Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hukumu dhidi ya Mbowe Julai 17

mboweNA RODRICK MUSHI, HAI

HUKUMU ya kesi ya kumshambulia mwangalizi wa ndani wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe, iliyotarajiwa kutolewa jana katika mahakama ya Wilaya ya Hai, imeahirishwa hadi Julai 17 mwaka huu baada Mbowe kushindwa kufika mahakamani.

Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),ilidaiwa alishindwa kufika mahakamani n kutokana na kutoa udhuru wa kubanwa na kazi za serikali likiwamo bunge la bajeti...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mbowe ashinda rufaa dhidi ya hukumu kesi ya shambulio

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Moshi leo imeifuta hukumu iliyomtia hatiani Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe na kuamuru arejeshewe Sh1 milioni alizolipa kama faini.

 

9 years ago

Mwananchi

Mbowe akata rufaa mahakama kuu dhidi ya hukumu yake

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe amekata rufaa Mahakama Kuu kupinga hukumu iliyotolewa dhidi yake Julai, mwaka huu, na kumtoza faini ya Sh1 milioni baada ya kupatikana na hatia katika kosa la jinai.

 

10 years ago

GPL

HUKUMU YA MRAMBA, YONA NA MGONJA YAAHIRISHWA HADI JULAI 3, 2015

Basir Mramba (kulia), Gray Mgonja (kushoto) na Daniel Yona wakiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar. Habari: Denis Mtima na Brighton Masalu / GPL HUKUMU ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basir Mramba, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Gray Mgonja na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona imeahirishwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam hadi Julai 3, mwaka huu. Vigogo hao wanakabiliwa na...

 

5 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZZ....: HUKUMU YA KESI YA KINA MBOWE YAAHIRISHWA KWA MUDA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akilipowasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza Hukumu ya kesi ya uchochezi inayowakabili vigogo nane wa Chadema iliyokuwa ianze kusomwa saa nne na nusu asubuhi hii leo Machi 10, 2020. Hukumu hiyo imeahirishwa hadi saa saba na nusu mchana leo.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiteta jambo na Mshauri Mkuu wa Chama cha siasa nchini Tanzania cha ACT- Wazalendo,...

 

10 years ago

Vijimambo

Freeman Mbowe........Amtaka AJIUZULU Maana Amekiabisha Chama Kwa Hukumu Aliyopewa.


KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kujiuzulu uenyekiti kwa kile alichosema amekiaibisha chama kwa hukumu aliyopewa hivi karibuni.
Mbowe alihukumiwa hivi karibuni kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya Sh milioni moja baada ya kutiwa hatiani na mahakama mkoani Kilimanjaro kwa kosa la kumpiga Msimamizi wa Uchaguzi mwaka 2010.Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika Kata...

 

10 years ago

BBCSwahili

Akata rufaa dhidi ya hukumu ya ushoga

Kiongozi wa upinzani nchini Malaysia, Anwar Ibrahim, amefika mahakamani ili kukata rufaa dhidi ya hukumu inayomkabili ya ushoga.

 

10 years ago

Habarileo

Hukumu dhidi ya akina Mramba yapigwa kalenda

Waziri wa zamani wa Fedha, Basil MrambaHUKUMU ya kesi ya kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7 inayomkabili Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na wenzake imeahirishwa kwa mara ya pili kwa sababu hakimu anaumwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Malawi imefuta hukumu dhidi ya wapenzi wa jinsia moja

Malawi yafuta hukumu dhidi ya wapenzi wa jinsia moja kufuatia shinikizo la Uingereza na Marekani

 

5 years ago

BBCSwahili

Zitto Kabwe kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kutokutoa matamshi ya uchochezi

Kiuongozi wa chama cha upinzani ACT-Wazalendo nchini Tanzania ametiwa hatiani na mahakama jijini Dar es Salaam na kuhukumiwa kifungo cha nje cha mwaka mmoja kwa sharti la kutokutoa kauli za kichochezi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani