Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUYU BABA KIMEO KWELI!

KWA kawaida sherehe za harusi ni shughuli ya furaha sana, bwana na bibi harusi na ndugu wa pande zote wanakuwa katika hali ya furaha, labda iwe ndoa ya mkeka, hapo furaha inaweza kuwa nusunusu au haipo kabisa watu wote wamenuna. Lakini harusi niliyoalikwa juzi ilikuwa ya aina yake. Nilijitahidi kuchangia vizuri hivyo kadi yangu ilikuja mapema, mwenyewe nikavaa ile suti yangu ya siku za mnuso na kuelekea kwenye ukumbi. Palikuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KISA NI KOFIA KWELI AU ALIKUWA NA LINGINE RAFIKI HUYU

Ugomvi wao ulianza kama utani, mmoja hakupendezwa na utani huo, hata alipokasirika mwenzake alidhani utani unaendelea, Agwugho akajikuta akifanya uamuzi ambao ulipelekea rafiki yake kufariki. Polisi wa Lagos, Nigeria wamesema wamemkamata mtuhumiwa Joseph Agwughokwa tuhuma za kumuua rafiki yake Enya Okpara, kwa kumchoma na mkasi rafiki yake, uchunguzi unaonyesha Agwugho na Okpara walikuwa wakigombania kofia ndipo mtuhumiwa alipochukua mkasi na kumchoma nao marehemu shingoni mara tatu. 

Okpara...

 

10 years ago

GPL

BABA ANAYEDAIWA KUMCHINJA MWANAYE HUYU HAPA

Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata MAPYA yameibuka! Kwamba baba mzazi anayedaiwa kumchinja mwanaye hivi karibuni maeneo ya Mabibo Luhanga jijini Dar, Maneno William Kasuga (50) (pichani),  kuwa kabla hajafanya unyama huo aliomba atumiwe pesa na mzazi mwenzie ndipo  amrudishe mtoto. Baba aliyefahamika kwa jina la William Kasuga akionekana katika picha na mwanae aliyemchinja. Akizungumza na waandishi wetu bibi wa marehemu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu Amsifia Chaz Baba Kuwa Ndiye Aliyekuwa Mwanaume wa Kweli!

Mrembo na Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amekanusha kurudiana na mpenzi wake wa zamani Chaz Baba japo amedai kuwa muimbaji huyo wa muziki wa band ndiye mwanaume wa pekee ambaye hakuwa na masuala ya kiswazi baada ya kuachana.

Wema ameiambia U Heard ya Clouds FM Jumatano hii kuwa Chaz Baba kwa sasa ni mshkaji wake na hata alipooa alimchangia pesa.

“Chaz Baba alikuwa ni msikaji wangu naweza kusema ndio boyfriend pekee asiye na mambo ya Kiswahili,” amesema. “Tulizinguana tukafika pointi...

 

11 years ago

Michuzi

ajabu na kweli: baba na binti waendesha ndege ya abiria ya Kenya Airways pamoja

Captain Mwangi na binti yake wakiendesha ndege ya Kenya Airways pamoja

 

10 years ago

Bongo Movies

Nani Huyu Anayemtibulia Uwoya kwa Baba Mtoto Wake?!, Soma Alichokieleza

UBUYU: Irene Uwoya amefunguka haya kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram

Kuwa juu sio lazima utumie migongo ya watu,mwanamke kujiamin afu mmbwa hawanisumbui kabisa ila fanya yote acha kumtumia msg za uwongo mme wangu ata kama tumetengana tuna mtoto!sooo plzzz kaa mbali na mim ,mim sijazoea uswahili na bishana na pesa sio maneno!ila narudia tena acha kumtumia mme wangu msg za kiseee kama mnatakana fanyeni bila kunitaja tena hamtaona naongea!nazan umenielewa vzuri sina haja...

 

11 years ago

GPL

FAST JET KIMEO!

Stori: Ojuku Abraham
SHIRIKA la Ndege la Fast Jet linalotoa huduma ya usafiri wa anga katika baadhi ya mikoa ya Tanzania na nje ya nchi, limelalamikiwa na wateja wake mbalimbali kutokana na jinsi linavyofanya kazi, Risasi Jumatano lina habari kamili. Wafanyakazi wa Shirika la ndege la Fast Jet. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na gazeti hili, baadhi ya wateja hao wamesema kuwa, matangazo ya kila siku kuwa shirika hilo linatoa...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Suma Mnazaleti — Kimeo

Wimbo mpya kutoka kwa Suma Mnazaleti wimbo unaitwa “Kimeo” Producer Zest

 

10 years ago

GPL

KUMBE GARI LA WEMA KIMEO

Musa mateja
NInoma! Kumbe lile gari la kifahari aina ya BMW ambalo muigizaji nyota wa filamu Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ alizawadiwa wakati wa bethidei yake na kuwa miongoni mwa sababu za kumwagana na mpenzi wake wa awali, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ mwaka jana, linadaiwa kuwa kimeo kwa vile limekuwa likiharibika mara kwa mara, Amani lina stori kamili. Gari aina ya BMW la Staa wa filamu Bongo, Wema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani