Hatutaunda tena Serikali ya Kitaifa Z’bar, yasema
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema hakitaunda tena Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kutokana na baadhi ya washiriki wake kuvuruga utaratibu na misingi ya kuanzishwa kwa serikali hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Feb
Hatutaunda tena Serikali ya Kitaifa Z’bar, yasema CCM.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema hakitaunda tena Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kutokana na baadhi ya washiriki wake kuvuruga utaratibu na misingi ya kuanzishwa kwa serikali hiyo.
10 years ago
Habarileo26 Feb
CUF yasisitiza Serikali ya Umoja wa Kitaifa Z’bar
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema msimamo wake ni kuendelea kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, kiwe kimeingia madarakani au la.
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Chadema Z’bar yakosoa umoja wa kitaifa
10 years ago
Habarileo15 Jun
CCM Z’bar wamtaka tena Dk Shein
WENYEVITI wa CCM katika mikoa sita ya kichama Zanzibar, wamemuomba Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kuchukua fomu ya kuwania tena urais wa upande huo wa pili wa Muungano wa Tanzania, kwa kuwa wana imani naye na pia ana sifa lukuki za kuendelea kushika wadhifa huo.
11 years ago
Habarileo10 Jun
Bajeti Wizara ya Afya Z'bar kupitiwa tena
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi watapitia tena vifungu vya bajeti ya Wizara ya Afya ambayo ilikwama mwishoni mwa wiki, baada ya wajumbe wengi kutoridhishwa na mgawanyo wa fedha katika maeneo muhimu.
11 years ago
Habarileo16 May
Serikali yasema UDA ni ‘mali ya umma’
HADI sasa mmiliki halali wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) ni Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na Serikali kupitia Msajili wa Hazina.
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Oct
Serikali yasema hakuna mgonjwa wa ebola
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imekanusha kuwepo kwa ugonjwa wa ebola nchini, huku ikithibitisha kuwa mtu aliyedhaniwa kuwa na ugonjwa huo, anasumbuliwa na malaria.
Pia, wanafamilia wa karibu wa mgonjwa huyo wamechunguzwa na kuonekana hawana dalili za ugonjwa huo au magonjwa jamii ya ebola, kama dengue na chikungunya.
Kauli hiyo ya serikali imetolewa baada ya sampuli ya damu iliyochukuliwa kutoka kwa mgonjwa huyo na kufanyiwa uchunguzi wa kimaabara, kuonyesha kuwa alikuwa akisumbuliwa na...
10 years ago
BBCSwahili15 Aug
Serikali yasema hakuna Ebola Tanzania
9 years ago
Mwananchi09 Oct
Serikali yasema madini ‘kiduchu’ yamechimbwa