wao wakubwa Azam FC kwenye Kombe la Mapinduzi isipokuwa huwaheshimu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Msumbiji: Hatuna washukiwa waliomuua Karegeya

Polisi wa Msumbuji wamekanusha madai kuwa wamewakamata washukiwa wa mauaji ya mkuu wa zamani wa ujasusi nchini Rwanda Patrick Karegeya

 

11 years ago

Tanzania Daima

TEC: Hatuna upande Katiba mpya

RAIS wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa, amesema kuwa kanisa halina msimamo wa pamoja katika suala la muundo wa Serikali ya Muungano unaopendekezwa kwenye Katiba mpya. Badala...

 

10 years ago

BBCSwahili

UK:Hatuna haja kuandaa dimba la 2018

Shirikisho la soka nchini Uingereza FA limesema kuwa halina haja ya kuandaa kombe la dunia la mwaka 2018 ama lile la mwaka 2022 nchini Qatar

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani