Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jahazi la TZ laanza kuzama Madola

Jahazi la Tanzania limeanza kuzama kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola baada ya timu ya Judo, kuogelea na mpira wa meza kuondoshwa kwenye michezo hiyo inayoendelea nchini Scotland.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Watatu wafariki kwa kuzama baharini

Watu watatu mkoani Mtwara wamepoteza maisha kufuatia kuzama kwa mtumbwi waliokuwa wakisafiria katika Bahari ya Hindi kutoka Kitongoji cha Mwale kuja Mtwara Mjini kwa ajili ya shughuli zao za kila siku.

 

10 years ago

Mwananchi

Mchezo wa Chesi, unaibuka na kuzama Tanzania

Miaka ya themanini mchezo wa chesi ulizoa halaiki ya mashabiki nchini na vinywani mwa walio wengi kulikuwa na majina mawili pekee ya wachezaji ambao walikuwa kama taswira na utambulisho wa mchezo huo ulimwenguni ambayo ni ya Garry Kasparov na Anatory Karpov.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kuzama meli:Wataka nahodha anyongwe

Waendesha mashitaka wa Korea Kusini wameomba adhabu ya kifo dhidi ya nahodha wa kivuko cha Sewol.

 

11 years ago

Habarileo

Mtoto afa kwa kuzama bondeni

KARIM Ramadhan (15), mkazi wa Miembe Saba wilayani Kibaha mkoani Pwani, amekufa baada ya kuzama kwenye bonde la shamba la mpunga. Mtoto huyo alizama alipokuwa akicheza na wenzake, ambapo alikuwa akijaribu kuvua samaki kwenye bwawa hilo lililopo Magereza. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Ulrich Matei alithibitisha tukio hilo. Alisema kabla ya kifo hicho, mtoto huyo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifafa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Zaidi wa watu 50 wahofiwa kuzama-Libya

Zaidi ya watu hamsini hawajulikani waliko baada ya meli walimokuwa wakisafiria kuanza kuzama katika pwani ya Libya

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tisa wahofiwa kuzama ajali ya boti

WAFANYABIASHARA tisa wakazi wa Kijiji cha Mpasa wilayani Nkasi mkoani Rukwa, wanahofiwa kufariki baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kwenda nchini Zambia kuzama kwenye eneo la Kipwa. Watu hao walikuwa wakienda...

 

11 years ago

Mwananchi

Menezes: Soka la Brazil linaelekea kuzama

“Katika Fainali za Kombe la Dunia 2014, timu za Ulaya zimetuonyesha Brazil uwezo wa juu katika ufundi wa soka, hakuna ubishi katika hilo,”anasema kocha wa zamani wa Brazil, Mano Menezes.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ujumbe wa mwisho kabla ya meli kuzama

"Huenda hii ndio mara yangu ya mwisho kukuambia nakupenda,'' ndio ulikuwa ujumbe wa mwanafunzi mmoja kwa mamake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani