DK. CHENI NAYE HOI KWA DENGU
![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5Yigzn0BpFpWF0RoJD4hxoVqU*X01aMpyDp7wZvExCHE-HhbqBL71hBNTt*8laPW7wiBP*24WunWDguep*dO1*3i/chen.jpg?width=650)
Stori: waanDISHI WETU TUMEKWISHA! Baada ya nyota wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ kulazwa Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar kwa kuugua ugonjwa hatari ulioibuka wa Homa ya Dengu (Dengue Fever), staa wa sinema za Kibongo, Muhsein Awadh ‘Dk Cheni’ naye amekumbwa na gonjwa hilo. Akizungumza kwa tabu akiwa kwenye Hospitali ya Burhani iliyopo maeneo ya Posta, Dar alikolazwa, Dk Cheni alisema kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39eSZRBEx3HHhmj9IoWksI*MfvzIVvAd1ktt-F3Zp9CXNF7BdJMBadbcEsl6yuF7d*UtJuwefIu1HA0371gKJ4xi/NATASHA.jpg?width=650)
NATASHA HOI KWA DENGU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
UNGANA NA GLOBAL TV ONLINE JUMATANO IJAYO KUJUA KWA UNDANI GONJWA HATARI LA HOMA YA DENGU
9 years ago
Bongo514 Nov
New Music: Layla (The Voice Fairy) — Hoi Hoi
![12237221_1669908713222926_427056748_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12237221_1669908713222926_427056748_n-300x194.jpg)
Wimbo wa msanii anayechipukia, Layla A. Walden aka The Voice Fairy uitwao ‘Hoi Hoi.’ Umetayarishwa kwenye studio za AM Records.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
BBCSwahili15 Jul
Ni shangwe na hoi hoi Ujerumani
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vuUh0rgUyT4gUhTx2wjpaWo*otjzx3NCFmWQdfaICdMClG50kMhWMzwjo1-C17yEZiapfYetoljbBCZ*72Ayn5P5VYIaz6qy/a_aegypti_0.png?width=650)
HOMA YA DENGU YATUA MWANZA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfhkGPkFTf71B8tAHur-*LhgPERdUpr-G-*m6rAJVuWkAPhs9DOb10A2DJJrkEiwuJLWNM8q0knEi3O3VRM2iPlg/jokate.jpg)
JOKATE AHOFIA HOMA YA DENGU
10 years ago
Bongo Movies10 Dec
Baada ya kuzuiliwa kwa muda: Filamu ya ‘Nimekubali Kuolewa’ ya Dr Cheni yaruhusiwa kutoka.
Msanii wa filamu, Mahsein Awadh Said aka Dr. Cheni’ amesema filamu yake ya ‘Nimekubali Kuolewa’ iliyokuwa imezuiwa kutoka na Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) inatarajiwa kutoka mapema mwakani baada kukamilisha matakwa yao.
Dokta Cheni alisema kuzuiliwa kwa filamu hiyo kulimnyima raha kiasi cha kumfanya asifanye kazi nyingine mpaka akamilishe kazi hiyo.
“Nimefanikiwa kuipigania filamu yangu ya ‘Nimekubali Kuolewa’, itatoka mwezi wa pili mwakani. Kikubwa nilichokifanya ni kurekebisha baadhi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aq07GQXjwH3ZCi78v*Wdtuvf3TZ2pFWHhyYveUy2oPj2b-kXyJv0M*BR2kVIYAcJoiR7SMwb36b8*hgA8xZlZN2PmK42zGZg/2.jpg)
LIVERPOOL HOI KWA ARSENAL
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aX2yEHaS8Jkx9tqLLEZuVXqtKJNLo8dU105AccCNP--rmWBAat6zxFi89qt3*mfGhQqBOEmHIVDMV86f97S22-ULQs36La*W/ROBEN.jpg)
ARSENAL HOI KWA BAYERN