Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Isihaka: Umri tatizo Yanga

Nahodha wa Simba, Hassan Isihaka amesema kinachowasumbua sasa Yanga ni umri wa wachezaji wao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Nani kawadanganya kuwa tatizo letu ni umri?

EBO! Hivi ninyi kwenu mnadhani ubaguzi ni ule wa rangi tu kule Afrika Kusini waliokuwa wakiupiga vita kina Mandela na wenzake eh? Nasema sasa kweli taifa linakaribia kusambaratika. Sijawahi kuona  kwenye...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakongwe: Yanga hailingani na umri wake

Wakati Yanga ikitimiza miaka 80 tangu kuanzishwa kwake, wachezaji wa zamani wa timu hiyo wamesema licha ya ukongwe wa klabu hiyo bado haijapiga hatua yoyote ya maendeleo.

 

10 years ago

Mwananchi

Beki tatizo Yanga, Azam

Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Afrika mwakani, Azam na Yanga walishindwa kutambiana juzi kwa kutoka sare 2-2, lakini mengi yalijiweka bayana katika mchezo huolicha ya matokeo hayo yapo mambo mengi yaliyojitokeza.

 

10 years ago

Mwananchi

Tigana: Manji tatizo Yanga

Mchezaji wa zamani wa Yanga, Ally Yusuph ‘Tigana’, amesema Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji (pichani) ‘anaivuruga’ klabu hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Umri ni amri? Mmmh jamani, suala la umri lachekesha

Nafurahi kuona kwamba hujang’ang’ania hoja ya uzee hata siku moja licha ya mvi zako. Wala sijakusikia ukitamba eti wewe una akili au busara zaidi eti kwa kuwa ni mzee. Sifa sana kwako.

 

11 years ago

Mwananchi

MTAZAMO: Kumbukumbu ni tatizo Yanga, Simba

>Mchezo wa soka una nguvu ya kuunganisha watu wa tamaduni tofauti, makabila, rangi na dini kwa sababu ndiyo unaopendwa na watu wengi sehemu mbalimbali duniani.

 

10 years ago

Mwananchi

Mgeveke, Isihaka wachuana Simba

Simba inatafuta beki wa kati anayeweza kwenda sawa na Joseph Owino, raia wa Uganda na sasa inawajaribu, Joram Mgeveke na Hassan Isihaka ili kupata beki mwenza wa kati.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtiro, Mbonde, Isihaka waitwa Taifa Stars

Mchezaji mkongwe nchini, Abubakar Mtiro amerejeshwa kwenye kikosi cha Taifa Stars cha kocha Mart Nooij kinachojiandaa kucheza na Swaziland baadaye mwezi huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Isihaka, Kessy waachwa nje Stars Maboresho

Licha ya kuonyesha kiwango cha juu kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi iliyomalizika Januari 13, mabeki wa Simba, Hassan Isihaka na Hassan Kessy, hawamo kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Maboresho kinachoundwa na wachezaji wenye umri chini ya miaka 22, kilichotangazwa jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani