Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Televisheni kurejea hewani leo Kenya

Runinga tatu kubwa nchini Kenya zitaanza a kupeperusha matangazo yao saa 12 jioni baada ya kuzimwa majuma matatu yaliyopita

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Kenya yaamuru wakimbizi kurejea kambini

Serikali ya Kenya imewaagiza wakimbizi wote wasomali wanaoishi nje ya kambi za Kakuma na Dadaab kurudi katika kambi hizo haraka iwezekanavyo.

 

11 years ago

Michuzi

Maisha Plus kurudi tena hewani TBC 1 leo!

Baada ya kusimamishwa kwa takriban wiki moja, vipindi vya Televisheni vya shindano la Maisha Plus, vinatarajiwa kurudi tena hewani leo saa tatu usiku, kupitia kituo cha televisheni kile kile, TBC1.

Akizungumza mapema asubuhi hii katika mkutano na wanahabari, Mratibu wa shindano hilo ambalo mwaka huu limepewa jina la Maisha Plus Rekebisha, Ally Masoud `Kipanya', amesema baada ya kukaa chini na uongozi wa televisheni hiyo, wamekubaliana kimsingi kutangaza ratiba itakayokuwa rasmi ambayo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kilimanjaro Stars ya Tz kurejea leo

Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kinatarajiwa kuwasili leo mchana jijini Dar es salaam

 

11 years ago

Habarileo

Huduma Tazara kurejea leo

HUDUMA katika Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), zinatarajiwa kurejea leo baada ya Serikali kupatia ufumbuzi matatizo yaliyosababisha mgomo wa wafanyakazi kuanzia Jumatatu iliyopita.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba kurejea Dar leo

TIMU ya Simba inatarajia kuwasili jijini Dar es Salaam leo, ikitokea Bukoba, Kagera kucheza mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar, mchezo uliochezwa Uwanja wa Kaitaba, juzi....

 

9 years ago

BBCSwahili

Taifa Stars kurejea leo toka Uturuki

Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kurejea kutoka Uturuki walikokuwa wamepiga kambi

 

11 years ago

Mwananchi

Watoto pacha waruhusiwa kurejea Mbeya leo

Watoto pacha waliotenganishwa, Eliud na Elikana wameruhusiwa jana kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na leo wanarejea Kyela, Mbeya.

 

9 years ago

Michuzi

HABARI TOKA TELEVISHENI MBALIMBALI LEO



Star TV: Mgombea Uraisi Zanzibar Dkt. Ally Mohamed Shein aahidi kuendelea kulinda katiba ya Zanzibar na mwafaka wa serikali ya Umoja wa kitaifahttps://youtu.be/ceErRUcjnHE
TBC: Mahujaji watarajiwa washindwa kufanikisha safari ya kwenda kuhiji Mji Mtakatifu wa Makka baada ya kutelekezwa na wakala wao. https://youtu.be/RwYsbOmNTKk
Star TV: Serikali imeziagiza mamlaka za mdhibiti wa nishati ya maji EWURA na wadau wa uzalishaji wa nishati ya Gesi  kushusha bei ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani