ISABELA & KABULA WANASWA WAKISHUTI WAKIWA BWIII!
Stori: Gladness Mallya GAMBE! Wasanii wanaounda kundi la muziki la Scorpion Girls, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ na Isabela Mpanda hivi karibuni walinaswa wakiwa tilalila huku wakifanya kazi. Wasanii wanaounda kundi la muziki la Scorpion Girls, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’(katikati) na Isabela Mpanda(kulia) wakilishambulia jukwaa . Tukio hilo lilitokea wiki iliyopita maeneo ya Kawe jijini Dar es Salaam...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLJINI KABULA, ISABELA WAMALIZA BIFU
10 years ago
Bongo Movies08 Feb
Isabela: Mastaa wa Kike Bongo Wanaishi Kwa Kuuza Miili Yao, Jini Kabula na Davina nao waeleza!!
Akizungumza na GPL , msanii wa filamu na muziki Bongo, Isabela Mpanda ‘Bella’, alisema wasanii wengi wanaishi maisha ya thamani wakati kiuhalisia kazi yao haiwaingizii kipato kinachofanana na maisha ya thamani wanayoishi hivyo kuamua kujiuza.
“Filamu hazilipi, wengi tunajiuza. Bajeti yenyewe ya muvi ni ndogo, wasanii wengi wanataka kulipwa katika muvi moja, haiwezekani kumiliki vitu vya thamani ndiyo maana tunaamua kujiuza.
“Hakuna msanii anayeishi maisha ya kutegemea filamu, kwanza...
10 years ago
Bongo Movies11 Mar
Sabby, Cyrill Wanaswa Wakiwa Kwenye Pozi Tata!
Mrembo na staa wa Bongo Movie, Sabrina Omary ‘Sabby’ na muziki wa Bongo Fleva, Cyrill Kamikaze hivi karibuni walinaswa katika ufukwe wa Hoteli ya Golden Tulip, Masaki jijini Dar wakiwa kimahaba na hivyo kuzidisha tetesi kuwa wanatoka kimapenzi.
Chanzo chanzo makini cha GPL kilisema wawili hao walionekana hotelini hapo wakiwa eneo la kuogelea na walipomaliza walihamia katika viti ambako sasa walikumbatiana kimahaba kana kwamba hakuna mtu anayewaona.
Kwa nyakati tofauti walipoulizwa kuhusu...
10 years ago
Vijimambo09 Nov
PICHA ZA DIAMOND NA WAJE WAKISHUTI VIDEO YA COLLABO MJINI CAPE TOWN NCHINI AFRIKA KUSINI
11 years ago
GPLISABELA HAMNAZO
11 years ago
GPLISABELA, KALAMA WAMWAGANA
10 years ago
GPLISABELA, KARAMA WAMWAGANA
11 years ago
GPLISABELA AWAANGUKIA WATANZANIA
11 years ago
GPLISABELA: KALAMA AMENITULIZA