Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jahazi kutambulisha nyimbo mpya Moro

KUNDI bingwa la miondoko ya muziki wa mwambao, Jahazi Modern Taarab litaanza kutambulisha nyimbo zake mpya mwishoni mwa mwezi huu, likianzia mkoani Morogoro. Kwa mujibu wa ratiba ya kundi hilo,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JAHAZI KUPELEKA NYIMBO MPYA MORO MWISHO WA MWEZI HUU

KUNDI bingwa la miondoko ya mwambao, Jahazi Modern Taarab litaanza kutambulisha nyimbo zake mpya mwishoni mwa mwezi huu ambapo mji wa Morogoro utakuwa wa kwanza kupata uhondo huo. Jahazi watafanya onyesho maalum mjini humo Ijumaa ya Januari 31ndani ya ukumbi wa Tanzanite Complex. Hii inakuwa ni mara ya kwanza kwa Jahazi kupiga ndani ya ukumbi huo uliofunguliwa kiasi cha mwaka mmoja uliopita. Kwa mujibu wa mratibu wa onyesho hilo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band wafanya uzinduzi rasmi wa nyimbo yao mpya ya Kariakoo pamoja na kutambulisha Studio yao mpya

skylight band 2

Meneja  wa Band ya Skylight Aneth Kushaba akielezea kwa kina uzinduzi Rasmi wa wimbo wao Mpya unaokwenda kwa jina la Kariakoo ambapo uzinduzi huo uliambatana na Video pamoja na Audio. Pia ametambulisha Rasmi Studio ya kurekodi Muziki ambapo sasa nyimbo zao watakuwa wanafanyia katika Studio yao.

skylight band

Kutoka kushoto ni mmoja wa waimbaji wa Skylight Band Sam Mapenzi, (katikati) ni Meneja wa Band hiyo Aneth Kushaba pamoja na Mwimbaji mwengine wa Skylight Band Joniko Flower wakiwa wanazungumza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Moro ya kwanza kuonja mpya za Jahazi

UONGOZI wa kundi la Jahazi Modern Taarab umeuteua Mkoa wa Morogoro kuwa kituo cha kwanza kutambulisha nyimbo zao zitakazounda albamu yao mpya. Kwa mujibu wa mmoja wa viongozi wa Jahazi,...

 

11 years ago

GPL

JAHAZI MODERN TAARAB KUPELEKA UTAMBULISHO WA NYIMBO MPYA MOROGORO

KUNDI la Jahazi Modern Taarab limefafanua ni kwanini limeamua kuuchagua mji wa Morogoro kama kituo chao cha kwanza cha kutambulishia nyimbo zao mpya zitakazounda albam yao mpya ijayo. Jahazi wanatagemewa kufanya onyesho maalum Morogoro kwaajili ya kuwaonyesha nyimbo mpya mashabiki wao Ijumaa ya tarehe 31 mwezi huu ndani ya ukumbi wa Tanzanite Complex. Jana kiongozi wa Jahazi Modern Taraab Mohamed Mauji alifanya mahojiano na...

 

9 years ago

Bongo5

Nyimbo 4,000 zawasilishwa kwa Celine Dion baada ya kutangaza anahitaji kuandikiwa nyimbo mpya

Ombi la Celine Dion kuhusu kuandikiwa nyimbo kwaajili ya album yake mpya ya Kifaransa, limepokelewa kwa mafuriko ya nyimbo zilizowasilishwa. Takriban nyimbo 4,000 zilitumwa kwenye website ya Dion na kampuni inayomsimamia hadi kufikia October 5. Mume wa Dion, ambaye pia ni meneja wake, Rene Angeli na CEO wa kampuni ya Les Feeling Productions, Aldo Giampaolo […]

 

10 years ago

Mtanzania

Dimpoz kutambulisha mpya Marekani

ommyNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, anatarajia kuanza kutambulisha nyimbo mpya katika ziara yake nchini Marekani, Februari 13 hadi 15, mwaka huu.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Ommy Dimpoz alisema ziara hiyo itakuwa ya kwanza tangu mwaka huu ulipoanza.

“Natarajia kuanza ziara yangu ya kwanza tangu mwaka huu umeanza, nilikwenda Kenya na kufanya kazi moja na Avirl kisha nikarudi nyumbani,” alisema Ommy Dimpoz.

Alisema mbali na...

 

9 years ago

Bongo5

Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo

Belle99

Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.

Belle99

What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya

— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015

Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...

 

11 years ago

Michuzi

mfalme siboka kutambulisha wimbo wake mpya mwanza na mbeya mwezi mei

Mfalme wa nyimbo za asili nchini Tanzania anatarajia kutambulisha wimbo mpya wa Engele yange ulioimbwa katika mahadhi ya makabila manne ya kanda ya ziwa mapema mwezi wa Mei 2014. Mfalme Siboka atambatana na kundi lake akianzia jijini Mwanza na kumalizia ziara Mbeya na Iringa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani