Huduma Tazara kurejea leo
HUDUMA katika Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), zinatarajiwa kurejea leo baada ya Serikali kupatia ufumbuzi matatizo yaliyosababisha mgomo wa wafanyakazi kuanzia Jumatatu iliyopita.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Kivuko cha MV Kigamboni kurejea kutoa huduma kwa wakazi wa Kigamboni
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiongea na wajumbe mbalimbali waliofika katika uzinduzi wa kivuko cha Kigamboni jana jijini Dar es Salaam kinachofanyiwa matenganezo na Jeshi la Wanamaji maeneo ya Kurasini ,ambacho kinatarajiwa kuanza kutumika rasmi alhamisi wiki hii.
Mtendaji Mkuu Temesa Injinia Marceline Magesa akitoa neno la shukrani kwa Jeshi la Wanamaji waliwezesha matengenezo ya Mv Kigamboni jana jijini Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kuanza kutumiwa na wananchi wiki...
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
Kilimanjaro Stars ya Tz kurejea leo
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Simba kurejea Dar leo
TIMU ya Simba inatarajia kuwasili jijini Dar es Salaam leo, ikitokea Bukoba, Kagera kucheza mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar, mchezo uliochezwa Uwanja wa Kaitaba, juzi....
10 years ago
BBCSwahili05 Mar
Televisheni kurejea hewani leo Kenya
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Watoto pacha waruhusiwa kurejea Mbeya leo
9 years ago
BBCSwahili01 Sep
Taifa Stars kurejea leo toka Uturuki
9 years ago
MichuziTAIFA STARS KUREJEA NCHINI LEO, YATARI KWA MTANANGE DHIDI YA MBWEHA WA JANGWANI JUMAMOSI HII
Stars iliyokuwa imeweka kambi nchini Afrika Kusini kwa takribani siku 10, inarejea nyumbani ikiwa imefanya mazoezi vizuri kujiandaa na kuwakabili Mbweha wa Jangwani Algeria siku ya Jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Akiongelea kuhusu kambi kocha wa...
9 years ago
MichuziTANROADS NA KAMPUNI YA SUMITON MITSUI CONSTRACTION CO. LTD WASAINI MKATABA KWAAJILI YA UJENZI WA BARABARA YA JUU ENEO LA TAZARA LEO JIJINI DAR
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
MV Kigamboni kuanza kutoa huduma leo
HATIMAYE kivuko cha MV Kigamboni kinatarajiwa kuanza kutoa huduma rasmi leo kwa wakazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam, baada ya kuteseka kwa takribani wiki mbili wakati kilipokuwa kwenye matengenezo....