Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JE KILA UNACHOKUBALIANA NA MTU NI MKATABA KISHERIA ?

Na  Bashir  Yakub

Makubaliano  ni  sehemu  ya  maisha  yetu  ya  kila  siku.  Shughuli  zetu  za  kila siku  hutegemea  makubaliano.   Ukimkuta  mtu  anabeba  zege  kwa  ajili  ya  ujenzi  yupo  katika  makubaliano. Ukimkuta  mtu  anaendesha  daladala, bodaboda   yupo  katika  makubaliano. 

Ukimkuta  mtu  katika  ofisi  yoyote  ya  umma  yupo katika  makubaliano,walio kwenye  ndoa  na  uchumba nao  ni  makubaliano,  mfanyakazi  wa  ndani  yupo katika  makubaliano.  Aliyechukua  mkopo, ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

JE WAJUA MKATABA WAKO WA AJIRA NI WA AINA GANI KISHERIA.


Na  Bashir  Yakub
Kama  ilivyo  makubaliano  katika  shughuli  nyingine  za  kijamii  ajira  nayo  huwa  na  makubaliano  maalum  wakati   inapoingiwa. Makubaliano  haya ndiyo  huitwa  mkataba na  yumkini  huingiwa  kati  ya  wahusika  wawili  yaani  muajiriwa  na  muajiri. Aina  ya  mahusiano  wanayoingia  wahusika  ndiyo  huibua  aina za haki  na   wajibu  kwa  pande  zote  mbili. Mwenye  haki  hutakiwa  kutoa  haki  hiyo  kwa  mwenzake  naye  mwenye  wajibu  huwa  hana hiari  isipokuwa ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: JIFUNZE NAMNA YA KUANDIKA MKATABA KISHERIA UNAPOUZA AU KUNUNUA


Na  Bashir   Yakub

Katika shughuli zetu za kuuza na kununua  ambazo tunazifanya kila siku mikataba ya maandishi  ni jambo ambalo wengi tunakutana nalo. Mikataba hii iwe rasmi au isiwe rasmi suala la msingi ni kuwa  huwa tunaifanya. Aidha wakati mwingine si  wote wenye kuhusisha suala la mikataba ya maandishi  katika makubaliano yaombalimbali  na hii hutokana na  sababu mbalimbali ikiwemo ya kuaminiana. Kuhusu kuaminiana niseme jambo moja tu kuwa suala la mikataba ni muhimusana  hata kana ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: KISHERIA MKATABA WA PANGO, NA WA KUNUNULIA ARDHI WAWEZA KUTUMIKA KUPATIA MKOPO

Na  Bashir  Yakub.
Sheria  ya  ardhi  ni pana   na  ina mambo    mengi.  Kila  nikipata  nafasi  huwa  najitahidi  kueleza  japo machache  ili   watu waweze  kuelewa  masuala  mbalimbali   kuhusu  ardhi.  Ardhi  ni  rasimali  nyeti  mno  na hivyo  ni  tatizo  kubwa   kuishi  bila  kujua mambo  ya msingi  na ya kisheria  kuhusu  ardhi. Kutokujua  ni  moja  ya  sababu inayopelekea  umaskini  wakati  utajiri  upo  mikononi  mwako na  upande  mwingine husababisha migogoro  ya ardhi  inayoongezeka...

 

10 years ago

Habarileo

‘Jukumu la kulea yatima ni la kila mtu’

JUKUMU la malezi ya watoto yatima na waishio katika mazingira magumu nchini linapaswa kutekelezwa na kila Mtanzania pamoja na taasisi mbalimbali nchini ili kupunguza wimbi la wananchi tegemezi.

 

5 years ago

CCM Blog

KUANZIA JUMATATU KILA MTU AVAE MASK

  Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda ameagiza kuwa mtu yeyote anayeenda katika eneo lolote la manunuzi lazima awe amevaa Barakoa (mask)

Amesema haijalishi ila lazima watu wavae Barakoa “Ununue, ukate kanga, ukate leso na utafute rubber bands. Lazima uwe umevaa Barakoa”

Aidha, ameagiza kuwa kuanzia Jumatatu biashara zote zifanyike kwa mfumo wa ‘take away’ yaani ufike sehemu ya kununua bidhaa, nunua na ondoka

Pia, amewataka watu kuhakikisha wanakaa umbali wa mita 2 kila wakiwa eneo la msongamano...

 

9 years ago

Mwananchi

Halmashauri zaagizwa kupima ardhi ya kila mtu

Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maendeleo na Makazi, William Lukuvi amesema Serikali ya Awamu ya Tano imejipanga kuhakikisha ardhi yote inapimwa ili kila Mtanzania mwenye eneo apate hati ya kulimiliki.

 

10 years ago

GPL

ULIMWENGU HUU WA WAPENDANAO KILA MTU AMEJERUHIWA, UTAISHIJE?

NIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa kunikutanisha na wewe Jumamosi nyingine tulivu. Kama kawaida, mimi na wewe tunakutana kuweza kupeana darasa la uhusiano wa kimapenzi. Nitoe shukrani za dhati kabisa kwa wale walionitumia ujumbe mfupi wa maneno kuonesha waliguswa na mada ya wiki iliyopita iliyokuwa ikielekeza namna ya kumjua mchumba wako kama ana mapenzi ya dhati. Asanteni na tuendelee kujifunza. Bila kupoteza muda leo tuzungumzie...

 

9 years ago

Raia Mwema

Kila mtu akipiga ‘pushapu’, uchumi wetu utapaa

NIMESOMA kwa makini maelezo ya mwandishi Ben Saanane kwenye matoleo yaliyopita ya gazeti hili.

Ezekiel Kamwaga

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani