Hatutawaonea haya watakaohatarisha amani — Polisi Z’bar
Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame amewaonya wananchi kuepuka vitendo vya uvunjifu wa amani siku ya kupiga kura, kutangazwa matokeo na kuapishwa kwa rais atakayeshinda.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 May
Malumbano haya ya Maalim Seif na ZEC yanaitia doa Z’bar
10 years ago
Habarileo26 Dec
Lowassa apongeza amani ya Z’bar
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amewapongeza Wazanzibar na Serikali ya mseto visiwani humo kwa kudumisha amani. Akitoa salamu zake Krismasi katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mwanakwerekwe mjini Unguja alikokwenda kusali, Lowassa ambaye ni Mbunge wa Monduli mkoani Arusha, alisema hali ya amani visiwani humo sasa ni shwari kabisa.
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Unataka kuishi kwa amani na furaha? Haya yanakuhusu!
Kuna watu huko mtaani hawajui mtaji wa kuishi maisha ya furaha. Wapo wanaodhani ukishakuwa na fedha basi maisha umeyapatia.
Tambua kwamba, wapo watu wana pesa nyingi, wameoa wake wazuri, wana uwezo wa kufanya kila wanalotaka lakini bado maisha yao hayana amani, kwa nini? Kwa sababu hawajui nguzo za kujijengea maisha ya furaha na amani.
Wiki hii nimeona nikupe mambo 10 ambayo kama utayatimiza, utaishi maisha mazuri hapa duniani na pia maisha mazuri baada ya kifo (kwa wale tunaoamini kwamba...
11 years ago
Mwananchi11 Dec
Jaji Mutungi, fanya haya kurejesha amani Arusha
11 years ago
Habarileo12 Aug
Shein asifu amani Z’bar, akaribisha uwekezaji
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ameitaka Ujerumani kuwekeza visiwani humo katika maeneo mbalimbali na kuleta watalii wengi zaidi kufuatia kuimarika kwa amani na utulivu.
11 years ago
Habarileo11 Apr
Polisi Z’bar wakamata silaha za kivita
POLISI Zanzibar, wamefanikiwa kukamata silaha mbili za vita na risasi 40 zinazosadikiwa kutumika katika matukio mbalimbali ya kihalifu, likiwemo la mauaji ya askari polisi mmoja lililotokea Machi 2, mwaka huu huko kwenye Hoteli ya Kitalii ya Pongwe Bay mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar.
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Polisi wakamata mabomu ya kivita Z’bar
10 years ago
Habarileo15 Aug
‘Hakuna mchakato ajira jeshi la Polisi Z’bar’
KAMISHNA wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame ametoa tahadhari kwa wananchi kwamba hakuna mchakato wa ajira katika Jeshi la Polisi kwa upande wa Zanzibar na kuwataka watu kujiepusha na utapeli huo.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-OH_5Y2Me-8E/VlTc8NJTYdI/AAAAAAAIISk/ggbjZLbS0mc/s72-c/images%2B%25282%2529.jpeg)
MAKALA YA SHERIA: HAYA YATAKUSAIDIA UWAPO MIKONONI MWA POLISI
![](http://1.bp.blogspot.com/-OH_5Y2Me-8E/VlTc8NJTYdI/AAAAAAAIISk/ggbjZLbS0mc/s320/images%2B%25282%2529.jpeg)
1.JE KITU GANI KIFANYKE ASKARI ANAPOKUNYIMA DHAMANA.
Kwanza ieleweke kuwa dhamana ni haki yako. Haki ni jambo la lazima. Haki ya dhamana inaruhusiwa kunyimwa katika makosa machache sana kwa mfano uhaini, wizi wa silaha, mauaji n.k. Makosa mengine madogo madogo hasa haya ya kila siku ya kutukana, kudhalilisha, kupigana, ajali ndogo, wizi usio wa silaha, na mengine dhamana ni lazima. Hata hivyo makosa ambayo hayaruhusiuwi...