Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAYDEN KAMA MAGUFULI

Mtoto Jayden (mtoto wa Halima Ally) akifanya push-up kama anavyofanya mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Jayden ni mkaazi wa Maryland nchini Marekani.Jayden akifuata nyayo za mama yake Halima Ally ambaye ni muumini wa CCM

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli: TZ kama Ulaya inawezekana

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema Tanzania inaweza kuwa kama nchi za Ulaya iwapo tu wananchi wataridhia aongoze Serikali ya Awamu ya Tano.

 

10 years ago

Mwananchi

Magufuli: Mbowe kama malaika

Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli jana aliungana na viongozi wenzake wa Serikali kuwamwagia sifa viongozi wa vyama vya upinzani baada ya kumwelezea Mbunge wa Hai na Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe kuwa ni mpigania maendeleo ya wananchi na kwamba alitakiwa awe malaika.

 

9 years ago

Raia Mwema

Shivji: Magufuli kama Sokoine

SIKU 50 tangu Rais John Magufuli aingie madarakani, kuna mambo aliyafanya kwa vitendo ambayo bila

Issa Shivji

 

9 years ago

Habarileo

Hakuna kama Dk Magufuli, asema Mkapa

WATANZANIA wameelezwa kuwa katika wagombea wote ambao wameidhinishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), mgombea pekee ambaye anafaa kuiongoza Tanzania ni mgombea wa CCM, Dk John Magufuli.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli aahidi Tanzania mpya kama atachaguliwa

Mgombea wa Urais kupitia CCM, Dk John Pombe Magufuli amemaliza kampeni katika mkoa wa Njombe na kuwaomba Watanzania kumchagua kwa kuwa ana mpango wa kuijenga Tanzania mpya.

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Magufuli: Kama kungekuwa na mashindano ya ilani, CCM ingeshinda

ccmNa Bakari Kimwanga

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kama kungekuwa na mashindao ya ilani bora ya uchaguzi, chama chake kingeongoza kwani kina ilani nzuri kuliko vyama vingine.

Alisema vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), havina ilani inayoweza kutatua matatizo ya Watanzani hivyo ni vyema wananchi wasihadaike nao.

Ukawa inayoundwa na vyama vya Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, walizindua kampeni na ilani yao juzi jijini Dar es Salaam na...

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI KAMA AKICHAGULIWA KUPAMBANA NA MAFISADI NDANI YA CCM


Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema mafisadi wamo hadi ndani ya chama chake na ndiyo maana baada ya kuteuliwa kuwa mgombea urais wengi wao wameanza kuweweseka kutokana na hofu kubwa waliyo nayo dhidi yake.

Akizungumza kwa nyakati tofauti katika mikutano ya kampeni ya chama chake mjini Kisarawe, Pwani na baadaye Ukonga, jijini Dar es Salaam jana, Magufuli alikiri kuwa chama chake kiliwalea walarushwa na mafisadi kwa muda mrefu na ndiyo maana baadhi ya watu...

 

10 years ago

Raia Mwema

Kama akiwa Rais Nani atamfunga ‘gavana’ Magufuli?

NIANZE kwa kuwaomba radhi wasomaji wangu kwa kutoweka ghafla, na kwa muda mrefu katika safu hii.

Johnson Mbwambo

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Kwa Kikwete, Magufuli ni kama rais mteule

Picha anayoichora Rais Jakaya Kikwete kupitia hotuba zake katika hafla na matukio tofauti kipindi hiki inazua maswali mengi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani