HAWAKAI ZIZI MOJA, WANAKULA NYASI ZILEZILE!
![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0Cys1HpO8B5vRJwHIt6s36-i2oy*cUIU37J5*HHYdqgjVsleOWmZpbCUTFr6xCul8x7PdRupBmOZQWbj--qjDm6/diamondp.gif?width=650)
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Unapowazungumzia mastaa waliojizolea mashabiki wengi Bongo kupitia muziki wa Kizazi Kipya, huwezi kuacha kuwataja Ali Saleh Kiba na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Wasanii hao, japokuwa ni mahasimu wakubwa wa kutokaa zizi moja, lakini chakushangaza, asilimia fulani ya vitu wanavyofanya vinafanana kiasi cha kuonekana kama mafahari ambao hawakai zizi moja lakini wanakula...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi02 Jul
Mtoto aishi kwenye zizi la mbuzi miaka 10
10 years ago
Mwananchi30 May
‘Miaka 3, kero zilezile’
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Umeme bei juu, huduma zilezile
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Nani anafaa kuhakikisha watoto wanakula vyakula vya afya?
10 years ago
Bongo Movies20 Jan
Wakati Wengine Wanakula Ujana Flora Mvungi Anatarajia Kujifungua Mtoto wa Pili Hivi Karibuni!
Mwigizaji wa filamu Flora Mvungi, ambae ni mke wa mwanamziki H.Baba anatarajia kujifungua mtoto wa pili hivi karibuni ikiwa ni moja ya mafanikio ya ndoa yao kwa mwaka jana.
H baba amabe ndio mumeo amethibitisha kuwa mke wake Flora Mvungi ni mjamzito na hivyo wanatarajia kupata mtoto wa pili.
Akizungumza na 255 ya XXL jana, H. Baba amesema miongoni mwa mafanikio aliyopata mwaka jana ni pamoja na kumpa ujauzito mwingine mke wake.
“Faida ya mwaka jana ni mwana mama Flora Mvungi kujaa...
10 years ago
BBCSwahili28 Mar
Je utanunua simu iliyotengezwa na Nyasi ?
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Nyasi U/Taifa zamkera Kerr
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amesema wachezaji wake walicheza vizuri dhidi ya Azam FC juzi licha ya kukosa mabao mengi ya wazi yaliyowanyima ushindi na kudai kuwa timu hiyo ilitakiwa kufunga mabao manne kipindi cha kwanza.
Simba wanaoshika nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, juzi walilazimishwa sare ya 2-2 na vinara wa ligi hiyo Azam katika mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mwingereza huyo alisema jambo jingine...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oncLOIv1tO4QU5UAfbiL0iUjnAiHOKAI*MQqfF8*BKtFLqcTRb4ZDNC9JF2nZtSp1k9D70AaMAf5qVSQ8K2BJWUZwOcbMPag/nyasi.jpg?width=650)
KANISA LA WALA NYASI LAIBUKA!
9 years ago
Habarileo04 Nov
Mambo yaiva nyasi bandia Kaitaba
UWANJA wa Kaitaba unatarajiwa kukamilika ndani ya siku 14 kuwekewa nyasi bandia kama haitatokea mabadiliko ya aina yoyote ikiwemo mvua.