Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAHAZI KUPELEKA NYIMBO MPYA MORO MWISHO WA MWEZI HUU

KUNDI bingwa la miondoko ya mwambao, Jahazi Modern Taarab litaanza kutambulisha nyimbo zake mpya mwishoni mwa mwezi huu ambapo mji wa Morogoro utakuwa wa kwanza kupata uhondo huo. Jahazi watafanya onyesho maalum mjini humo Ijumaa ya Januari 31ndani ya ukumbi wa Tanzanite Complex. Hii inakuwa ni mara ya kwanza kwa Jahazi kupiga ndani ya ukumbi huo uliofunguliwa kiasi cha mwaka mmoja uliopita. Kwa mujibu wa mratibu wa onyesho hilo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JAHAZI MODERN TAARAB KUPELEKA UTAMBULISHO WA NYIMBO MPYA MOROGORO

KUNDI la Jahazi Modern Taarab limefafanua ni kwanini limeamua kuuchagua mji wa Morogoro kama kituo chao cha kwanza cha kutambulishia nyimbo zao mpya zitakazounda albam yao mpya ijayo. Jahazi wanatagemewa kufanya onyesho maalum Morogoro kwaajili ya kuwaonyesha nyimbo mpya mashabiki wao Ijumaa ya tarehe 31 mwezi huu ndani ya ukumbi wa Tanzanite Complex. Jana kiongozi wa Jahazi Modern Taraab Mohamed Mauji alifanya mahojiano na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jahazi kutambulisha nyimbo mpya Moro

KUNDI bingwa la miondoko ya muziki wa mwambao, Jahazi Modern Taarab litaanza kutambulisha nyimbo zake mpya mwishoni mwa mwezi huu, likianzia mkoani Morogoro. Kwa mujibu wa ratiba ya kundi hilo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Moro ya kwanza kuonja mpya za Jahazi

UONGOZI wa kundi la Jahazi Modern Taarab umeuteua Mkoa wa Morogoro kuwa kituo cha kwanza kutambulisha nyimbo zao zitakazounda albamu yao mpya. Kwa mujibu wa mmoja wa viongozi wa Jahazi,...

 

10 years ago

Michuzi

Twanga Pepeta waibuka na onesho maalumu la "juzi, jana na leo", kuanza kurindima mwisho wa mwezi huu

Bendi ya muziki wa dansi ya African Stars “Twanga Pepeta’ itafanya maonyesho maalum mwishoni mwa mwezi  huu yaliyopewa jina la juzi, jana na leo.Katika maonyesho hayo, bendi hiyo itapiga nyimbo zao maarufu katika albamu zake kuanzia "Kisa cha Mpemba" mpaka albamu ya mwisho kuzinduliwa ijulikanayo kwa jina la "Nyumbani ni Nyumbani". Pia itapiga nyimbo zake mpya ambazo bado hazijaingia kwenye albamu.Mratibu wa onyesho hilo, Nasib Mahinya alisema kuwa onyesho la kwanza litafanyika kwenye ukumbi...

 

11 years ago

GPL

JAHAZI: UZINDUZI WA ALBAMU MPYA 'CHOZI LA MAMA' WAFANA DAR LIVE USIKU HUU

Meneja wa Jahazi Modern Taarab, Mohamed Rashid Mauji ' Father Mauji' akizindua na shabiki wa Jahazi albamu mpya iitwayo Chozi la Mama. Mwimbaji nyota wa muziki wa taarab nchini, Mzee Yusuph (kulia) akiongea jambo kabla ya uzinduzi akiwa na Aisha Abushiry 'Mama  wa madikodiko' (katikati) kutoka pilipili FM ya Kenya.…

 

10 years ago

Bongo Movies

MOVIE MPYA: F.R.E.N.D.z ya Irene Paul Kuingia Sokoni Mwezi Huu

Filamu mpya ya mrembo na mwigizaji wa filamu Irene Paul inayokwenda kwa jina la F.R.E.N.D.z itaingia sokoni  mwishoni mwa wiki hii, pamoja na Irene mwenywe kucheza filamu hii wako pia Yusuph Mlela na  Kennedy Victor. Filamu imetengenezwa chini ya Kalunde & Mama Ntilie na kuletwa kawako na Steps Entertainments.

Kupitia ukurasa wake wa instagram Irene ameahidi kukutana na mashabiki wake zaidi ya 50 watakao itazama filamu na kujibu maswali atakayouliza.

 “Tarehe 5 mwezi huu, can't thank God...

 

5 years ago

Bongo5

Darassa alikuwa aachie wimbo mpya mwezi huu lakini… – Hanscana

Mtayarishaji wa video za muziki nchini ambaye kwa sasa anafanya kazi pamoja na rapa Darassa, Hanscana, amefunguka kuzungumzia ujio mpya wa rapa huyo ambaye bado anafanya vizuri kupitia hit single yake ‘Muziki’.

Akiongea na Bongo5 Jumanne hii, Hanscana amedai Darassa alikuwa aachie wimbo mpya mwezi huu, lakini ameshindwa kutokana ratiba za show za kimataifa kumbana.

“Kusema kweli alikuwa aachie wimbo mpya mwezi huu lakini show za Rwanda na Burundi zimembana sana, amekuwa na tour ndefu sana...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Navio azungumzia album yake mpya ‘Power’ anayotarajia kuitoa mwezi huu

NavioDaniel Lubwama Kigozi, maarufu kama Navio ni rapper kutoka Uganda ambaye amekuwa akifanya muziki kwa kipindi kirefu sasa toka alipoanzisha kundi lake la Hip Hop, Klear Kut na baadae kuanza kufanya muziki kama solo baada ya kundi hilo kujipa mapumziko ili rappers hao wamalizie masomo yao. Rapper huyo hivi karibuni alikuwa nchini Nigeria akiendelea kujitangaza […]

 

10 years ago

Bongo5

Nyimbo 4,000 zawasilishwa kwa Celine Dion baada ya kutangaza anahitaji kuandikiwa nyimbo mpya

Ombi la Celine Dion kuhusu kuandikiwa nyimbo kwaajili ya album yake mpya ya Kifaransa, limepokelewa kwa mafuriko ya nyimbo zilizowasilishwa. Takriban nyimbo 4,000 zilitumwa kwenye website ya Dion na kampuni inayomsimamia hadi kufikia October 5. Mume wa Dion, ambaye pia ni meneja wake, Rene Angeli na CEO wa kampuni ya Les Feeling Productions, Aldo Giampaolo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani