Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Idadi ya watoto, wanawake inatisha

SENSA ya Idadi ya Watu nchini iliyofanyika 2012 imeonyesha kuwa idadi ya  watoto ni kubwa kuliko makundi mengine. Aidha, takwimu za sensa hiyo zinaonyesha kuwa wanawake ni wengi zaidi kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Idadi ya watoto wanaozaliwa na Sikoseli nchini inatisha

photo1

Makamu Mwenyekiti wa Mfuko wa Sikoseli Tanzania, Dk Julie Makani akihojiwa na waandishi wa habari katika hafla ya kuhamsisha jamii kuhusu ufahamu wa ugonjwa wa sikoseli ‘seli mundu’ iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Ugonjwa  wa sikoseli hurithiwa kutoka kwa wazazi wote wawili wenye.

-Watoto 8,000 mpaka 11,000 kuzaliwa na ugonjwa wa sikoseli

Na Mwandishi Wetu,

TAASISI ya Sikoseli Tanzania imewaomba wadau wengine wa afya nchini kujiunga katika mapambano ya ugonjwa wa seli mundu ‘sickle...

 

11 years ago

BBCSwahili

Idadi ya wakimbizi duniani inatisha

Shirika la UNHCR, linasema idadi ya wakimbizi imeongezeka duniani na kuwa kubwa zaidi kushuhudiwa tangu vita vya pili vya dunia.

 

11 years ago

Habarileo

Idadi kubwa ya Watanzania ni watoto

IDADI kubwa ya watu nchini ni watoto wenye umri wa chini ya miaka 15 na vijana huku mikoa ya Simiyu, Rukwa na Geita ikitajwa kuwa zaidi ya nusu ya watu wake, ni watoto. Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dk Albina Chuwa alimweleza hayo Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana Ikulu wakati akimkabidhi vitabu na majedwali yenye matokeo na machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012.

 

10 years ago

BBCSwahili

Idadi ya vifo vya watoto imepungua

Umoja wa Mataifa unasema mafanikio makubwa yamepatikana katika kupunguza vifo vya watoto wadogo

 

11 years ago

Mwananchi

Sikumbuki idadi ya watoto, wake zangu

>Mshangao mkubwa huja wakati inapothibitika kwamba taarifa hizo ni za kweli kwa kuona au kukutana ana kwa ana na muhusika wa jambo linalozungumzwa. Hivyo ndivyo ilivyotokea kwa mwandishi wa makala haya, kwani hakuwahi kuamini kwamba katika dunia hii inawezekana mtu akazaa watoto zaidi ya 100. Lakini kukutana ana kwa ana na Mzee Haji Msomi (82), kumethibitisha kwamba inawezekana.

 

10 years ago

StarTV

Tanzania bado ina idadi ndogo ya wanawake wamiliki ardhi

Tafiti kuhusu masuala ya  ardhi  zimeonyesha kuwa Tanzania bado  ina idadi kubwa ya wanawake ambao hawana uelewa kuhusu umuhimu wa kumiliki ardhi  na matumizi yake kiuchumi kutokana na uwepo wa mfumo dume katika maeneo mengi nchini.

Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012, asilimia 51 ya idadi ya wananchi ni wanawake, asilimia 19 wakiwa ndiyo wanaomiliki ardhi na kuitumia katika masuala ya maendeleo.

Pamoja na uwepo wa Sheria ya Ardhi na Taasisi mbalimbali zinazohusu matumizi ya ardhi kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

UKATILI WA KIJINSIA: ‘Idadi ya watoto wachanga wanaokeketwa inaongezeka’

>Wakati serikali ikiongeza nguvu katika kupambana na utamaduni wa ukeketaji, Shirika la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) limesema idadi ya watoto chini ya mwaka mmoja wanaokeketwa imeongezeka kwa asilimia 10 nchini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ujerumani ina idadi ndogo zaidi ya watoto duniani

Idadi ya watoto wanaozaliwa nchini Ujerumani imepungua zaidi ya mataifa yote duniani.

 

9 years ago

Michuzi

IDADI YA VIFO VYA WATOTO WACHANGA YAENDELEA KUPUNGUA MBEYA

Na Emanuel Madafa,Mbeya.
IDADI ya vifo vya watoto wachanga imeendelea kupungua Mkoani mbeya kutoka vifo 602 kwa mwaka 2012 hadi kufikia 568 kwa mwaka 2014  ambapo ni sawa na asilimia 5.7.

Hali hiyo inatokana timu ya uendeshaji wa huduma za afya mkoa kukaa pamoja na kutafuta ufumbuzi wa pamoja na kuweka maazimio ambayo wamekuwa wakiyatekeleza kwa pamoja.

Akizungumza jijini Mbeya mratibu wa huduma za afya ya uzazi na mtoto mkoani humo Ndugu Prisca  Butuyuyu  amesema kutokana na usimamizi huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani