Inspekta Haroon: Nataka kuwa mchekeshaji
Na Rhobi Chacha
UNALIKUMBUKA kundi la Gangwe Mobb, hapo lazima utamtaja Haruna Kaena ‘Insepkta Haroun’ na Luten Kalama, wawili hao baada ya kutengana kila mmoja akawa anafanya kazi binafsi lakini sasa Inspekta Haroun ameibuka na kudai kwamba anataka kuwa mwigizaji wa vichekesho.
Inspekta Haroun aliyetamba na wimbo wa ‘Mtoto wa Geti Kali’ aliendelea kueleza kwamba fani anazozipenda ni muziki na kuigiza vichekesho.
“Mimi msanii hivyo natakiwa niwe mbunifu, nisibweteke na kazi, fani moja na kwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Dec
Nataka kuwa Waziri mkuu:Malala
11 years ago
Dewji Blog07 Aug
JK: Nataka kuwa Rais wa mwisho kuongoza Tanzania masikini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa anataka na anatamani kuwa Rais wa mwisho wa Tanzania kuongoza nchi ambayo ni maskini na hivyo atatumia muda wake uliobakia katika uongozi kuelekeza nchi kwenye mwelekeo huo.
Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa jambo la msingi kabisa la kama Watanzania watanufaika na ugunduzi wa gesi asili ama watabakia katika hali yao ya sasa ya...
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Rich One atoka na Inspekta Haroun
MSANII mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, Haruna Kahena ‘Inspekta Haroun’, aliyetikisa katika ulimwengu wa muziki huo miaka ya nyuma, anatarajia kusikika tena katika wimbo ‘Ndwee’ wa nyota wa...
11 years ago
BBCSwahili05 Sep
5 years ago
Michuzi
MCHEKESHAJI AFARIKI KWA CORONA JAPAN

MCHEKESHAJI maarufu na mkongwe kutoka Japan Ken Shimura (70) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo mjini Tokyo baada ya kupata maambukizi ya Corona baada ya kupata maambukizi ya virusi vya Corona (covid 19) Shirika la Utangazaji CNN na watu wake wa karibu wamethibitisha.
imeelezwa kuwa Shimura aliumwa homa ya mapafu kufariki dunia jumapili usiku, huku ikielezwa kuwa alianza kusikia dalili ikiwemo uchovu Machi 17 na alilazwa Machi 20 kabla ya kugundulika...
11 years ago
BBCSwahili12 Aug
Mchekeshaji nguli Robin Williams afariki
10 years ago
BBCSwahili29 Sep
Mchekeshaji Trevor Noah amrithi John Stewart
5 years ago
CCM Blog
MCHEKESHAJI PIERRE LIQUID AKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA

Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti la Mwanaspoti Pierre amesema kwa sasa yupo hospitali ya Amana akiwa anaendelea kupatiwa matibabu.
Akieleza namna alivyogundulika kuwa ana corona,amesema hii ni baada ya kwenda kupima wiki iliyopita hospitali ya Temeke. "Nina bosi wangu wa karibu ambaye kapata ugonjwa huu na kwa kuwa mara nyingi tuko naye alinishauri na mimi...