Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji akubali rufaa dhidi ya Pistorius

Mahakama nchini Afrika Kusini imemruhusu kiongozi wa mashitaka kukata rufaa dhidi ya kosa alilopatikana nalo hatia Oscar Pistorius la kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JAJI AKUBALI RUFAA DHIDI YA OSCAR PISTORIUS

Mwanariadha Oscar Pistorius. MAHAKAMA nchini Afrika Kusini imemruhusu kiongozi wa mashitaka, Gerrie Nel kukata rufaa dhidi ya hukumu ya Oscar Pistorius baada ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp. Kiongozi wa Mashitaka, Gerrie Nel. Kesi hiyo, sasa itaanza kusikiliza katika mahakama ya juu zaidi upande wa mashitaka ukitaka Pistorius ahukumiwe kwa kumuua mpenzi wake kwa makusudi.… ...

 

5 years ago

CHADEMA Blog

Mahakama ya Rufaa kutoa uamuzi rufaa ya Jamhuri dhidi ya Mbowe na Matiko

Mahakama ya Rufani leo imeketi kusikiliza hoja za wakata rufaa (Jamhuri) na wakatiwa rufaa (utetezi) kwenye maombi ya rufaa namba 344  yaliyopo Mahakama Kuu kuhusu kufutiwa dhamana kwa washtakiwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (Mb) na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko. Upande wa Jamhuri umeiomba Mahakama ya Rufaa kuamuru maombi hayo 344 yatupiliwe mbali na Mahakama Kuu kwa sababu

 

9 years ago

Michuzi

JAJI MARK BOMANI AMSHAURI MAALIM SEIF AKUBALI UCHAGUZI URUDIWE

Jaji  Mkuu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Mark Boman akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii 
JAJI Mkuu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Mark Boman amesema kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja Zanzibar, Maalim Seif Hamad akubali uchaguzi urudiwe Zanzibar kwani kama alishinda atashinda tena kutokana na waliompigia katika uchaguzi ulifutwa watampIgia kura tena.
Boman ameyasema hayo leo jijini Dar eS Salaam , wakati akizungumza na...

 

10 years ago

GPL

RUFAA YA OSCAR PISTORIUS YATUPILIWA MBALI

Mwanariadha Oscar Pistorius. JAJI Thokozile Masipa ametupilia mbali rufaa ya mwanariadha anayehudumia kifungo cha miaka mitano jela kwa kumuua mpenzi wake, Oscar Pistorius huko Afrika Kusini. Oscar Pistorius akiwa na Reeva Steenkamp. Rufaa hiyo iliwasilishwa na makili wa mwanariadha huyo ambaye ni mlemavu wa miguu.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Pistorius:Kiongozi wa mashitaka akata rufaa

Jaji anayesikiliza kesi ya mwanariadha mlemavu Oscar Pistorius, ameahirisha uamuzi wake ikiwa ataruhusu mwendesha mashtaka kukata rufaa ya kuhusu uamuzi wake na hukumu iiyotolewa.

 

9 years ago

GPL

RUFAA YA PISTORIUS KUSIKILIZWA NOVEMBA 3 MWAKA HUU

Oscar Pistorius akiwa mahakamani. Baba mzazi wa aliyekuwa mpenzi wa Pistorious, Reeva Steenkamp, Barry Steenkamp akiambatana na mkewe, June wakati wa kusikiliza kesi ya mkwe wao. Pistorius akiondoka Mahakama Kuu ya Afrika Kusini Oktoba mwaka jana baada ya kusikiliza kesi yake. Pistorious and aliyekuwa mpenzi wake Reeva…

 

11 years ago

Dewji Blog

Jaji ajitoa kusikiliza rufaa ya Ponda

TZ_-Cleric

Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu , Sheikh Ponda Issa Ponda.

Na Mwandishi wetu.

Jaji wa Mahakama ya kuu kanda ya Dar es Salaam Shabani Lila aliyekuwa amepangwa kusikiliza rufaa ya Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu , Sheikh Ponda Issa Ponda, amejitoa kusikiliza rufaa hiyo  kwa maelezo Kuwa dhamira yake inamfanya ajione hawezi kusikiliza rufaa hiyo.

Jaji Lila alitoa uamuzi huo mwishoni mwa wiki ambapo alisema dhamira yake haimtumi kusikiliza rufaa hiyo namba 89/2013...

 

10 years ago

GPL

JAJI: PISTORIUS HAKUKUSUDIA KUUA

Majonzi: Mwanariadha Oscar Pistorius akilia wakati wa mapitio ya hukumu yake katika Mahakama Kuu jijini Pretoria. Staa huyu huenda akafungwa jela miaka 25 kama atabainika kuua kwa…

 

10 years ago

BBCSwahili

Akata rufaa dhidi ya hukumu ya ushoga

Kiongozi wa upinzani nchini Malaysia, Anwar Ibrahim, amefika mahakamani ili kukata rufaa dhidi ya hukumu inayomkabili ya ushoga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani