Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hongera Kilimanjaro Stars kwa soka safi

Michuano ya soka ya kuwania Kombe la Chalenji kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati ilimalizika Alhamisi iliyopita jijini Nairobi Kenya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Karata muhimu kwa Kilimanjaro Stars leo

TIMU ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kili Stars’ leo inashuka kwenye dimba la Awassa nchini Ethiopia kuwakabili wenyeji Ethiopia ukiwa ni mchezo wa robo fainali wa kusakata tiketi ya kucheza nusu fainali ya michuano ya Chalenji, inayoendelea nchini humo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hongera Taifa Stars kuing’oa Zimbabwe

TIMU ya Soka ya Tanzania, Taifa Stars, jana ilifanikiwa kutinga raundi ya pili ya kupigania nafasi ya kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Mataifa Afrika ‘Afcon 2014’ litakalofanyika mwakani...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAENDESHA SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WA SOKA KWA AJILI YA KUJIANDAA NA MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS 2014‏

Meneja Matukio wa Airtel Tanzania Rebeca Mauma akizungumza wakati wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars iliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya washiriki wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars wakifuatilia kwa makini moja ya mada zilizowasilishwa kwenye semina hiyo iliyofanyika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa… ...

 

9 years ago

Mtanzania

Stars safi, Algeria pigo

KUBWANA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

WAKATI timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, ikiwa inaendelea vema na kambi yake nchini Afrika Kusini, wapinzani wao Algeria ‘The Desert Foxes’ wamepata pigo baada ya kuumia kwa staa wake, Sofiane Feghouli.

Algeria inawasili nchini kesho kucheza na Stars kwenye mchezo wa raundi ya pili wa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi, utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Jumamosi hii, huku wa marudiano ukifanyika Jumanne ijayo jijini Algiers,...

 

10 years ago

Michuzi

msimu wa tano wa mashindano ya soka kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars wazinduliwa leo

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania leo imezindua rasmi msimu wa tano wa mashindano ya soka kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars ambayo yataanza kutimua vumbi Agosti 8 katika ngazi ya awali na kuhitimishwa kwa fainali za Taifa jijini Dar es Salaam kuanzia Septemba 11 - 21 mwaka huu.  Akiongea na waandishi wa habari kwenye hafla ya uzinduzi jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Beatrice Singano amesema kampuni ya Airtel Tanzania ...

 

10 years ago

Michuzi

WANAHABARI KILIMANJARO WATEMBELEA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MOSHI(MUWSA)


Mkurugenzi wa MUWSA,Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa wanahabari kuhusu uchimbaji wa visima kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa maji katika vyanzo vyake.Mkurugenzi MUWSA,Mhandisi Cyprian Luhemeja akiwaonesha wanahabari Moja ya tanki lililopo eneo la CCP ambalo linatumika kuhifadhi maji.Mhandisi Luhemeja akionesha moja ya kisima kilichochimbwa katika eneo la matanki ya kuhifadhi maji ambacho pia kutasaidia kuongeza maji katika matanki hayo kwa ajili ya matumizi. 
Kwa picha zaidi...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AFANYA ZIARA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA MJINI MOSHI

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiwa ameambatana na mkuu wa wilaya ya Moshi,Ibrahim Msengi wakiwa na mwenyeji wao mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na maji taka mjini Moshi,(MUWSA)mhandisi Cyprian Luhemeja wakati akitembelea chanzo cha maji cha Cofee Curing. Chanzo cha Maji cha Cofee Curing. Jengo dogo ambalo linatumika kuhifadhi dawa maalumu ya kuweka kwenye maji kwa ajili ya Chlorination. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Stars yaifunza soka Benin

Vijana wa Taifa Stars wamemshusha pumzi kocha wa timu hiyo, Mart Nooij baada ya kuichapa Benin mabao 4-1 katika mechi ya kirafiki ya kimataifa iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jana.

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WA SOKA WAMUNZI MAREHEMU OMARY CHANGA KWA BONANZA LA SOKA

Wadau mbali mbali wa mchezi wa Soka jijini Dar es Salaam,leo wamekutana pamoja kwenye viwanja vya Tabata Shule katika Bonanza la kumuenzi Marehemu Omary Changa (pichani) aliyewahi kuwa Mchezaji katika timu za Yanga,JKT Ruvu,Kagera Suger pamoja na Moro United aliefariki dunia mwezi uliopita.Bonanza hilo limefanyika maalum kwa ajili ya kuchangisha fedha za kuisaidia familia ya Marehemu Changa ikiwa ni pamoja na kuweza kufanikisha kisomo cha Arobaini yake.  Mshambuliaji wa Pembeni wa timu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani