Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mambo yaiva nyasi bandia Kaitaba

UWANJA wa Kaitaba unatarajiwa kukamilika ndani ya siku 14 kuwekewa nyasi bandia kama haitatokea mabadiliko ya aina yoyote ikiwemo mvua.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MTAALAMU WA NYASI BANDIA KUTOKA FIFA ATUA BUKOBA LEO, APIMA UWANJA WA KAITABA

Na Faustine Ruta, Bukoba Mtaalamu wa nyasi bandia kutoka Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Ian McClements amewasili Bukoba leo hii Asubuhi kwa Ndege ya kukodi.  McClements akiwa hapa Bukoba amekagua Uwanja wa Kaitaba, na baadae amekwea tena ndege yake kuelekea  jijini Mwanza kukagua Uwanja wa Nyamagana. Dr. Ian McClements akiteta jambo na Jumanne Chama Umande ambaye ni Katibu wa KRFA kwenye Uwanja wa Kaitaba leo hii. Viwanja hivi vinawekwa nyasi bandia kwa ufadhili wa FIFA...

 

9 years ago

Michuzi

UWANJA WA KAITABA BUKOBA WAANZA KUWEKWA NYASI RASMI LEO.

Na Faustine Ruta, Bukoba.
Uwanja wa Kaitaba Bukoba Umeanza kuwekwa nyasi bandia rasmi leo hii jumatatu 2 Novemba, 2015 na kutokana na maelezo ya wawekaji wamesema utachukuwa muda wa siku 14 tu. 


Wakaazi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji vyake sasa kuanza kushuhudia kipute live bila Chenga katika Uwanja huo wa Kaitaba. Timu ya Kagera Sugar nayo inatarajiwa kurudi katika Uwanja huo ambao uutumia kama Uwanja huo ambapo mpaka sasa tangu msimu uliopita wamekuwa wakitumia Viwanja vingine kwa michezo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyasi bandia zaota mbawa Simba

UONGOZI wa Simba unaomaliza muda wake unatarajiwa kukabidhi uwanja wa Bunju baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa klabu hiyo, Juni 29 huku ukifuta mpango wa kuweka nyasi bandia. Mchakato...

 

9 years ago

Habarileo

Mukangara kupigania nyasi bandia zilizokwama bandarini

WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara ameahidi kulivalia njuga suala la kukwama kwa nyasi bandia katika bandari ya Dar es Salaam zinazokusudiwa kupelekwa kwenye Uwanja wa Nyamagana, Mwanza.

 

9 years ago

Habarileo

Nyasi bandia za TFF bado zasota bandarini

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeendelea na harakati zake za kuiomba Serikali kutoa msamaha wa kodi kwa nyasi za bandia ambazo zimezuiliwa bandarini na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

 

10 years ago

Vijimambo

UWANJA WA MPIRA WA KAITABA UKIKARABATIWA MAMBO YA ESCROW HAYO BUKOBA OYEE

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeanza ukarabati katika Uwanja wa Kaitaba uliopo mkoani Kagera kuanzia Januari 12,2015.Rais wa TFF, Jamal Malinzi alisema kuwa kutokana na ukarabati huo tayari Kagera Sugar imeshaomba kutumia Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kwa ajili ya mechi zake za nyumbani. Katika hatua nyingine, Malinzi alisema kutokana na kikao cha Kamati ya Utendaji cha FIFA kilichokutana hivi karibuni kiliweka wazi kila Mwanachama wa FIFA ataendelea kupata dola za kimalekani 600,000...

 

11 years ago

GPL

KANISA LA WALA NYASI LAIBUKA!

Stori: Mwandishi Wetu
KUNA mengi ambayo yamekuwa yakizungumzwa kuhusu huduma za watumishi mbalimbali wa kiroho, moja wapo ni hili la kuanzishwa kanisa la wala nyasi nchini. Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa kanisa hilo lipo maeneo ya Upanga jijini Dar na huduma yao inafanywa kwa kutumia jina la Rabboni Centre Ministries yenye makao yake makuu jijini Pretoria, Afrika Kusini. Gazeti hili lilifika Upanga, kwenye nyumba...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je utanunua simu iliyotengezwa na Nyasi ?

Watu wengi wamekuwa wakilalamikia teknolojia na ufundi wa simu nyingi kwa misingi kuwa asilimia kubwa inatengezwa kwa plastiki.Sasa kuna simu ya Nyasi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani