Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rich One atoka na Inspekta Haroun

MSANII mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, Haruna Kahena ‘Inspekta Haroun’, aliyetikisa katika ulimwengu wa muziki huo miaka ya nyuma, anatarajia kusikika tena katika wimbo ‘Ndwee’ wa nyota wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Inspekta Haroun: Sina mpango wa kuingia kwenye siasa

Rapper mkongwe, Inspector Haroun aka Babu amesema pamoja na watu kibao kumtaka agombee nafasi mbalimbali za uongozi katika mtaa wake, amekataa kufanya hivyo kwakuwa anaamini muziki bado unamuhitaji. Inspector Haroun alikiambia kipindi cha Leo Tena, Clouds FM kuwa, hajajipanga kuwa kiongozi huku akiwatakia heri wale wote waliotangaza nia mpaka sasa. “Niseme kitu kimoja kwamba miaka […]

 

9 years ago

Bongo5

Inspekta Haroun: Muziki unahitaji mapambano, sijakata tamaa

Inspekta Haroun amedai haina haja ya msanii kupata stress baada ya kutoa ngoma kadhaa na zikashindwa kufanya vizuri. Rapper huyo mkongwe amewataka wakongwe wenzake kukubali matokeo yoyote yanayotokea katika muziki wao. “Hauitaji kuwa na stress baada ya kuona huwezi kwenda popote. Unapoona umegota sehemu ujue mbele yako kuna kitu kizuri kinakuja,” rapper huyo ameiambia Planet […]

 

9 years ago

Bongo5

Kuiga muziki wa nje itatuletea athari baadae — Inspekta Haroun

Mkongwe wa Bongo fleva Inspekta Haroun amesema kuwa kitendo cha wasanii wengi wa sasa kuiga mitindo ya muziki wa nje inachangia kupoteza ladha ya muziki wetu. Inspekta ambaye anatakumbulika kwa hits kali ikiwemo ‘Mtoto Wa Geti kali’ aliyofanya akiwa Gangwe Mob, amesema wasanii wa sasa wanaimba vizuri na kufanya vizuri, lakini muziki wao una vionjo […]

 

9 years ago

Bongo5

Inspekta Haroun kurap matukio ya mwaka mzima kwenye ‘Januari/Disemba’

Inspekta

Inspekta Haroun amejipanga kufunga mwaka kwa kuachia wimbo uitwao Januari/Disemba utaokuwa ukizungumzia matukio yote ya mwaka mzima.

Inspekta

Inspekta amesema amefanya hivyo ili watu wabaki na kumbukumbu ya matukio ya mwaka 2015.

“Nimezungumzia matukio ya mwaka mzima kuanzia Januari mpaka Disemba na ni idea ili kupata kitu kizuri ambacho hata mtu akikisikiliza anaelewa mwaka umeendaje,” rapper huyo ameiambia Bongo5.

“Hii ngoma itatoka mwaka huu, sasa hivi nipo kwenye michakato ya kuimalizia na...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Rich One Ft. Juma Nature & Inspector Haroun – Fulani

Wimbo mpya wa msanii Rich One unaitwa “Fulani” amewashirikisha Juma Nature na Inspector Haroun Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA NEW YORK TANZANIA COMMUNITY KUANDAA SHEREHE ZA MUUNGANO APRIL 26 UKUMBI WA RICH RICH

Sherehe za Muungano kuunguruma ndani ya Jiji la wasilolala New York City, April 26 kuanzia saa 12 jioni hadi usiku wa manane. Sherehe hizi zitasimamiwa na viongozi wa Jumuiya ya Watanzaia New York. Kutakuwa na chakula na vinywaji baridi kwa gharama ya Dollar 50 Mtu mmoja na Burudani ya music pamoja na mambo mbalimbali ya kuwafanya watu watakaojitokeza kufurahia siku hii ya kujivunia kwa nchi yetu ya Tanzania na Zanzibar Watanzania wote mnakaribishwa kiroho safi.Ukumbi utakaofanyika Cherehe...

 

10 years ago

GPL

INSPECTOR HAROUN, BABY MADAHA WANASWA KONA

Stori: Issa Mnali
Katika hali ya kushangaza, mastaa wawili wa muziki, Baby Madaha na Haroun Kahena ‘Inspector Haroun’ wamenaswa usiku wakila bata huku wakiwa kimahaba. Staa wa Bongo Fleva, Haroun Kahena ‘Inspector Haroun’ akigonga busu shavuni kwa Baby Madaha. Tukio hilo lilinaswa na kamera ya paparazi wetu hivi karibuni kwenye pub moja iliyopo maeneo ya Kijitonyama jijini Dar ambapo awali Inspector...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Insp. Haroun atimiza miaka 10 ya ndoa yake

MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini, Haruna Kahena ‘Inspector Haroun’ au ‘Babu’ anatarajiwa kufanya shoo ya kuadhimisha miaka kumi ya ndoa yake, itakayofanyika Octoba 25 katika ukumbi wa Mpoafrika...

 

10 years ago

Mtanzania

Inspekta Haroon: Nataka kuwa mchekeshaji

INSPECTOR.Na Rhobi Chacha
UNALIKUMBUKA kundi la Gangwe Mobb, hapo lazima utamtaja Haruna Kaena ‘Insepkta Haroun’ na Luten Kalama, wawili hao baada ya kutengana kila mmoja akawa anafanya kazi binafsi lakini sasa Inspekta Haroun ameibuka na kudai kwamba anataka kuwa mwigizaji wa vichekesho.
Inspekta Haroun aliyetamba na wimbo wa ‘Mtoto wa Geti Kali’ aliendelea kueleza kwamba fani anazozipenda ni muziki na kuigiza vichekesho.
“Mimi msanii hivyo natakiwa niwe mbunifu, nisibweteke na kazi, fani moja na kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani