Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUMPENDI? KWA NINI UZAE NAYE?

HABARI zenu wapendwa wasomaji wa safu yetu hii, tunaokutana kila wiki katika kuburudishana, kuelimishana na mara nyingine hata kufundishana. Najua wapo baadhi ya wasomaji hawakosi kabisa sehemu hii kwa sababu yanayozungumziwa, ama yamewakuta, au wanashiriki hadi sasa, au yaliwahi kuwapata watu wao wa karibu. Katika jamii tunayoishi kuna mambo mengi yanayoendelea ambayo huonyesha jinsi gani wawili walivyohusiana kimapenzi, lakini...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HAUMUAMINI, UNAISHI NAYE KWA MACHALE, MAANA YAKE NINI? JIONGEZE!

NIMEFURAHI tumekutana tena katika safu yetu hii tunapata kujuzana masuala mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi.Ni mambo ya mahaba, hujakosea. Hapa tunaongeza maarifa ya mapenzi kila uchwao, karibu.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Natambua wengi tu wanaishi kwenye uhusiano wa namna hii. Utakuta mtu anaishi kwa muda mrefu na mwenzake pasipo kuwa na imani naye. Anakuwa mguu ndani mguu nje kwamba yupo tayari kwa...

 

10 years ago

GPL

HAUMUAMINI, UNAISHI NAYE KWA MACHALE, MAANA YAKE NINI? JIONGEZE!-2

WIKI iliyopita tuliianza mada yetu hii ya mtu kuishi na mtu kwa machale ambaye humuamini. Ndugu zangu kama nilivyoeleza wiki iliyopita, kuishi na mtu kwa machale ni hatari maana mwishoni utaambulia matatizo kama si kupoteza muda. Nilieleza kwamba mbali na kupoteza muda katika penzi hilo la mtu ambaye haumuamini, hautainjoi mapenzi kwani muda mwingi wewe utakuwa ukiutumia kumchunguza mwenzako. Utakuwa unaishi kwa wasiwasi kwamba...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwaka 2014 uzae demokrasia ndani ya vyama vya siasa

Mwaka uliopita wa 2013 umekwisha huku vyama vya siasa vikipambana kulinda nafasi zao. Mambo mengi yametokea lakini kwanza tutazame kwa ufupi yaliyojitokeza.

 

11 years ago

GPL

DK. CHENI NAYE HOI KWA DENGU

Stori: waanDISHI WETU TUMEKWISHA! Baada ya nyota wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ kulazwa Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar kwa kuugua ugonjwa hatari ulioibuka wa Homa ya Dengu (Dengue Fever), staa wa sinema za Kibongo, Muhsein Awadh ‘Dk Cheni’ naye amekumbwa na gonjwa hilo.
Akizungumza kwa tabu akiwa kwenye Hospitali ya Burhani iliyopo maeneo ya Posta, Dar alikolazwa, Dk Cheni alisema kuwa...

 

10 years ago

Habarileo

Aliyeua mke kwa wivu naye auawa

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeWATU wenye hasira wamempiga hadi kumuua mwanamume, aliyemuua mke wake kwa kumpiga rungu tumboni.

 

10 years ago

GPL

KWA NINI BEI YA MAFUTA KWA WALAJI HAISHUKI KWA KASI?

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe. Kuanzia Mwezi Julai mwaka 2014 mpaka Desemba, bei ya mafuta ghafi imekuwa ikishuka kutoka $110 kwa pipa mpaka $56 kwa pipa. Mporomoko huu wa bei wa zaidi ya 40% haujaleta unafuu kwa mtumiaji wa kawaida wa mafuta ikiwemo wenye daladala na kupelekea nauli za usafiri wa umma kupungua. Leo bado bei ya mafuta kwenye vituo vya mafuta ni tshs 2029 kwa Petroli na 1909 kwa dizeli, bei...

 

9 years ago

Mwananchi

Azam yamaliza kwa Diouf, Ivo naye ndani ya Chamazi

Mabingwa wa Kombe la Kagame, Azam FC iwamemsainisha mkataba wa mwaka mmoja beki wa kati Msenegali Ricene Diouf baada ya kocha mkuu wa kikosi hicho, Stewart Hall kuridhishwa na kiwango chake.

 

11 years ago

GPL

MPENZI YUKO MBALI? SHEREHEKEA NAYE SIKUKUU KWA STAILI HII!

Leo nataka kuzungumzia namna unavyoweza kusherehekea Sikukuu ya Idd wakati mpenzi wako akiwa mbali na wewe. Nafanya hivi nikiamini wapo ambao wapenzi wao wako mbali na kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao hawawezi kujumuika nao. Najua namna ambavyo sikukuu inaweza kuwa mbaya kwa kiasi f’lani kwa kumkosa uliyetokea kumpenda lakini kwa kuwa imetokea hivyo, chukulia ni hali ya kawaida ila kuna mambo kadhaa ambayo...

 

10 years ago

Michuzi

KUWENI NA HOFU YA MUNGU, NAYE ATASIKIA MAOMBI YENU KWA TAIFA - MH. SUMAYE:

1Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa tamasha la Krismas lililofanyika kwenye uwanja wa huo jijini Mbeya , Mh. Fredrick Sumaye amewaasa watanzania kumcha mungu na kuchagua viongozi waadilifu wenye uzalendo wa nchi, wenye kupenda na kuhurumia wananchi masikini na wenye hofu ya mungu ili kulinda amani ya nchi yetu jambo litakalofanya hata maombi yanayofanyika kuombea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani