Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JB KUPUMZIKA SANAA MWAKA HUU

Imelda Mtema
STAA wa filamu za Kibongo, Jacob Stephen ‘JB’ atafanya kazi moja ya mwisho mwaka huu kisha ataachana kabisa na fani ya uigizaji ili afanye vitu vingine kuendesha maisha yake. Chanzo cha karibu kililiambia gazeti hili kuwa JB amepata mkataba wa kufanya kazi nje ya nchi katika kampuni moja ya matangazo, hivyo kuna vitu muhimu anavimalizia kabla ya kuelekea huko baadaye mwaka huu.  ...Soma...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Serena Williams kupumzika kwa mwaka

Mcheza tenesi namba moja kwa ubora duniani kwa upande wa wanawake Serena Williams atapumzika kucheza mchezo huo kwa mwaka mmoja

 

9 years ago

Bongo5

Serena Williams atangaza kupumzika kucheza tenesi kwa mwaka mzima

Mcheza tenesi namba moja kwa ubora duniani kwa upande wa wanawake, Serena Williams atapumzika kucheza mchezo huo kwa mwaka mzima kutoka na kuwa na majeraha. Mshindi huyo wa Grand Slam 21 alitolewa kwenye michuano ya wazi ya Wuhan ,Williams mwenye miaka 34 amesema” nimecheza nikiwa na maumivu kwa muda wa mwaka mzima,” Nyota huyo wa […]

 

11 years ago

Dewji Blog

TANROADS Singida yatumia zaidi ya sh 5.1 B kutengeneza barabara zake Julai mwaka jana na februari mwaka huu

DSC07622

Mkuu wa mkoa wa Singida na mwenyekiti wa bodi ya barabara, Dk.Parseko Vicent Kone, akifungua kikao cha bodi ya barabara cha 36 kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa VETA mjini Singida. Kulia (aliyekaa) ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan.

DSC07610

Meneja wa wakala wa barabara mkoa wa Singida (TANROADS), Mhandisi Yustaki Kangole, akitoa ufafanuzi juu ya sheria zinazotawala akiba/hifadhi  ya barabara kwenye kikao cha 36 cha bodi ya barabara mkoa wa Singida.

DSC07617

Mbunge wa jimbo la...

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili wa kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar,kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu

Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili { Donor Conference } kwa ajili ya kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar unatarajiwa kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu hapa Zanzibar baada kukamilika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Mkutano huo utakofadhiliwa na Serikali ya Oman unatatarajiwa pia kujumuisha Wawekezaji wa sekta ya fedha na uchumi kutoka Mataifa na Taasisi tofauti Duniani . Mjumbe Maalum wa Serikali ya Oman Bwana Yahya Al – Ureim alieleza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Prof Mwandosya; Mwaka 2005 nilikuwa wa tatu mwaka huu ikulu zamu yangu, ataka wagombea wenzake wasiogope kuelezwa maovu

Waziri asiye na Wizara maalum Prof Mark Mwandosya akiwapungua mkono baadhi ya wahudumu wa uwanja wa Ndege wa Nduli Iringa wakati akiondoka mkoani Iringa kuelekea mkoani Tabora kutafuta  wadhamini kwa ndege hiyo ya kukodi. Waziri Prof Mwandosya  akitafakari jambo. Dereva  wa gari la Prof Mwandosya  Iringa akipata picha ya kumbukumbu na kuagana na rubani wa ndege aliyokodi Waziri huyo. Wadhamini wa Prof Mwandosya  wakiagana na waziri huyo. Waziri Prof. Mwandosya  na mkewe akishuka...

 

10 years ago

Vijimambo

Shilole afungiwa na Basata kwa mwaka mmoja kufanya sanaa


Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akiwa na mpenzi wake Nuh Mziwanda.Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja.
Barua kutoka BASATA inasema hivi“Tarehe 9 May 2015 ukiwa katika onyesho lako la muziki Ubelgiji ulicheza uchi mbele ya hadhira ya wapenda sanaa za Tanzania hivyo kudhalilisha utu wako na jamii ya kitanzania kimaadili‘
‘BASATA ilipata habari zako, kumbuka...

 

10 years ago

GPL

BASATA YAMFUNGIA SHILOLE MWAKA MMOJA KUJIUSHISHA NA KAZI ZA SANAA

STAA wa Bongo movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed 'Shilole'  Zuwena Mohammed 'Shilole' amefungiwa mwaka mmoja na Baraza la Sanaa la Taifa kujihushisha na kazi za sanaa kutokana na kucheza uchi nchini Ubelgiji.…

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: SHILOLE AFUNGIWA KUJISHUGHULISHA NA KAZI ZA SANAA KWA MUDA WA MWAKA MMOJA

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kama msimamizi na mratibu wa sekta ya Sanaa nchini limemfungia msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Zuena Mohamed kwa jina la kisanii Shilole kufanya shughuli za sanaa nchini kwa muda wa mwaka mmoja kuanzia tarehe 24/07/2015 hadi tarehe 24/07/2016.
Itakumbukwa kuwa mnamo tarehe 09/05/2015 akiwa katika onyesho lake la Muziki nchini Ubelgiji alikiuka maadili ya kazi ya sanaa mbele ya hadhira ya  wapenda sanaa za Tanzania na hivyo akadhalilisha utu wake na jamii ya...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Huu ni mwaka dume!

Na Rashid Abdallah Ndio! Ni kweli! Halinashaka kabisa! Kuwa CCM na raisi Jakaya na watangulizi wake wameshindwa kabisa kuikwamua Tanzania. Kama ni jahazi basi tungesema jahazi la CCM limelala upande mmoja na wala si ajabu kuwa […]

The post Huu ni mwaka dume! appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani