Hongera Sana Dr. Slaa
Katika kila mwanadamu anayejitambua lazima atakuwa na kitu kinaitwa “core principles.” Yani hizi ni kanuni kuu za msingi wa maisha yako ambazo zinakupa ‘identity’ ya wewe ni nani au mtu wa namna gani! Hizi si misingi au miiko uliyo jiwekea tuu kwasababu ya kujifurahisha, hapana! Ni misingi na miiko unayoiyamini na hukotayari kuisimamia bila kutetereka kwa gharama yoyote ile. Haijalishi hata kama watu wote watakuona wewe ni mtu wa ajabu, lakini kwako itakuwa salama rohoni mwako...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboHONGERA SANA MAMA MATRIDA MKAMA KWA KUJINYAKULIA NONDO
Keki iliyoandaliwa kwa ubunifu wa hali ya juu kuendana na tukio husika.
Mrs Matrida mkama akiwa na furaha na kuwashukuru wale wote waliojumuika nae na kufanikisha siku yake maalum.
Dr Sweetbert Mkama akimpongeza mama mwenye nyumba wake kwani mafanikio yake ni mafanikio yetu sote.
Edward Taji pamoja na Mariam Mkama waliweza kufika na kujumuika na mama Matrida Mkama.
Wageni mbalimbali...
11 years ago
Michuzi18 Jul
HONGERA SANA MR. PRESIDENT JAKAYA MRISHO . KIKWETE - GONGA CEO
“I am Moved”, sababu nikirudi nyuma kidogo katika historia ya nchi ya Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 90 wakati sanaa ya muziki wa kizazi kipya ilipoanza kuchipuka ikifuatiwa na vita kubwa dhidi ya kukemea kijana kuwa msanii waHIP HOP nchini na sanaa hii kupewa majina ya kutisha kama muziki wa “kufoka foka, kihuni”na sanaa hii haikukubalika kabisa katika jamii ya kitanzania.Binafsi naweza nikasema kipindi cha awamu ya 4 ya uongozi wa serikali ya...
10 years ago
Dewji Blog03 May
Leo Mei 3 ni siku ya kuzaliwa mdau Mh.Shy rose Bhanji, hongera sana
Mh. Shy rose Bhanji ambaye leo Mei 3, ametimiza miaka kadhaa. Happy Birthday Shy rose.
Na Andrew Chale, Modewji blog
Leo ni siku muhimu kwa mdau mkubwa wa Mo blog, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Mh. Shy Rose Bhanji ambaye ametimiza miaka yake kadhaa katika ulimwengu huu Mei 3, 2015.
Mtandao huu wa Modewji blog unamtakia kila lakheri katika haarakaati zake mbalimbali za ujenzi wa Taifa na Dunia kwa ujumla. Hongera sana ‘Happy Birthday’ ‘Happy Birthday Shy rose.
My birthday wish...
10 years ago
Vijimambo27 Jul
Kati ya mambo ninayomkubali zaidi Dr Slaa ni KUMBUKUMBU. Jamaa ana kumbukumbu sana.
Afikirie "uchafu" wote waliosema Lowassa anao, bado aonekane "msafi kuwakilisha chama kuliko yeye"Ni hapo unapotamani uwe na SELECTIVE AMNESIASijui kuna sauti ngapi kichwani mwake sasa?Na sijui kama kuna inayomuasa kufanya "maamuzi magumu"?:
SOURCE.:.MUBELWA BANDIO
10 years ago
Bongo Movies07 Apr
Lulu: Nilishalia Sana, Nishaumia Sana Lakini Kwasasa…….
Staa mrembo kutoka Bongo Movies Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameamua kutoboa kile alichokiita kama faraja yake kwa hivi sasa.
“Faraja YANGU...Nishalia sana,nishaumia sana lakini kwa sasa nikiona mmoja kati ya hawa analia au kuumia ndo kitu kinachoweza kuniumiza zaidi...!MUNGU awatunzeeee”-Lulu aliandika hayo jana usiku kwenye ukursa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya mama yake na mdogo wake.
Kufuatia andiko hilo komenti za mashabiki wengi zilielekea zaidi kumzungumzia kifo cha Steven...
9 years ago
VijimamboMKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...
10 years ago
Mwananchi14 Jan
HONGERA KINGUNGE.
11 years ago
MichuziHONGERA BONGO FC
Bongo FC miongoni mwa timu kongwe na kielelezo cha uwakilisha wa Tanzania kwenye ukanda wa nchi za 'scandnavia'.
Bongo FC imefanikiwa kuanza kampeni yake ya msimu wa majira ya kiangazi kwa kucheza michezo miwili.Mchezo wa kwanza waliifunga timu Ethiopia magoli 5-3 na mwishoni mwa juma kuifunga timu ya Nigeria 4-2.
Wafungaji wa magoli...
9 years ago
Bongo Movies27 Oct
Hongera Kingwendu Umepigana!
RASHID Mwinshehe Mzange ‘Kingwendu’ mgombea wa Ubunge kupitia CUF aliyekuwa akiungwa mkono na UKAWA afanya kazi nzuri baada ya kupata kura takribani 8,000 nyuma ya Mbunge aliyekuwa akitetea jimbo hilo kupitia chama cha CCM ndugu Seleiman Jafo.
Kingwendu ambaye ni msanii wa vichekesho Swahilihood ambaye ni kivutio katika tasnia ya filamu aliweza kuingia katika medani za kisiasa kuwania jimbo la Kisarawe kwa kujiamini kabisa bila uoga anastahili pongezi kama msanii.
Amaeleta upinzani kwa...