Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ULIMWENGU HUU WA WAPENDANAO KILA MTU AMEJERUHIWA, UTAISHIJE?

NIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa kunikutanisha na wewe Jumamosi nyingine tulivu. Kama kawaida, mimi na wewe tunakutana kuweza kupeana darasa la uhusiano wa kimapenzi. Nitoe shukrani za dhati kabisa kwa wale walionitumia ujumbe mfupi wa maneno kuonesha waliguswa na mada ya wiki iliyopita iliyokuwa ikielekeza namna ya kumjua mchumba wako kama ana mapenzi ya dhati. Asanteni na tuendelee kujifunza. Bila kupoteza muda leo tuzungumzie...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kila kona ni Samatta, Ulimwengu

Wakati washambuliaji Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wakisaka rekodi ya kuwa Watanzania wa kwanza kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika, TP Mazembe wanayoichezea inasaka taji la tano la mashindano hayo leo dhidi ya USM Alger.

 

9 years ago

Michuzi

JE KILA UNACHOKUBALIANA NA MTU NI MKATABA KISHERIA ?

Na  Bashir  Yakub

Makubaliano  ni  sehemu  ya  maisha  yetu  ya  kila  siku.  Shughuli  zetu  za  kila siku  hutegemea  makubaliano.   Ukimkuta  mtu  anabeba  zege  kwa  ajili  ya  ujenzi  yupo  katika  makubaliano. Ukimkuta  mtu  anaendesha  daladala, bodaboda   yupo  katika  makubaliano. 

Ukimkuta  mtu  katika  ofisi  yoyote  ya  umma  yupo katika  makubaliano,walio kwenye  ndoa  na  uchumba nao  ni  makubaliano,  mfanyakazi  wa  ndani  yupo katika  makubaliano.  Aliyechukua  mkopo, ...

 

10 years ago

Habarileo

‘Jukumu la kulea yatima ni la kila mtu’

JUKUMU la malezi ya watoto yatima na waishio katika mazingira magumu nchini linapaswa kutekelezwa na kila Mtanzania pamoja na taasisi mbalimbali nchini ili kupunguza wimbi la wananchi tegemezi.

 

9 years ago

Mwananchi

Halmashauri zaagizwa kupima ardhi ya kila mtu

Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maendeleo na Makazi, William Lukuvi amesema Serikali ya Awamu ya Tano imejipanga kuhakikisha ardhi yote inapimwa ili kila Mtanzania mwenye eneo apate hati ya kulimiliki.

 

5 years ago

CCM Blog

KUANZIA JUMATATU KILA MTU AVAE MASK

  Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda ameagiza kuwa mtu yeyote anayeenda katika eneo lolote la manunuzi lazima awe amevaa Barakoa (mask)

Amesema haijalishi ila lazima watu wavae Barakoa “Ununue, ukate kanga, ukate leso na utafute rubber bands. Lazima uwe umevaa Barakoa”

Aidha, ameagiza kuwa kuanzia Jumatatu biashara zote zifanyike kwa mfumo wa ‘take away’ yaani ufike sehemu ya kununua bidhaa, nunua na ondoka

Pia, amewataka watu kuhakikisha wanakaa umbali wa mita 2 kila wakiwa eneo la msongamano...

 

9 years ago

Raia Mwema

Kila mtu akipiga ‘pushapu’, uchumi wetu utapaa

NIMESOMA kwa makini maelezo ya mwandishi Ben Saanane kwenye matoleo yaliyopita ya gazeti hili.

Ezekiel Kamwaga

 

10 years ago

GPL

OYA MASTA UPENDWE NA KILA MTU KWANI WEWE PESA?

Oyooo…Mambo vipi masela? Kitaa hii barida. Ama nini? Tudei kama nina mizuka f’lani hivi. Ndo kama hivo makachaa nimeshatokelezea kukisanua hapa jamvini aisee arifu. Kwani kuna kwikwi? Haina kwere chaliiangu. Hivi mazee wana hawana mastori mengine ya kupiga mawe au mshiko kwa njia freshi? Maana masela taimu yote hapa kwa kijiweni kwetu chitichati kibwena ni za mastori fekelo kama ishu za mashori, malavu, kitu cha soka...

 

5 years ago

Michuzi

KILA MTU AASWA KUTOA MCHANGO WA MAENDELEO YA UANUWAI WA UTAMADUNI

TANZANIA inaungana na dunia nzima katika kuadhimisha sherehe ya Uanuwai wa Utamaduni ambazo hufanyika kila mwaka tarehe 21 Mei. Katika sherehe za mwaka huu wa 2020, kila mwanajamii kwa nafasi yake na katika eneo lake aendelee kuchukua tahadhali zinazoendelea kutolewa na Serikali juu ya kupambana na janga hili la ugonjwa wa Covid 19 nchini na kuendelea na shughuli za kiuchumi.
Tunajivunia na kuuenzi Uanuwai wa Utamaduni nchini kwa zaidi ya miaka 56 ya Uhuru ambapo uanuai wa Utamaduni wa jamii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani