Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAJI LUBUVA AKITANGAZA MATOKEO YA URAIS MAPEMA LEO

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Damian Lubuva (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari na waangalizi wa kimataifa wakati akitangaza matokeo ya awali ya urais Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan KailimaWaangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa kwenye mkutano huo wa kutangazwa matokeo ya awali.Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa kwenye mkutano huo wa kutangazwa matokeo ya awali.Jaji Lubuva akijiandaa kutangaza matokeo hayo ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

JAJI LUBUVA ANENA MAZOTO KUHUSU UPOTOSHWAJI WA MATOKEO YA URAIS

Leo asubuhi Jaji Lubuva kabla hajaanza kusoma matokeo ngazi ya Urais ametolea ufafanuzi mambo kadhaa hasa suala la tume kutoa matokeo tofauti na matokeo yaliyopo majimboni. Lubuva kasema sio nia ya tume kwa wakati huu kuanza malumbano na vyama vya siasa au na wadau wengine lakini pale panapokuwa na upotoshaji mbaya, upotoshaji wa hali ya juu tume inalazimika kusema. 
Jaji Libuva kasema matokeo yanayosomwa na tume ya uchaguzi yamechakachuliwa kuhusu wagombea wa Urais si kweli, kinachosomwa...

 

9 years ago

GPL

MJUE JAJI DAMIAN ZEFRIN LUBUVA

Na Brighton Masalu CHETI chake cha kuzaliwa, kimeandikwa Damian Zefrin Lubuva. Huyu ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambaye alizaliwa Septemba 21, 1940 katika Kijiji cha Haubi Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma. ELIMU Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Kuta kuanzia mwaka 1949 hadi 1952 na katika Shule ya Kati ya St. Gabriel Catholic Kondoa kuanzia mwaka 1953 hadi 1956. Baadaye alikwenda Shule ya Sekondari ya St....

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Lubuva awavaa viongozi wa kisiasa

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amewashukia viongozi wa kisiasa, akiwataka kuacha kutumia nafasi zao kuingilia mchakato wa uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura kwa kutumia vifaa vya kielektroniki vya Biometric Voters Registration (BVR), kwani zinaweza kuleta machafuko makubwa nchini.

 

10 years ago

Mtanzania

Chadema wamtuma Jaji Lubuva kwa JK

MWANANCHINa Esther Mbussi, Dar es Salaam
BARAZA la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limemtaka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva kumshauri Rais Jakaya Kikwete, kusitisha mchakato wa uandikishaji wapigakura kwa mfumo wa BVR.
Wamemtaka Jaji Lubuva asikubali Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumfia mikononi kwa sababu kinaelekea huko na kinatafuta wa kufa naye.
Mwenyekiti wa baraza hilo Mkoa wa Dar es Salaam, Esther Samanya, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Mwananchi

Chondechonde Jaji Lubuva tuepushe na kikombe hiki

Taifa liko katika mchakato wa uchaguzi Mkuu madiwani, wabunge na Rais unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.

 

10 years ago

Mtanzania

Jaji Lubuva ajibu mapigo ya Ukawa BVR

Jaji LubuvaMauli Muyenjwa na Maneno Selanyika, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva, amewataka wanasiasa waache kutumia changamoto za mfumo wa kielektroniki wa uandikishaji wapigakura (Biometric Voter Registration-BVR) ili kujipatia umaarufu wa kisiasa.
Kauli hiyo ya Jaji Lubuva imekuja siku chache baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kumuonya na kudai kamwe chama chake hakitakubaliana na vitendo vya hujuma ambavyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Daftari la wapiga kura, kauli tata za Jaji Lubuva

>Juzi Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya  Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amewaeleza Watanzania kuwa  Daftari la Kudumu la Wapigakura litaboreshwa kabla ya upigaji wa Kura ya Maoni kwa ajili ya kupata Katiba Mpya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani