Maisha Plus kurudi tena hewani TBC 1 leo!
![](http://3.bp.blogspot.com/-61oIEJ8NQeQ/UyQ7a6zxwrI/AAAAAAAAMYw/wxmdJncRaV8/s72-c/IMG-20140311-WA0001+(1).jpg)
Baada ya kusimamishwa kwa takriban wiki moja, vipindi vya Televisheni vya shindano la Maisha Plus, vinatarajiwa kurudi tena hewani leo saa tatu usiku, kupitia kituo cha televisheni kile kile, TBC1.
Akizungumza mapema asubuhi hii katika mkutano na wanahabari, Mratibu wa shindano hilo ambalo mwaka huu limepewa jina la Maisha Plus Rekebisha, Ally Masoud `Kipanya', amesema baada ya kukaa chini na uongozi wa televisheni hiyo, wamekubaliana kimsingi kutangaza ratiba itakayokuwa rasmi ambayo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKIJIWE CHA UGHAIBUNI KURUDI HEWANI MWAKANI KAA MKAO WA KULA
11 years ago
Michuzi11 Feb
libeneke la full shangwe lapata kwikwi ya kiufundi, kurudi hewani muda si mrefu ujao
TUNAOMBA RADHI KWA WADAU WETU NBC, NHIF, TTB, NMB, THE FADHAGETI SANITARIUM, WILNA INTERNATIONAL NA WENGINE WOTE PAMOJA NA WATEMBELEAJI WETU POPOTE WALIPO KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAOJITOKEZA.
JOHN BUKUKU MMILIKI WA FULL SHANGWE BLOG
9 years ago
Bongo510 Dec
Meek Mill kurudi tena jela?
![Meek-Mill](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Meek-Mill-300x194.jpg)
Huenda furaha ya Meek Mill kumchumbia mpenzi wake Nicki Minaj ikaingia dosari Jumanne ijayo atakapopanda kizimbani huko Philadelphia.
Mtandao wa Page Six umedai kuwa Mill atapanda kizimbani kwenye kesi kuhusu masharti ya kusafiri.
Chanzo kimeiambia Page Six kuwa akilemaa anaweza kurudi tena jela.
Mwaka jana msanii huyo alilazimika kusitisha show zake baada ya kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kukiuka masharti ya probation.
Awali Mill alipewa probation ya miaka mitano mwaka 2009...
10 years ago
Bongo504 Dec
Chidi Benz kurudi tena mahakamani January 15
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wBi6IgNyVl9CzErJQ6thPtsNAzxYh55h9Sgt1FI*ESV6FzdOt4cKN2FE3F5jYHvSDOMVSBf*qL-7JE2f69qB8JsNM4xA47hf/OKWI.jpg?width=600)
Okwi afunguka: Sitaki kurudi Tunisia tena
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/aP0huqm9Vsk/default.jpg)
10 years ago
Habarileo27 Mar
Kipindi cha TBC kufichua ukali wa maisha ughaibuni
SHIRIKA la Utangazaji Tanzania(TBC), kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, kitengo cha Diaspora wameanzisha kipindi cha runinga kitakachojulikana kama Bondeni kitakachokuwa kikielezea kwa undani maisha ya Watanzania waishio nchi mbalimbali duniani.
10 years ago
Bongo510 Mar
Watu 10 wapoteza maisha baada ya helikopta mbili kugongana hewani wakati wakishoot reality show