Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IBRA ASHEHEREKEA BTHDAY YA MIAKA MIWILI FAIRFAX VA.

IMG_0076Mtoto Ibra Kente akipiga msosi wa Birthday na mama yake Mariam katika kuadhimisha birthday yake ya miaka miwili iliyofanyika Chucky Cheese Fairfax Virginia Jumapili Januari 11,2015. IMG_0078Busu la penzi zito la mama kwa mtoto. IMG_0088Keki ya Birthday. IMG_0119Birthday Boy akipuliza mishumaa. IMG_0066Birthday Boy Ibra akipata msosi wakati wa kuadhimisha Birthday yake ya miaka miwili. IMG_0146BirthdayBoys wakiwa na Chuck. IMG_0136Empress Elinita na Mariam IMG_0171.Kwa picha zaidiungana na sundyashomari.com

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NYOSO AFUNGIWA MIAKA MIWILI

NYOSO AFUNGIWA MIAKA MIWILIKamati ya masaa 72 ya uendeshaji wa Ligi Kuu iliyokutana leo kupitia ripoti mbalimbali za michezo iliyochezwa ya Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza nchini imemfungia mchezji Juma Nyoso wa timu ya Mbeya City kucheza mpira wa miguu kwa kipindi cha miaka miwili na faini ya shilingi milioni mbili (2,000,000) kufutia kitendo cha udhalilishaji alichomfanyia mchezaji wa Azam FC John Bocco.Nyoso alifanya kitendo hicho katika mchezo no namba 32 wa VPL kati ya Azam FC na...

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri aomba miaka miwili

Kocha wa Simba, Mzambia Patrick Phiri amesema iwapo klabu yake itamvumilia kwa miaka miwili atatengeneza wachezaji bora kama ilivyo kwa nyota wa TP Mazembe ya DR Congo (DRC), Mbwana Samatta.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Santo miaka miwili Simba

KLABU ya Simba imesajili nyota wawili Wakenya; Raphael Mungai kutoka Klabu ya KCB ya Kenya anayecheza nafasi ya ushambuliaji na kiungo wake wa zamani, Jerry Santo akitokea Coastal Union ya...

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Mtoto ateswa miaka miwili

>Mtoto Merina Mathayo (15) amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (Moi) Muhimbili Dar es Salaam, baada ya kuteswa na kujeruhiwa  kichwani kwa kipigo maeneo mbalimbali ya mwili na bosi wake kwa miaka miwili.

 

9 years ago

Mwananchi

Diego kusaini miaka miwili Yanga

Kiungo mpya wa Yanga, Issoufou Boubacar ‘Diego’ amefuzu vipimo vya afya na muda wowote leo anatarajiwa  kusaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu hiyo.  

 

11 years ago

Michuzi

Kumbukumbu ya Miaka Miwili (1955-2012)

Mpendwa Baba yetu, Joseph Mturi MahembaHatimaye siku, Miezi imepita hadi hii leo ambapo imetimia Miaka miwili (2) tangu ulipotutoka ghafla usiku ule wa siku ya jumatano ya tarehe moja ya Mwezi Agosti, 2012 na kutuachia huzuni kubwa.
 Japokuwa haupo nasi hapa duniani lakini tupo nawe kiroho kwa kuendeleza mema yote uliyotufundisha na kutuasa. Tunakukumbuka kwa Upole, Upendo, Busara na Ukarimu uliokuwa nao kwa familia na Marafiki. Mwongozo na matendo yako yataendelea kuwa dira kwetu.
Daima...

 

10 years ago

GPL

MKUDE ASAINI MIAKA MIWILI SIMBA SC

Kiungo wa timu ya Simba SC, Jonas Gerald Mkude (katikati) akisani mkataba mpya mbele ya Rais wa Simba , Evans Aveva (kulia), Zachalia Hans Pope (kushoto) Jonas Gerald Mkude (katikati) akiweka saini ya dole gumba katika mkataba mpya mbele ya Rais wa Simba , Evans Aveva (kulia), Zachalia Hans Pope (kushoto). KIUNGO wa Simba SC, Jonas Gerald Mkude amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuichezea Simba SC na kusema bado nipo...

 

11 years ago

GPL

KAVUMBANGU ASAINI MIAKA MIWILI AZAM FC

Kavumbangu akitia dole gomba Mkataba wa Azam leo. NAHODHA wa Burundi, Didier Kavumbangu amesaini Mkataba wa miaka miwili na mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Azam FC mchana wa leo. Kavumbangu aliyemaliza Mkataba wake wa miaka miwili Yanga SC, ameamua kusaini Azam FC baada ya kuona klabu yake haina mawasiliano naye licha ya kumaliza Mkataba wake. “Mimi ni mchezaji, kazi yangu ni mpira. Nimemaliza mkataba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani