Sikumbuki idadi ya watoto, wake zangu
>Mshangao mkubwa huja wakati inapothibitika kwamba taarifa hizo ni za kweli kwa kuona au kukutana ana kwa ana na muhusika wa jambo linalozungumzwa. Hivyo ndivyo ilivyotokea kwa mwandishi wa makala haya, kwani hakuwahi kuamini kwamba katika dunia hii inawezekana mtu akazaa watoto zaidi ya 100. Lakini kukutana ana kwa ana na Mzee Haji Msomi (82), kumethibitisha kwamba inawezekana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo506 Jan
Drama za wake zangu zimeniharibia birthday yangu – Mzee Yusuf

Muimbaji wa muziki wa Taarab nchini, Mzee Yusuf amesema Jumanne hii ameshindwa kuifurahia siku yake ya kuzaliwa kutokana na wake zake Chiku na Leila kutupiana maneno ya kashfa katika mitandao ya kijamii.
Akizungumza katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds, Mzee Yusuf alisema hajafurahishwa na tabia hiyo na endapo itaendelea atachukua hatua kali dhidi yao.
“Kwa ufupi mimi furaha sina katika siku yangu ya kuzaliwa, sina raha hata kidogo,”alisema.
“Sio vitu vizuri sifurahii huwa najaribu...
11 years ago
Tanzania Daima14 Mar
Idadi ya watoto, wanawake inatisha
SENSA ya Idadi ya Watu nchini iliyofanyika 2012 imeonyesha kuwa idadi ya watoto ni kubwa kuliko makundi mengine. Aidha, takwimu za sensa hiyo zinaonyesha kuwa wanawake ni wengi zaidi kwa...
11 years ago
Habarileo14 Mar
Idadi kubwa ya Watanzania ni watoto
IDADI kubwa ya watu nchini ni watoto wenye umri wa chini ya miaka 15 na vijana huku mikoa ya Simiyu, Rukwa na Geita ikitajwa kuwa zaidi ya nusu ya watu wake, ni watoto. Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dk Albina Chuwa alimweleza hayo Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana Ikulu wakati akimkabidhi vitabu na majedwali yenye matokeo na machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012.
10 years ago
BBCSwahili09 Sep
Idadi ya vifo vya watoto imepungua
11 years ago
Dewji Blog28 Apr
Idadi ya watoto wanaozaliwa na Sikoseli nchini inatisha
Makamu Mwenyekiti wa Mfuko wa Sikoseli Tanzania, Dk Julie Makani akihojiwa na waandishi wa habari katika hafla ya kuhamsisha jamii kuhusu ufahamu wa ugonjwa wa sikoseli ‘seli mundu’ iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Ugonjwa wa sikoseli hurithiwa kutoka kwa wazazi wote wawili wenye.
-Watoto 8,000 mpaka 11,000 kuzaliwa na ugonjwa wa sikoseli
Na Mwandishi Wetu,
TAASISI ya Sikoseli Tanzania imewaomba wadau wengine wa afya nchini kujiunga katika mapambano ya ugonjwa wa seli mundu ‘sickle...
10 years ago
Mwananchi13 Feb
UKATILI WA KIJINSIA: ‘Idadi ya watoto wachanga wanaokeketwa inaongezeka’
10 years ago
BBCSwahili30 May
Ujerumani ina idadi ndogo zaidi ya watoto duniani
10 years ago
Mtanzania09 Oct
Izzo Business hajui idadi ya mashabiki wake
NA CHRISTOPHER MSEKENA
LICHA ya kujivunia kuwa na mashabiki wengi wanaofuatilia muziki wake, lakini msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Emanuel Simwinga ‘Izzo Business’ hajui idadi kamili ya mashabiki wake hao.
Msanii huyo anayejihusisha na biashara mbalimbali tofauti na muziki ikiwemo ya mavazi, alisema tangu alipoanza muziki anaona mafanikio yake makubwa yanatokana na idadi kubwa ya mashabiki wake ingawa hajui idadi kamili ya mashabiki hao.
“Nashukuru napata fedha za kubadilishia mboga...
9 years ago
Michuzi
IDADI YA VIFO VYA WATOTO WACHANGA YAENDELEA KUPUNGUA MBEYA

IDADI ya vifo vya watoto wachanga imeendelea kupungua Mkoani mbeya kutoka vifo 602 kwa mwaka 2012 hadi kufikia 568 kwa mwaka 2014 ambapo ni sawa na asilimia 5.7.
Hali hiyo inatokana timu ya uendeshaji wa huduma za afya mkoa kukaa pamoja na kutafuta ufumbuzi wa pamoja na kuweka maazimio ambayo wamekuwa wakiyatekeleza kwa pamoja.
Akizungumza jijini Mbeya mratibu wa huduma za afya ya uzazi na mtoto mkoani humo Ndugu Prisca Butuyuyu amesema kutokana na usimamizi huo...