Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyasi bandia za TFF bado zasota bandarini

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeendelea na harakati zake za kuiomba Serikali kutoa msamaha wa kodi kwa nyasi za bandia ambazo zimezuiliwa bandarini na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mukangara kupigania nyasi bandia zilizokwama bandarini

WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara ameahidi kulivalia njuga suala la kukwama kwa nyasi bandia katika bandari ya Dar es Salaam zinazokusudiwa kupelekwa kwenye Uwanja wa Nyamagana, Mwanza.

 

9 years ago

Habarileo

Mambo yaiva nyasi bandia Kaitaba

UWANJA wa Kaitaba unatarajiwa kukamilika ndani ya siku 14 kuwekewa nyasi bandia kama haitatokea mabadiliko ya aina yoyote ikiwemo mvua.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyasi bandia zaota mbawa Simba

UONGOZI wa Simba unaomaliza muda wake unatarajiwa kukabidhi uwanja wa Bunju baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa klabu hiyo, Juni 29 huku ukifuta mpango wa kuweka nyasi bandia. Mchakato...

 

11 years ago

Michuzi

MTAALAMU WA NYASI BANDIA KUTOKA FIFA ATUA BUKOBA LEO, APIMA UWANJA WA KAITABA

Na Faustine Ruta, Bukoba Mtaalamu wa nyasi bandia kutoka Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Ian McClements amewasili Bukoba leo hii Asubuhi kwa Ndege ya kukodi.  McClements akiwa hapa Bukoba amekagua Uwanja wa Kaitaba, na baadae amekwea tena ndege yake kuelekea  jijini Mwanza kukagua Uwanja wa Nyamagana. Dr. Ian McClements akiteta jambo na Jumanne Chama Umande ambaye ni Katibu wa KRFA kwenye Uwanja wa Kaitaba leo hii. Viwanja hivi vinawekwa nyasi bandia kwa ufadhili wa FIFA...

 

9 years ago

Bongo5

Hawajakoma bado: Makontena mengine 2431 yapita bandarini bila kulipiwa kodi

4

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametembelea bandarini na shirika la reli Tanzania(TRL).

4

Akiwa bandarini amekagua mfumo wa utoaji na uingizaji mizigo bandarini. Katika maongezi ya awali meneja wa bandari alimuhakikishia kuwa mfumo hauruhusu kontena kuibiwa lakini waziri mkuu alienda na ripoti ya ukaguzi na kumuonyesha majina ya waliopitisha makontena zaidi 2431 bila kulipiwa kodi.

3

Amempa muda wa masaa matatu hadi saa kumi na mbili jioni aambiwe hatua zilizochukuliwa kwa wahusika kwa sababu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je utanunua simu iliyotengezwa na Nyasi ?

Watu wengi wamekuwa wakilalamikia teknolojia na ufundi wa simu nyingi kwa misingi kuwa asilimia kubwa inatengezwa kwa plastiki.Sasa kuna simu ya Nyasi

 

9 years ago

Mtanzania

Nyasi U/Taifa zamkera Kerr

dylanker-haiphongNA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amesema wachezaji wake walicheza vizuri dhidi ya Azam FC juzi licha ya kukosa mabao mengi ya wazi yaliyowanyima ushindi na kudai kuwa timu hiyo ilitakiwa kufunga mabao manne kipindi cha kwanza.

Simba wanaoshika nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, juzi walilazimishwa sare ya 2-2 na vinara wa ligi hiyo Azam katika mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mwingereza huyo alisema jambo jingine...

 

11 years ago

GPL

KANISA LA WALA NYASI LAIBUKA!

Stori: Mwandishi Wetu
KUNA mengi ambayo yamekuwa yakizungumzwa kuhusu huduma za watumishi mbalimbali wa kiroho, moja wapo ni hili la kuanzishwa kanisa la wala nyasi nchini. Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa kanisa hilo lipo maeneo ya Upanga jijini Dar na huduma yao inafanywa kwa kutumia jina la Rabboni Centre Ministries yenye makao yake makuu jijini Pretoria, Afrika Kusini. Gazeti hili lilifika Upanga, kwenye nyumba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani